DSTV YAZINDUA MSIMU WA LIGI ZA ULAYA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

DStv yazindua Msimu Mpya wa Soka, Ligi ya Uingereza kutangazwa kwa Kiswahili

Wakati vuguvugu la soka ulimwenguni likizidi kupanda, Kampuni ya Multichoice Tanzania kupitia king’amuzi cha DStv imezindua kampeni maalum ya Msimu mpya wa Soka ijulikanayo kama ‘Full vyenga Bila Chenga’  ambapo watanzania kupitia DStv wataweza kushuhudia mubashara michuano mikubwa ya soka ulimwenguli inayotarajia kuanza hivi karibuni ikiwemo Ligi kuu ya Uingereza (PL) na ligi ya Hispania (La Liga) pamoja na makombe mengine maarufu Duniani.
Pazia la ligi kuu ya uingereza litafunguliwa...

 

3 years ago

Dewji Blog

DStv wazindua rasmi msimu mpya wa Soka Barani Ulaya, Ligi ya Uingereza kutangazwa Kiswahili

Kampuni ya Multichoice Tanzania kupitia kisimbuzi cha DStv wamezindua  msimu mpya wa soka barani Ulaya huku kwa mara ya kwanza ligi kuu ya Uingereza ikitangazwa kwa lugha ya kiswahili. Msimu huo mpya unaotarajiwa kuanza Agosti 13 unat anatarajiwa kuwa wa kipekee hasa baada ya kupunguza bei kwa watumiaji wapya ambapo watapata kwa dekoda kwa shilingi 79,000.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mwaka mpya wa Soka, Mkurugenzi wa Multichoice Maharage Chande amesema kuwa msimu huu mpya utakuwa ni wa...

 

3 years ago

Michuzi

DSTV WAZINDUA MSIMU MPYA WA SOKA BARANI ULAYA.

 Mkurugenzi wa Multichoice Maharage Chande akimkabidhi mwandishi wa habari wa Kituo cha TBC Evance Mhando dekoda ya DSTV leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Multichoice Maharage Chande katikati akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa msimu mpya wa soka barani Ulaya leo Jijini Dar es salaam, kulia ni Meneja Uendeshaji Ronald Baraka Shelukindo na kushoto ni Afisa Masoko Furaha Samalu.
Baadhi ya wadau wa michezo wakimsikiliza Mkurugenzi wa Multichoice Maharage Chande jijini Dar...

 

2 years ago

Michuzi

StarTimes yazindua msimu wa tatu wa uoneshwaji wa ligi ya Bundesliga 2017/2018


Na Agness Francis, Blogu ya jamii.
Kampuni ya  Startimes Tanzania imezindua uoneshaji wa ligi ya  Bundesliga  mwaka 2017/2018 ambayo itarushwa mubashara kupitia  vipindi vya startimes  kwa wapenzi wa soka hapa  nchini
Uzinduzi huo umefanyika  leo jijini Dar es Salaam lengo ni kuwa  kuwafahamisha wapenzi  wa mpira kununua ving’amuzi na   kujiunga na vifurushi  ili kuburudika na mechi hizo ambazo ligi hiyo itakuwa ikiionyeshwa moja kwa moja na startimes.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Ligi Kuu Ulaya zimemalizika, angalia magoli 100 bora yaliofungwa msimu wa 2015/2016

football_and_goal-970-80

Ligi Kuu za soka nyingi duniani zimemalizika ila wakati wa Ligi Kuu na mashindano mbalimbali yakiendelea tulikuwa tukishuhudia magoli mengi yakifungwa kwa ufundi na stahili tofauti tofauti, mtu wangu wa nguvu nimeona wakati huu Ligi zikiwa zimemalizika nikukumbushie video ya magoli 100 bora yaliofungwa katika msimu wa 2015/2016. ALL GOALS: YANGA VS GD ESPERANCA MAY 7 […]

The post VIDEO: Ligi Kuu Ulaya zimemalizika, angalia magoli 100 bora yaliofungwa msimu wa 2015/2016 appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Usiku wa Dec 21 Ozil kaweka rekodi hii, hakuna mchezaji yoyote wa Ligi 5 kubwa Ulaya aliyeifikia msimu huu …

Usiku wa December 21 klabu ya Arsenal inayofundishwa na kocha wa kifaransa Arsene Wenger iliingia katika headlines za ushindi baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Manchester City katika dimba la Emirates. Magoli ya Arsenal yalifungwa na Theo Walcott na Oliver Giroud, ila stori kubwa haikuwa ushindi wa Arsenal. Kwani katika mitandao […]

The post Usiku wa Dec 21 Ozil kaweka rekodi hii, hakuna mchezaji yoyote wa Ligi 5 kubwa Ulaya aliyeifikia msimu huu … appeared first on...

 

3 years ago

Zanzibar 24

LIgi ya mabingwa Ulaya: Uefa yazipa Ulaji ligi kubwa nne barani Ulaya

Shirikisho la soka la Ulaya UEFA limetangaza mabadiliko katika michuano ya UEFA Champions League kuanzia msimu ujao 2017-18.

Kuanzia msimu ujao, timu 4 za juu kutoka katika ligi 4 bora barani Ulaya (La Liga, Premier League, Budesilga na Serie A) zitakuwa zinafuzu moja kwa moja kuingia hatua ya makundi bila kupitia hatua ya mtoano.

Awali timu zilizoshika nafasi ya nne katika msimamo wa ligi hizo zilikuwa zinacheza mchezo wa mtoano (play off) na mshindi ndiyo anafuzu hatua ya makundi kama...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani