Dortmund: Hakuna mazungumzo ya kumuuza Aubameyang

Mkufunzi wa Borussia Dortmund Peter Stoger anasema kuwa hakuna ombi la kumsajili Pierre-Emerick Aubameyang lililowasilishwa na Arsenal

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBC

I'm staying at Dortmund - Aubameyang

Borussia Dortmund striker Pierre-Emerick Aubameyang says he will not be leaving the club in the January transfer window.

 

3 years ago

BBC

Aubameyang eyes Spain after Dortmund

Gabon striker Pierre-Emerick Aubameyang says he will not move to the Premier League when he leaves Germany.

 

3 years ago

BBC

Aubameyang signs new Dortmund deal

Gabon forward Pierre-Emerick Aubameyang extends his deal with Borussia Dortmund until the end of the 2019-20 season.

 

3 years ago

Mtanzania

Dortmund yambania Aubameyang kuondoka

Pierre-Emerick-AubameyangDORTMUND, UJERUMANI

KLABU ya Borrussia Dortmund ya nchini Ujerumani, imedai kwamba mshambuliaji wake, Pierre Aubameyang, hawawezi kumwachia akajiunga na klabu nyingine kwa sasa.

Nyota huyo wa timu ya Taifa ya Gabon, ambaye amechukua uchezaji bora wa Afrika (CAF) kwa mwaka 2015, amekuwa akiwindwa na klabu mbalimbali katika kipindi hiki cha usajili, lakini uongozi wa klabu hiyo umedai kwamba hauna mpango wa kumwachia mchezaji huyo kuondoka.

Hata hivyo, Mkurugenzi wa klabu hiyo, Hans Watzke,...

 

2 years ago

Mtanzania

Aubameyang: Makubwa yanakuja Dortmund

Pierre-Emerick Aubameyang

Pierre-Emerick Aubameyang

DORTMUND, UJERUMANI

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang, amewaambia mashabiki wa klabu hiyo kuwa makubwa yanakuja msimu huu.

Nyota huyo ambaye alifanya vizuri msimu uliopita kwa kupachika mabao mengi ndani ya klabu hiyo katika mchezo wake wa kwanza msimu huu ambao ulipigwa juzi, nyota huyo aliifunga mabao mawili katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mainz.

Aubameyang raia wa nchini Gabon, msimu uliopita alitwaa uchezaji bora barani...

 

2 years ago

BBC

Aubameyang on target as Dortmund win

Borussia Dortmund go level on points with Bundesliga leaders Bayern Munich after victory over mid-table Freiburg.

 

2 years ago

BBC

Aubameyang scores four on return for Dortmund

Pierre-Emerick Aubameyang marks his return to the Borussia Dortmund side with four goals in a thumping win away to Hamburg.

 

2 years ago

BBCSwahili

Aubameyang kuendelea kukipiga na Dortmund

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang hatouzwa katka majira haya ya kiangazi na atasalia katika timu yake.

 

1 year ago

BBC

Aubameyang scores twice as Dortmund go top

Borussia Dortmund move top of the Bundesliga by thrashing Cologne, who suffer the German top-flight's worst start since the 1962-63 season.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani