Droo Kombe la FA: Manchester United wapewa Yeovil Town

Klabu ya Yeovil Town inayocheza ligi ya daraja la tatu, ambayo ndiyo klabu ya ngazi ya chini zaidi iliyosalia katika Kombe la FA msimu huu, imepangwa kukutana na mabingwa mara 12 wa kombe hilo Manchester United.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Droo: Manchester United wapewa Reading, Arsenal Preston Kombe la FA

Manchester United watakutana na Reading katika hatua ya klabu 32 bora michuano ya Kombe la FA baada ya droo kufanywa Jumatatu.

 

2 years ago

Bongo5

Manchester United na Manchester City kukutana tena kombe la EFL Cup

Raundi ya nne ya kombe la Ligi- EFL Cup imetoka mahasimu wa Manchester – City na United watakutana tena. Mechi zita chezwa wiki inayoanza Oktoba 25.

Droo kamili ya mechi zote ni kama ifuatavyo.

West Ham v Chelsea
Manchester United v Manchester City
Arsenal v Reading
Liverpool v Tottenham
Bristol City v Hull
Leeds v Norwich
Newcastle v Preston
Southampton v Sunderland

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town!...

 

4 years ago

BBCSwahili

Manchester United kutwa kombe?

Manchester United moja ya timu vigogo wa ligi kuu ya England ambayo kabla ya ushindi wa sita mfululizo ilikuwa na wakati mgumu.

 

3 years ago

Bongo5

Manchester United nje kombe la Capital One

Mechi za kombe la Capital One ziliendelea tena October 28 usiku. Miongoni mwa mechi zilizochezwa ni pamoja na Manchester City dhidi ya Crystal Palace. Mchezo huo ulichezwa katika dimba la Etihad. Man City wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wamefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa jumla ya magoli 5-1. Manchester United 0 – 0 Middlesbrough […]

 

1 year ago

BBCSwahili

Manchester United mabingwa Kombe la Europa

Yaichapa Ajax kwa mabao 2-0 mjini Stockholm

 

1 year ago

BBCSwahili

Manchester United yatinga fainali ya kombe la Europa

Manchester United ilinusurika katika dakika za mwisho za mechi yao dhidi ya klabu ya Celta Vigo kutoka Uhispania na kuweza kufuzu kwa fainal ya kombe la Europa.

 

12 months ago

BBCSwahili

Bristol City kukutana na Manchester United katika kombe la Carabao

Arsenal watakutana na West Ham, huku Leicester City wakiwa nyumbani na Manchester City nao Chelsea wakiwaalika Bournemouth

 

1 year ago

BBCSwahili

Real Madrid walaza Manchester United 2-1 Kombe la Super Cup Uefa

Manchester United are outclassed as Spanish and European champions Real Madrid retain the Uefa Super Cup victory in a sweltering Skopje.

 

2 years ago

Africanjam.Com

STREAMING LIVE NOW: MANCHESTER UNITED vs MANCHESTER CITY | EFL CUP | 26.10.2016 |

CLEARLY CLICK ON THE SYMBOL 'x' ON ADS TO REMOVE THEM.IF STREAMING STOPS JUST REFRESH THE PAGE.ENJOY THE GAME.

Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani