Doris Mole (23) atwaa taji la Miss Singida 2014, apewa kitita cha shilingi laki tano

Huyu ndiye Miss Singida 2014 Doris Mole (23) akiwa na mshindi wa pili Blath Chambo na mshindi wa tatu Lulu Abdul.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

Doris Molel (23) Mwanafunzi katika chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salam anayesomea siasa na Maendeleo ya Jamii mwaka wa tatuametwaa taji la Miss Singida Redds 20014.

Katika shindano hilo lililofanyika jana kwenye ukumbi wa chuo ha Uhazili Mjini hapa Molel, mbali na kutwaa taji hilo alijinyakulia kitita cha shilingi laki...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Doris akwaa taji Miss Singida

MWANADADA Doris Molel (23) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere cha jijini Dar es Salaam katika Kitivo cha Siasa na Maendeleo ya...

 

2 years ago

Dewji Blog

Stephanie Del Valle atwaa taji la Miss World 2016, Miss Kenya atinga tano bora

Mwanamuziki na mwanamitindo kutoa nchini Puerto Rico, Stephanie del Valle Díaz ametangazwa kuwa mshindi wa taji la Miss World kwa mwaka 2016 akiwashinda wenzake 116 ambao nao walishiriki shindano hilo.

Stephanie mwenye umri wa miaka 19 kabla ya kutangazwa kuwa mshindi aliingia katika tano bora na baada ya mchojo kufanyika kwa kujibu maswali kisha majaji wakamchagua kuwa mshindi na kuchukua nafasi ya Mireia Lalaguna Royo ambaye alikuwa akilishikilia taji la Miss World kwa mwaka 2015.

Kwa...

 

4 years ago

GPL

SITTI MTEMVU ATWAA TAJI LA MISS TANZANIA 2014

Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk baada ya kutangazwa mshindi. MREMBO Sitti Mtemvu kutoka Temeke ametwaa taji la Miss Tanzania 2014 na kujinyakulia kitita cha milioni 18 usiku huu katika…

 

5 years ago

Michuzi

AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA MISS TABATA 2014

Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa  rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata. Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo Jumamosi. Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .   Miss Tabata...

 

5 years ago

GPL

AMINA SALIM ATWAA TAJI LA MISS MBAGALA 2014

Miss Mbagala 2014, Amina Salim akipokea zawadi baada ya kutwaa taji hilo. Miss Mbagala 2014 akikabidhiwa zawadi ya DSTV.
Majaji wakiwa…

 

4 years ago

Tanzania Daima

Sitti Mtemvu atwaa taji la Redds Miss Tanzania 2014

MREMBO Sitti Abbas Mtemvu kutoka Temeke, juzi usiku alitwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014, baada ya kuibuka kidedea katika fainali za shindano hilo lililofanyika ukumbi wa Mlimani City, jijini...

 

5 years ago

Bongo5

Mrembo wa Ethiopia atwaa taji la Miss Africa USA 2014

Mrembo aliyezaliwa Ethiopia, Meron Wudneh ameshinda taji la Miss Africa USA 2014. Meron, aliyewashinda warembo wengine 20, akiwemo wa Tanzania, ni mrembo wa kwanza kutoka nchi hiyo kushinda tangu lianzishwe miaka tisa iliyopia. Mwaka jana taji hilo lilienda kwa Kathy Onmu kutoka Nigeria.

 

5 years ago

Dewji Blog

Ambasia Maliy atwaa taji la Redds Miss Tabata 2014

Redd’s Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa  rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.

1

Redd’s Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da’west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .

23

 

4 years ago

Vijimambo

Jihan Dimachk atwaa taji la Redd's Miss Tanzania Top Model 2014

Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss Tanzania Photogenic 2014 (wapili kushoto), mshindi wa nne, Lilian Timothy (kulia) na Mshindo wa tano Nasreen Abdul, mara baada ya kushinda taji hilo jana ambapo Jihan amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2014 baada ya Miss Photogenic. Shindano la Miss Tanzania Top Mode...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani