Droo ya makundi ya Euro 2016 yafanyika, hii ndiyo listi kamili ya makundi hayo

uefa euro 2016

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Chama cha Soka cha Ulaya kimefanya droo ya makundi ya mashindano ya Euro 2016 ambayo yanashirikisha nchi 24 kutoka Ulaya na yanatarajiwa kufanyika nchini Ufaransa kuanzia mwezi Juni mwakani. Modewjiblog imekuandalia listi kamili ya hatua hiyo ya makundi;

GROUP A;

Ufaransa

Romania

Albania

Switzerland

GROUP B;

Uingereza

Urusi

Wales

Slovakia

GROUP C;

Ujerumani

Ukraine

Poland

Northern Ireland

GROUP D;

Hispania

Jamhuri ya Czech

Uturuki

Croatia

GROUP E;

Belgium

Italia

Jamhuri...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Droo ya makundi Euro 2016 hii hapa

euro20161

Droo ya makundi ya mashindano ya kombe la Ulaya 2016 yatakayofanyika nchini Ufaransa imetoka ambapo wenyeji wako Kundi A pamoja na Uswisi, Albania na Romania.

euro20161

Uingereza iko Kundi B na ndugu zake Wales, pamoja na Urusi na Slovakia.

Mashindano ya Kombe la Ulaya yanatarajiwa kufanyika kuanzia Juni 10, 2016 hadi Julai 10, 2016.

MAKUNDI YA EURO 2016 UFARANSA

KUNDI A
1 France
2 Romania
3 Albania
4 Switzerland

KUNDI B
1 England
2 Russia
3 Wales
4 Slovakia

KUNDI C
1 Germany
2 Ukraine
3 Poland
4...

 

3 years ago

Dewji Blog

Droo ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA yafanyika, listi kamili hii hapa

IMG_20151214_145227

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), imefanyika katika makao makuu ya Chama cha soka Ulaya Nyon, Switzerland na mtandao wako bora wa habari, Dewjiblog.com umekuandalia listi kamili ya michezo ambayo imepangwa katika droo hiyo;

Gent – Wolfsburg

AS Roma – Real Madrid

Paris Saint-German – Chelsea

Arsenal – Barcelona

Juventus – Bayern Munich

PSV – Atletico Madrid

Benfica – Zenit

Dynamo Kyiv – Manchester City

Baada ya kufanyika kwa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Hatua ya Makundi UEFA yakamilika, hii ndiyo listi ya timu zilizofuzu hatua ya 16 bora

2F3824FE00000578-3353037-image-a-25_1449700421460

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA imekamilika usiku wa jumatano kwa kupatikana timu nyingine 8 ambazo zitaungana na timu 8 zilizofuzu jumanne kuingia katika hatua ya 16 bora.

Timu ambazo zimefuzu kuingia hatua ya 16 bora ni;

GROUP A;

Real Madrid

Paris Saint-German

GROUP B;

Wolfsburg

PSV Eindhoven

GROUP C;

Atletico Madrid

Benfica

GROUP D;

Manchester City

Juventus

GROUP E;

Barcelona

Roma

GROUP F;

Bayern Munich

Arsenal

GROUP G;

Chelsea

Dynamo Kyiv

GROUP H;

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Hatua ya makundi Euro 2016 imemalizika, list ya timu zilizoingia 16 bora

1872993-39456853-2560-1440

Rasmi usiku wa June 22 2016 hatua ya Makundi ya michuano ya Euro 2016 imemalizika kwa michezo ya Kundi F na D kuchezwa, tumeshuhudia Sweden akikubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Ubelgiji, wakati Ireland ameifunga Italia kwa goli 1-0. Kwa upande wa Ureno wao wamelazimisha sare ya goli 3-3 dhidi ya Hungary, wakati Iceland walimfunga […]

The post VIDEO: Hatua ya makundi Euro 2016 imemalizika, list ya timu zilizoingia 16 bora appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

Dewji Blog

Michezo ya makundi EURO 2016 yaanza kukamilika, zipo hapa timu zilizofuzu hatua ya mtoano

Michuano ya Uefa Euro 2016 ambayo yanafanyika nchini Ufaransa imeendelea kwa michezo ya mwisho ya hatua ya makundi ambapo usiku wa kuamkia Jumatatatu Kundi A limemaliza michezo yake na kupatikana timu zinazofuzu hatua ya mtoano.

Kundi hilo ambalo lina wenyeji Ufaransa, Switzerland, Romania na Albania limemaliza michezo yake kwa wenyeji Ufaransa kuongoza kwa kuwa na alama saba baada ya kushinda michezo miwili na kutoa sare mchezo mmoja.

Nafasi ya pili imeshikwa na Swizerland ikiwa na alama...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Kabla ya robo fainali ya Euro 2016, tazama magoli bora yaliofungwa katika hatua ya Makundi

Switzerland-v-Poland

Imebaki siku moja tu michuano ya mataifa ya Ulaya maarufu kama Euro 2016 hatua ya robo fainali ianze, najua tayari umeshazifahamu timu 8 zilizofanikiwa kufika katika hatua ya robo fainali itakayoanza kuchezwa kesho June 30 2016, kabla ya kuanza kwa robo fainali naomba nikusogezee mkusanyiko wa magoli bora yaliofungwa katika hatua ya Makundi. GOLI LA […]

The post VIDEO: Kabla ya robo fainali ya Euro 2016, tazama magoli bora yaliofungwa katika hatua ya Makundi appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

DROO YA MAKUNDI YA KLABU BINGWA AFRIKA KUPANGWA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Droo ya makundi ya klabu Bingwa Afrika inatarajiwa kupangwa  kwa timu 16 kuingia kwenye makundi manne.
Timu hizo zimepangwa kwenye vyungu vinne kulingana na alama zao ndani ya miaka mitanoi kulingana na ushiriki wao kwenye michuano ya kimataifa.
Makundi yatakuwa manne kila POT Itatoa  timu moja ili kuunda makundi manne timu zimepangwa kwenye Pot kulingana na Pointi zao za CAF Kwa miaka Mitano.  
DROO YA MAKUNDI 
POT 1-Al Ahly (Misri) -Zamalek (Misri) -Etòile du...

 

3 years ago

Michuzi

DROO YA MAKUNDI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA (CAF)MEI 24.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.BAADA ya kumalizika kwa hatua ya 16 bora ya kombe la Shirikisho na kufanikiwa kupatikana kwa timu 8 zilizoingia kwenye makundi hatimaye Droo ya kupanga timu hizo inafanyika Jumanne ya Mei 24.
Shirikisho la mpira wa miguu Aftika (CAF) limeamua kupanga ratiba hiyo na hatua ya makundi itaanza kupigwa Juni 17.
Wajumbe wa kamati ya Mashindano watakutana Jumatatu Jijini Cairo nchini Misri makao makuu ya CAF  ili kuweza kufanya mchakato wa kuandaa taratibu za kupanga...

 

2 years ago

Michuzi

DROO YA MAKUNDI YA NDONDO CUP YAPANGWA, KUANZA JUNI 17

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
DROO ya makundi ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup imepangwa ambapo timu 32 zinatarajiwa kupambana katika kinyang'anyiro hicho. 

Michuano hiyo ambayo ambayo bingwa mtetezi ni Temeke Market itaanza Jumamosi ya Juni 17 ambapo timu za Makuburi FC itacheza na Stimtosha kwenye uwanja wa Kinesi katika mchezo wa ufunguzi. 
Bingwa huyo mtetezi amepangwa kundi G pamoja na timu za Makuburi, Stimtosha na Dar Polisi College. 

Makundi hayo yamepangwa kama...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani