DROO YA TATU YA KOMBE LA FA YACHEZWA, YANGA NA AZAM ZATUPWA UGENINI

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiDroo ya tatu ya Kombe la Shirikisho Azam Sports HD imechezwa leo na timu 32 kupangwa.
 KMC vs Toto Africans Majimaji vs Ruvu ShootingNjombe Mji vs Rhino RangersKiluvya United vs JKT Oljoro Ndanda vs Biashara UnitedPamba SC vs Stand UnitedPolisi Tanzania vs Friends Rangers JKT Tanzania SC vs Polisi DarMwadui vs dodoma fcGreen worries vs singida initedPrisons vs bukinafaso mbeyaKariakoo Lindi vs mbaoIhefu FC vs Yanga SCMaji maji rangers vsmtibwa sugarKagera sugar vs buseresere Shupavu vs Azam fc

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

Michuzi

DROO RAUNDI YA TATU KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUCHEZESHWA KESHODroo ya raundi ya tatu(3) ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) inachezeshwa kesho Januari 5, 2018 ikishirikisha timu 32.
Raundi hiyo ya Tatu itahusisha timu nne(4) za mabingwa wa mikoa timu tatu(3) za Ligi Daraja la Pili,timu Kumi na Mbili (12) za Ligi Daraja la Kwanza na timu 13 za Ligi Kuu.
Hatua hiyo ya raundi ya tatu inabakiza timu Kumi na Sita(16) zitakazopambana kwenye hatua inayofuata.
Timu zitakazochezeshwa kwenye Droo ya hapo kesho ambayo itarushwa moja kwa moja na kituo cha...

 

3 months ago

Michuzi

Droo ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup (ASFC) yafanyika leo

Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam yaani Azam Sports Federation Cup (ASFC), imezinduliwa rasmi leo Jumatano Oktoba 25, 2017 kwa droo maalumu kwa timu zitakazofungua dimba kwa mzunguko wa awali.Droo hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), zilizoko Karume, Ilala jijini Dar es Salaam ambako Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Salum Madadi amesema: “Michuano ya msimu huu itaanzia hatua ya awali kabla ya kuja kwa raundi ya kwanza.”Amesema kwa ujumla...

 

2 years ago

Dewji Blog

Yanga, Azam fc zashinda ugenini Kimataifa katika michezo yao ya leo Machi 12

Timu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya Kimtaifa kwa ngazi ya vilabu ikiwemo Azam na Yanga katika michezo yao leo Macho 12.2016 zimeweza kuchomoka na ushindi ugenini  hali ambayo zinajiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele zaidi kwenye michuano hiyo.

Yanga wao wamweza kuchomoka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya wapinzani wao, Warwanda, Klabu ya APRA ambayo ni ya Jeshi. Kwa upande wa Azam wao wamepata ushindi huo usiku huu baada ya kuifunga bao 3-0 dhidi ya wapinzani wao Bidvest Wits ya...

 

10 months ago

Michuzi

DROO YA MTOANO KOMBE LA SHIRIKISHO YAPANGWA, YANGA KUANZA NA WAARABUNa Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
DROO ya hatua ya mtoano ya kuingia kwenye hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho imefanyika mchana wa leo na timu 32 kupangwa kwenye michezo hiyo.
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa Yanga wameingia kwenye hatua hiyo baada ya kushindwa kuingia kwenye makundi ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika.
Ratiba kamili ni kama ifuatavyo:
1)Yanga vs Mc Alger2)Enugu rangers vs Zesco3)Horoya Ac vs IR Tanger4)AsTanda vs Platinum star5)BYC vs Supersport...

 

10 months ago

MillardAyo

Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya droo, Yanga vs ?? TP Mazembe vs ??

Baada ya Dar es Salaam Young Africans kutolewa katika michuano ya Club Bingwa Afrika na Zanaco FC ya Zambia na kuangukia Kombe la shirikisho barani Africa, leo March 21 2017 shirikisho la soka barani Afrika CAF limechezesha droo ya mtoano wa mwisho. Mwaka huu ambapo mashindano ya CAF yamefanyiwa mabadiliko ya Club Bingwa na Shirikisho […]

The post Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya droo, Yanga vs ?? TP Mazembe vs ?? appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

GPL

YANGA VS AZAM NGOMA DROO, WATOKA SARE YA 2-2

Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Azam FC. Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akiwa kazini wakati wa mechi ya leo dhidi ya Azam FC. TIMU za Yanga na Azam FC leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 2-2 kwenye mtanange wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Azam yamewekwa kimiani na Didier Kavumbagu katika dakika ya 5… ...

 

2 years ago

MillardAyo

Droo ya Kombe la Shirikisho Afrika imefanyika, Yanga kapangwa na klabu yenye miaka 39

cv

Baada ya klabu ya Dar es Salaam Young Africans kuondolewa katika michuano ya klabu Bingwa barani Ulaya usiku wa April 20 2016 na klabu ya Al Ahly ya Misri kwa jumla ya goli 2-1, sasa wanajiandaa kurudi kucheza Kombe la shirikisho barani Afrika katika hatua ya 16. Yanga imepangwa kucheza na klabu ya Grupo Desportivo Sagrada Esperança ya […]

The post Droo ya Kombe la Shirikisho Afrika imefanyika, Yanga kapangwa na klabu yenye miaka 39 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Mtanzania

Yanga, Azam kazini kombe la FA

Untitled-1NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

TIMU ya Yanga leo itakuwa na kibarua kizito cha kuendeleza makali yake wakati itakapopambana na Ndanda FC katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo unafanyika baada ya timu hiyo kufanya vizuri kwenye michezo  yake ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuziondosha timu za Cercle de Joachim  ya Mauritius na APR ya Rwanda.

Yanga itaingia uwanjani ikiwa na  kumbukumbu ya ushindi wa bao...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani