DODOMA SEKONDARI MABINGWA WAPYA WA MASHINDANO YA MCHEZO WA BASEBALL NCHINI TANZANIA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe (Mb) Katikati aliyeshika gongo la Mchezo wa "Baseball" akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi wa Chama cha mchezo wa Baseball na Softball Tanzania na wafadhili wa Chama hicho kutoka klabu ya Rotary ya Osaka Kaskazini nchini Japan. Siku ya tarehe 1Disemba, 2017 mashindano ya mwaka huu yalipo funguliwa rasmi. Timu ya Dodoma Secondari ndiyo mabingwa wapya nchini Tanzania.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball (U18) yashika nafasi ya tatu mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball baada ya ushindi wa nafasi ya tatu (Bronze Medal) katika mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia la Mchezo wa Baseball Umri chini ya Miaka 18. Mashindano hayo yalifanyika nchini Kenya katika mji wa Meru tarehe 15 - 20 Disemba, 2014 na yalikuwa kutafuta tiketi kwa Bara la Afrika ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika hapo mwakani 2015 katika jiji la Tokyo, Japan.

 

1 year ago

Michuzi

maendeleo ya mchezo wa Baseball na Softball Tanzania

Taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha mchezo wa Baseball na Softball Tanzania ndugu Alpherio Nchimbi zinasema kwamba mafunzo kwa walimu pamoja na wachezaji wa Baseball Mkoani Mbeya yamekamilika kwa mfanikio makubwa ambapo zaidi ya washiriki 50 wamepata mafunzo hayo na kukabidhiwa vyeti vya kuhitimu. Mafunzo hayo yalitolewa na mwalimu mbobezi kutoka Japan ndugu Hiroki Iwasaki, yalianza tarehe 15 Julai na kukamilika jana Jumapili tarehe 16 Julai, 2017 yalikuwa ni ya siku nzima....

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI YA JAPAN YAISAIDIA TANZANIA DOLA 80,234 KUENDELEZA MCHEZO WA BASEBALL

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (aliyesimama mbele) akiongea na Wageni waalikwa pamoja na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa kiwanja cha Baseball nchini kati ya Serikali ya Tanzania na Japan leo 15 Februari, 2017 Jijini Dar es Salaam.Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Masaharu Yoshida (aliyesimama mbele kulia) akiongea na Wageni waalikwa pamoja na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Katibu wa Baseball Tanzania akabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya taifa ya mchezo huo jijini Dar

2

Bw. Alferio Nchimbi Katibu wa Chama cha Mchezo wa Baseball na Softball Tanzania akikabidhi vifaa vya michezo kwa wachezaji wa timu ya mchezo huo ya Tanzania inayotarajia kuondoka kesho kuelekea nchini Uganda kwa ajili kambi ya mafunzo ya Meja League Base Ball Training Camp For Tryout (MLB) yatakayofanyika kuanzia tarehe 23-25 Agosti 2015 ambapo wachezaji watakaochaguliwa kutoka katika kambi hiyo watakwenda nchini Afrika Kusini kwa kwa mafunzo ya wiki mbili na baadaye wachezaji...

 

3 years ago

Habarileo

Mwanakwerekwe mabingwa wa baseball

TIMU ya mpira wa baseball ya Shule ya Sekondari ya Mwanakwerekwe C imefanikiwa kuibuka na ubingwa katika bonanza la mchezo huo lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Magereza Tomondo, wilaya ya Magharibi Unguja.

 

3 years ago

Channelten

Barcelona mabingwa wapya wa kombe la mfalme nchini Hispania

4252

Timu ya Barcelona ndiyo mabingwa wapya wa kombe la mfalme nchini Hispania baada ya jana kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 ilipoumana na Sevilla kwenye mechi ya fainali iliyopigwa kwenye uwanja wa Vicente Calderon mjini Madrid.

Mechi hiyo ilianza kwa kasi timu hizo zikisahmbuliana kwa zamu na kujilinda zaidi jambo lililopelekea dakika 90 za mchezo huo kukamilika bila ya timu moja kuona lango la mwenzake jambo lililomlazimu mwamuzi wa mechi hiyo kuamuru dakika 30 za nyongeza zichukue...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Timu mbili za mchezo wa baseball Zanzibar zaagwa

Mwenyekiti wa Heshima na mfadhili mkuu wa Timu ya Baseball Zanzibar Nd. Shimaoka wanne kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wachezaji wa Timu ya Baseball wakati walipofika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa ajili ya kuagwa kuelekea kwenyemashindano ya mchezo huo yatakayofanyika Tanzania Bara ili kumtafuta bingwa wa Tanzania ambapo Timu 12 zinatarajiwa kushiriki,Zanzibar ikitoa Timu mbili.Mwanakwerekwe C na Mwenge Magharibi A.

 

Kapteni wa Timu ya Timu ya Baseball...

 

4 years ago

BBCSwahili

Yanga mabingwa wapya 2014/2015 Tanzania

Timu ya Yanga imetwaa ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa mwaka 2014/2015 kabla ya kumalizika ligi hiyo

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani