Dr. Shein agiza wizara ya elimu kuhakikisha inalipa madeni yote ya walimu kabla 2019

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein amesema sera ya elimu bure  kwa wanafunzi wa sekondari itaanza ifikapo  mwezi june  mwaka huu.

Akizungumza  katika Mkutano Mkuu wa Sita wa chama cha walimu Zanzibar zatu amesema serikali imeamua  kuondoa ada  kwa wanafunzi  kwa lengo la kuendeleza sera ya rais wa awamu ya kwanza Shekh Abeid Amani Karume.

Amesema  sera ya elimu bure itaimarika endapo walimu watafanya kazi kwa mujibu wa sheria na maendeleo ya...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Zanzibar 24

Baraza la Wawakilishi waitaka Wizara ya Elimu kulipa Madeni ya Walimu

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali  ambapo wameitaka Wizara hiyo kulipa Malimbikizo ya Madeni wanayodai walimu kwa kipindi kirefu.

Wakichangia hutuba ya Bajeti hiyo katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi Chukwani nje kidogo ya mji wa Zanzibar Wajumbe hao wamesema bado kuna wimbi kubwa la walimu wakiwemo walostaafu hawajalipwa mafao yao mpaka sasa.

Muwakilishi wa Jimbo la Shaurimoyo Hamza Hassan amesema kumekuwa na malalamiko makubwa kwa...

 

4 years ago

Habarileo

‘Serikali yalipa madeni yote ya walimu’

SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu madeni ya walimu kwa kusema imeshalipa yote ya mwaka jana na kwa mwaka huu, orodha inaandaliwa. Orodha kwa ajili ya madeni ya mwaka huu, inasubiriwa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi) kabla ya malipo kufanyika.

 

5 years ago

Habarileo

'Madeni ya walimu kulipwa kabla ya Julai'

SERIKALI imesisisitiza kuwa italipa madeni ya malimbikizo ya mishahara ya walimu kabla ya kumalizika kwa mwaka huu wa fedha, 2013/14. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa, alieleza hayo bungeni juzi jioni wakati akichangia mjadala wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

 

5 years ago

Habarileo

Madeni ya walimu yalipwe kabla ya Juni 30 - Pinda

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, ameiagiza Wizara ya Fedha kuhakikisha madeni ya walimu yamelipwa hadi kufikia Juni 30 mwaka huu, ili Serikali isiingie na madeni katika Bajeti ijayo.

 

3 years ago

Habarileo

Elimu yalipa madai yote ya walimu

WAZIRI wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amesema hadi sasa wizara hiyo haina deni inayodaiwa na walimu nchini na kwamba madeni yaliyokuwepo ya Sh bilioni 22 yalishalipwa.

 

3 years ago

Habarileo

Wizara ya Elimu yakanusha walimu kuvalishwa sare

WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imekanusha taarifa inayosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa Waziri wake Profesa Joyce Ndalichako ametaka walimu kuandaliwa sare.

 

3 years ago

Channelten

Shule zenye upungufu wa walimu vijijini kuhakikisha wanawapelekwa walimu

mwalimu-mkuu-wa-shule-ya-kapunga-williard-sengele2

Halmashauri za wilaya nchini zimetakiwa kuhakikisha wanawapeleka waalimu kwenye shule zenye upungufu hususani zilizopo vijijini ili kuondoa tatizo la muda mrefu laupungufu wa waalimu katika shule hizo,kutokana na wengi wao kufikia umri wa kustaafu,hali inayowafanya wanafunzi kutofun diswa masomo ipasavyo.

Waziri wa elimu Profesa Joyce Ndalichako ametoa agizo hilo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro alipote mbelea baadhi ya shule za sekondari  na vyuo katika mkoa huo ambapo amesema serikali...

 

4 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Elimu yashauriwa kutatua changamoto za walimu nchini

1

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2015/2016 bungeni mjini Dodoma leo.

2

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii Bi. Margaret Sitta akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo bungeni mjini Dodoma.

3

Mhadhiri Msaidizi Idara ya Mimea kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam Bw. Heriel...

 

3 weeks ago

Michuzi

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani