DNA: Mjomba si baba wa mtoto wa msichana wa miaka 10 India

Msichana huyo wa miaka kumi hakufahamu kuwa alikuwa mjamzito, aliambiwa kuwa tumbo lake kubwa lilitokana na jiwe lililokuwa ndani ya tumbo lake

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

BBCSwahili

Msichana wa miaka 10 aliyebakwa India ajifungua mtoto

Msichana huyo anadaiwa kubakwa mara kadha katika kipindi cha miezi saba iliyopita na mjomba wake ambaye wa sasa amekamatwa.

 

10 months ago

Zanzibar 24

Msichana wa miaka 10 aliyebakwa amejifungua mtoto India

Msichana  wa miaka 10  aliyebakwa na mjomba ake na kupata mimba amejifungua mtoto huku akiwa hajui kama amejifungu kutokana na kipindi cha ujauzito wake alidanganywa kuwa  tumbo lake kubwa linatokana na jiwe lililomo tumboni mwake.

Mtoto akiwa tumboni kwa mama

Mtoto huyo mwenye uzito wa kilo 2.5 alizaliwa kwa njia ya upasuaji katika hospitali ya Chandigarh na afisa mmoja aliiambia BBC kuwa hali ya mama na mtoto wake ni nzuri huko hospitalini.

Msichana huyo anadaiwa kubakwa mara kadha katika...

 

9 months ago

BBCSwahili

Mtoto wa msichana wa miaka 13 afariki dunia India

Msichana aliyebakwa na kuruhusiwa kutoa mimba mtoto wake afariki siku mbili baada ya upasuaji.

 

3 years ago

Bongo5

Utani Huu: Mpambe wa Ex wa Zari anataka DNA ya mtoto wa Diamond, anadai yeye ni baba, juzi alidai Ivan ndio baba!

Guys kuna mambo mengi sana feki yanaendelea kwenye mitandao ya kijamii. Tena zaidi ni kuwa mengi yanakuja na picha zinazoashiria ukweli lakini katika maisha ya chuki na visasi, kila kitu kinawezekana. Mtoto wa Diamond, Tiffah Bahati mbaya tunaishi kwenye dunia ambayo watu huamini haraka mambo hasi ambayo kwa kawaida husambaa haraka zaidi kuliko yale chanya. […]

 

1 year ago

Global Publishers

BABA: Dna ya Mtoto wa Diamond Must!

  

WAKATI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza msanii wa muziki, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kujaaliwa kupata mtoto wa pili ambaye ni Nillan, baba mzazi wa msanii huyo, Juma Abdul amesema kuna ulazima wa mjukuu wake huyo kupima DNA ili kuzima zile tetesi kuwa, si wake.

Rais Magufuli alimpongeza Diamond Jumanne wiki hii baada ya kiongozi huyo wa nchi kupiga simu kwenye Kipindi cha 360 cha Clouds TV wakati Diamond akihojiwa ambapo alisema: “Hongera sana...

 

2 years ago

MillardAyo

Ishu ya DNA ya baba na mtoto ilivyoleta Hekaheka Dar… (+Audio)

Kama umekuwa mfatiliaji wa stori za Magazetini wiki iliyopita kulikuwa na stori kubwa ambayo ilitawala sana kuhusu ishu ya ripoti za vipimo vya DNA kuwa kati ya walioenda kupima DNA imeonesha 49% ya watoto wanalelewa na baba ambao sio baba wazazi. Baba wa mtoto huyo amesimulia kwamba hakupendezwa na kitendo cha dada mmoja anayeuza duka la […]

The post Ishu ya DNA ya baba na mtoto ilivyoleta Hekaheka Dar… (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

Wauza unga TZ? majibu ya DNA baba na mtoto? Maalim Seif Ikulu? Kagame na bandari TZ? Stori +Audio

Najua kuna watu wangu wanakosa time ya kusikiliza uchambuzi wa MAGAZETI redioni kila siku, uchambuzi huwa unagusa headlines kubwa kubwa zote kurasa za nje na ndani… leo December 22 2015 kuna hizi nilizozinasa. Rais Magufuli aungana na Marais wastaafu kwenye mazishi ya dada yake JK, Tausi Khalfan Kikwete kijijini Msoga, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema […]

The post Wauza unga TZ? majibu ya DNA baba na mtoto? Maalim Seif Ikulu? Kagame na bandari TZ? Stori +Audio appeared first on...

 

2 months ago

BBCSwahili

Msichana wa miaka 16 abakwa, achomwa moto India

Msichana wa miaka 16 abakwa, achomwa moto baada ya wazazi kulalamika

 

10 months ago

BBCSwahili

Msichana wa miaka 13 aliyebakwa arahusiwa kutoa mimba India

Mimba hiyo iligunduliwa wakati wazazi wake walimpeleka mtoto huyo kwa daktari kutafuta matibabu ya unene wa mwili

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani