Drake azidi kusherehekea mafanikio ya muziki wake mwaka huu

Mwaka huu umekuwa wa mafanikio makubwa kwa rapper Drake kupitia kwenye maisha yake ya muziki.

Wimbo wake wa ‘One Dance’ aliomshirikisha Wizkid na Kyla umefanikiwa kutengeneza rekodi yake nyingine kwenye mtandao wa Spotify baada ya kusikilizwa mara bilioni moja.

Wakati huo huo albamu yake ya ‘Views’ imesikilizwa zaidi ya mara bilioni tatu kwenye mtandao huo.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Nicki Minaj azidi kusherehekea mafanikio ya albamu ‘Pink Friday’ ya 2010

Nicki Minaj anazidi kusherekea mafanikio ya albamu yake ya ‘Pink Friday’ iliyotoka mwaka 2010.

Albamu hiyo imefanikiwa kufikia mauzo ya asilimia 81 na kuipiku albamu yake ya mwisho ya The Pink Print ambayo ilitoka mwaka 2014. Katika kusherekea hilo mrembo huyo amewashukuru mashabiki wake na kuwaahidi kuwa albamu yake mpya itakuwa bora zaidi itakayowapa maisha marefu.

Kupitia mtandao wa Instagram Nicki, ameandika:

Look @ God. Man I can’t make this sh*t up. Just got the official word that in...

 

2 years ago

Bongo5

Drake na Rihanna waongoza kusikilizwa kwenye Spotify mwaka huu

Mtandao wa Spotify umetangaza majina ya wasanii wa kiume na wa kike walioongoza kusikilizwa zaidi kwenye mtandao huo kwa mwaka huu.

Drake

Kwenye orodha ya wanaume rapper Drake anaongoza akifuatiwa na Justin Bieber huku kwa upande wa wanawake Rihanna akikalia kiti hicho akifuatiwa na mshindi wa tuzo ya msanii bora wa mwaka 2016 kwenye American Music Awards, Ariana Grande.

Tazama orodha zaidi ya wasanii kwenye mtandao huo hapa chini.

MOST STREAMED MALE ARTISTS
1. Drake
2. Justin Bieber
3. Twenty...

 

3 years ago

Bongo5

Temba adai mwaka 2015 umekuwa wa mafanikio kwa muziki wa Bongo

10919100_282718041852156_79790684_n

Mheshimiwa Temba amesema mwaka 2015 ni mwaka ambao wasanii wengi wamewekeza zaidi kwenye muziki wao.

10919100_282718041852156_79790684_n

Temba ameiambia Bongo5 kuwa anauona mwaka huu kama wa mapinduzi kwenye muziki.

“Mwaka huu umekuwa mzuri sana kwenye muziki wetu, video nyingi za wasanii wa ndani zimepata airtime kwenye TV kubwa za nje ambapo ni tofauti na miaka iliyopita,” amesema.

“Yaani wasanii wamejaribu ku-invest zaidi kwenye muziki wao. Ukiangalia kama sisi ‘Kaunyaka’ tumeifanyia Afrika Kusini, Chege bado yupo Afrika...

 

4 years ago

GPL

TAMASHA LA MUZIKI WA ZAMANI KUFANYIKA MEI 30, MWAKA HUU

Ofisa uhusiano wa kampuni ya  Ak'Omungoma (APAO) Louis Sendeu akieleza jambo kwa waandishi wa habari hawapo pichani(kushoto kwake) Masoud Masoud mmoja wa waratibu wa onyesho hilo. Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini Ismail Issa Michuzi akisikiliza kwa makini. Msanii Ismail Issa Michuzi akitoa kionjo cha wimbo wa siwema kwa waandishi wa…

 

3 years ago

Bongo5

Moni wa Central Zone adai baada ya kuhamia Dar ameanza kuona mafanikio ya muziki wake

Masanii wa muziki wa hip hop wa Kundi la Central Zone la Dodoma, Moni, amefunguka kwa kusema kuwa baada ya kuhamia Dar es Salaam ameanza kuona mafanikio katika muziki wake.
moo

Rapper huyo ambaye mwaka huu alikuwa mmoja kati ya wasanii wapya waliopanda jukwaa la tamasha kubwa la muziki la Fiesta 2016, amekiambia kipindi cha Ladha 3600 cha EFM kuwa ameanza kuona mafanikio katika muziki wake baada ya kuhamia Dar es salaam.

“Nayaona mafanikio katika muziki wangu baada ya kuhamia rasmi Dar kutoka...

 

5 years ago

Dewji Blog

FURSA: Mafunzo ya kupiga ala za muziki kuanza tena mwezi Mei mwaka huu

Untitled

Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye mazoezi.

Action Music Tanzania (AMTz) inatangaza fursa kwa watu wote kujiunga na mafunzo ya kupiga ala za muziki yanayoanza tarehe 3/5/2014, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wanamuziki wa kupiga ala na kufanya maonesho kwa weledi na utaalamu zaidi.

Untitled 1

Baadhi ya wanafunzi wakiwa darasani.

Mafunzo yanayotolewa ni pamoja na upigaji wa ala za muziki zikiwemo gita, kinanda, tarumbeta, saxophone, konga, drum set, na upigaji wa ngoma za asili. Pia yatatolewa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tamasha kubwa la muziki wa Injili “LA KWETU CENCERT” kufanyika nchini mwaka huu

Linatarajiwa Kufanyika Tamasha Kubwa la Muziki wa Injili hapa nchini. Tamasha hilo limepewa jina la “LA KWETU CONCERT” na litafanyika katika Mikoa mbalimbali ikiwemo Mwanza, Geita, Kagera, Shinyanga, Mbeya, Arusha, Dar es salaam na mingineyo. 

Tamasha hilo linaandaliwa kwa Ushirikiano na Waimbaji wa Muziki wa Injili, Watangazaji na Waandishi wa Habari chini ya Kampuni ya FAMARA INTERTAINMENT ya Jijini Mwanza, ambapo wadau mbalimbali wanakaribishwa ili kufanikisha tamasha hilo ambalo litakuwa...

 

3 years ago

Michuzi

EFM KUZINDUA TAMASHA LA MUZIKI MNENE AGOSTI 28 MWAKA HUU,BOKO JIJINI DAR

 Meneja Mkuu wa Efm, Denis  Ssebo akizungumza leo na waandishi wa habari (hapo pichani) juu ya tamasha la kila mwaka lijulikanalo kama muziki mnene ambalo litaanza rasmi Agosti 28  mwaka huu katika eneo la Boko  jijini Dar es Salaam.Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano Vodacom, Nandi Mwiyombella akizungumza leo na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya kuidhamini Efm kwa sababu ni sehemu ya kuwafikishia muziki wateja wa vodacon  jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,Globu...

 

4 years ago

Dewji Blog

Nguli wa muziki Papa Wemba kutumbuiza Tamasha la Karibu Music Festival Novemba 6-8 mwaka huu

1 (1)

 Ofisa Mauzo wa Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO), Ernest Biseko katikati  ambao ni waratibu wa Tamasha la Karibu Music Festival akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. kushoto ni  ni msanii, Jhikolabwino Manyika – Jhikoman na Meneja Uvumbuzi wa kinywaji cha Jebel cha Kampuni ya SBL, Attu Mynah

MWANAMUZIKI nguli wa dansi kutoka nchini Congo DR, Papa Wemba ni miongoni mwa wasanii wanaotarajia kutumbuiza katika tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani