DPP akusudia kukata rufaa hukumu ya kina Mramba

WAKATI waliokuwa mawaziri katika serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona, wakieleza kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela, Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), pia amewasilisha Mahakama Kuu kusudio la kukata rufaa kupinga adhabu hiyo.

Mramba aliyekuwa Waziri wa Fedha na Yona wa Nishati na Madini, walihukumiwa adhabu hiyo Julai 6, mwaka huu na

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hakimu Mfawidhi wa mahakama hiyo, Cyprian Mkeha, alisema DPP...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Hukumu ya kina Mramba yaiva

Dar es Salaam. Hatimaye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itatoa hukumu katika kesi inayowakabili mawaziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na wa Nishati na Madini, Daniel Yona pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Monja, Juni 30, mwaka huu.

 

3 years ago

Mtanzania

Rufaa ya kina Mramba kujulikana leo

mainNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

HUKUMU ya rufaa iliyokatwa na waliokuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa  Nishati na Madini, Daniel Yona, kupinga adhabu ya vifungo vya miaka mitatu jela inatolewa leo.

Jaji wa Mahakama Kuu, Projest Rugazia wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, anatarajiwa kusoma hukumu hiyo baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili.

Mahakama hiyo pia itatoa hukumu ya rufani iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka  (DPP), kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya...

 

3 years ago

Mwananchi

Serikali kuwakatia rufaa kina Mramba

>Siku nne baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwahukumu kifungo cha miaka mitatu jela mawaziri wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Daniel Yona na Basil Mramba, upande wa mashitaka umewasilisha  kusudio la kukata rufaa.

 

1 year ago

Habarileo

Chadema kukata rufaa hukumu ya Mbunge

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakikubaliani na hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero dhidi ya Mbunge, Peter Lijualikali na kwamba imepanga kukataa rufaa katika Mahakama Kuu.

 

3 years ago

Habarileo

DPP kukata rufaa dhidi ya ombi la Shehe Farid

Shekhe Farid Hadi AhmedMKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP) amewasilisha katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kusudio la Kukata Rufaa dhidi ya uamuzi wa ombi lililowasilishwa na Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake.

 

3 years ago

Michuzi

STOP PRESS: HUKUMU YA RUFAA YA MRAMBA NA YONA KESHO

Mawaziri  wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona siku walipohukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya milioni tano baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka Mwezi Julai mwaka huu. Picha ya maktabaNa Mwene Said wa Blogu ya Jamii, Dar es Salaam. MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kesho imepanga kutoa hukumu ya rufaa dhidi ya mawaziri  wa zamani, Bazil Mramba na Daniel Yona waliohukumiwa kifungo cha miaka mitatu na faini ya milioni tano baada ya kukutwa na hatia ya matumizi...

 

2 years ago

Mwananchi

Takukuru kukata rufaa hukumu ya Mhando wa Tanesco

Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, William Mhando, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), inaandaa utaratibu wa kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.

 

1 year ago

Bongo5

Chadema kukata rufaa hukumu ya Mbunge Lijualikali

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakikubaliani na hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero dhidi ya Mbunge, Peter Lijualikali na kwamba imepanga kukataa rufaa katika Mahakama Kuu.

Akizungumza na waandishi wa habari Alhamisi hii katika Makao Makuu ya chama hicho, jijini Dar es Salaam, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu alisema Lijualikali ni mfungwa wa kisiasa na amefungwa kwa sababu ya vita ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Upinzani.

Lissu alisema,...

 

2 years ago

Mwananchi

DPP asimamia mwenyewe rufaa dhidi ya kina Kitilya

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga jana alilazimika kutoka ofisini na kwenda mahakamani kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kuwafutia shtaka la utakatishaji fedha, Mwenyekiti wa kampuni inayoshughulikia uwekezaji wa mitaji na dhamana (Egma), Harry Kitilya na wenzake, waliokuwa maofisa wa Benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la utakatishaji wa Dola za Marekani 6 milioni na mengine saba ya kughushi, kuwasilisha nyaraka za uongo na kujipatia fedha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani