Done Deal: Azam FC imesajili washambuliaji wawili wa kimataifa

screen-shot-2016-11-16-at-9-13-38-pm

Presha ya dirisha dogo la usajili tayari imeshaanza kwa vilabu kupigana vikumbo vikiwania saini za wachezaji mbalimbali ili kuboresha timu zao kwa ajili ya mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2016/2017. Azam FC leo November 16 2016 imeripotiwa kusajili wachezaji wapya wawili, Azam FC imeripotiwa kuwasajili washambuliaji wawili kutoka Ghana Samuel […]

The post Done Deal: Azam FC imesajili washambuliaji wawili wa kimataifa appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Azam FC yasajili washambuliaji wawili

Uongozi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC,imeingia mkataba na washambuliaji nyota kutoka Ghana, Samuel Afful na Yahaya Mohammed.

 

3 years ago

Bongo5

Azam FC yasajili washambuliaji wawili Samuel Afful na Yahaya Mohammed

Uongozi wa klabu ya Azam FC, umefanikiwa kuingia mikataba na washambuliaji nyota kutoka Ghana, Samuel Afful na Yahaya Mohammed.

img_7075_0

Zoezi la kuingiana mikataba limehudhuria na baadhi ya viongozi wakuu wa timu wakiwemo Ofisa Mtendaji Mkuu, Saad Kawemba, Meneja Mkuu, Abdul Mohamed, Kocha Mkuu Zeben Hernandez pamoja na wakala anayewasimamia wachezaji hao, Kingsley Atakorah, ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Adom Wonders Academy ya nchini Ghana.

img_6958
Samuel Afful na Yahaya Mohammed wakimwaga wino...

 

3 years ago

Habarileo

Washambuliaji kutua Azam kesho

MASTRAIKA kadhaa wapya wa kigeni kutoka nchi mbalimbali, wanatarajiwa kutua Ijumaa Dar es Salaam kufanya majaribio katika timu ya Azam FC.

 

4 years ago

Mwananchi

Kocha Don Bosco: Viungo wa Azam mzigo kwa washambuliaji

Kocha wa klabu ya Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Don Bosco, Kasongo Ngandu amekichambua kikosi cha Azam na kugundua upungufu au kasoro moja ya msingi.

 

4 years ago

BBCSwahili

Man United imesajili Bastian Schweinsteiger

Manchester United imekubaliana na Bayern Munich kumsajili kiungo cha kati wa Ujerumani Bastian Schweinsteiger

 

3 years ago

TheCitizen

Azam OKs player, Simba deal

Azam Football Club has released its Ugandan striker Brian Majwega to join Simba Sports club for the ongoing Tanzania Mainland Premier League.

 

4 years ago

TheCitizen

TFF, Azam in landmark ‘FA Cup’ deal

Azam Media Limited has agreed to sponsor the Federation Cup (formerly FA Cup) to the tune of Sh3.3 billion, the Tanzania Football Federation (TFF) said yesterday.

 

3 years ago

TheCitizen

TFF, Azam Media sign lucrative deal

Azam Media Limited has signed a deal worth Sh2 billion with Tanzania Football Federation (TFF) to sponsor women and U-20 tournament.

 

2 years ago

MillardAyo

DONE DEAL: Aishi Manula amehama Azam FC leo

Baada ya tetesi za muda mrefu kuhusiana na golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya Azam FC Aishi Manula kuhusishwa kuwa muda wowote anaweza ihama club hiyo na kwenda kujiunga na Simba huku Singida United ikitajwa kumuwania pia. Leo June 11 2017 taarifa kutoka katika mtandao wa habari za michezo […]

The post DONE DEAL: Aishi Manula amehama Azam FC leo appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani