Dunia yaadhimisha miaka 70 ya mkataba wa haki za binadamu huku Afrika mashariki, haki za binadamu zikipitia changamoto

Disemba 10 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya haki za binadamu, tukio linalokumbukwa baada ya kutiwa saini kwa azimio la haki za binadamu mwaka 1948.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mariado na walimu iliyopo Usa River ,wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya pamoja waliposhiriki maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu barani Afrika katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu iliyofanyika Oktoba 21 na kudai haki za wenye ulemavu wa ngozi(Ualibino) kulindwa kama wananchi wengine
Mwanafunzi Kelvin wa shule ya Mariado akiimba wimbo Umoja wa Afrika(AU)ambao ni maalumu wakati wa shughuli za umoja huo zinapofanyika.
Kamishna wa Tume...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!

DSC_1095

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu   kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...

 

2 years ago

Channelten

Ripoti ya hali ya haki za Binadamu 2016,Haki ya kuishi bado yawa changamoto

1414070038980

Ripoti ya Tanzania ya Hali ya haki za binadamu ya 2016 inaonesha haki ya kuishi imeendelea kuwa mashakani kwa watanzania wengi, hasa ikichangiwa na mambo kadhaa miongoni mwake ikiwa ni uwepo wa sheria ya adhabu ya kifo, mauaji yatokanayo na imani za kishirikina, matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi na vifo vitokanavyo na ajali za barabarani.

Kwa mujibu wa ripoti ya haki za binadamu ya 2016 inayoandaliwa kila mwaka na Kituo cha sheria na haki za binadamu-LHRC imependekeza vyombo,...

 

3 years ago

Dewji Blog

Tume za Haki za Binadamu EAC zakutana kujadili mpango kazi wa haki za binadamu

Tume za Haki za Binadamu na Utawala Bora za nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), leo zimekutana jijini Dar es Salaam katika mkutano wa kutathmini utekelezwaji wa mpango kazi wa haki za binadamu unaomaliza muda wake mwaka huu.

Mpango kazi huo wa miaka mitatu ulianza kutekelezwa mwaka 2014.

Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mary Massay amesema pia mkutano huo utatumika kujadili namna ya kuondoa vyanzo vya migogoro hasa ya kisiasa, kikabila...

 

3 years ago

RFI

Rekodi ya haki za binadamu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki yaimarika

Hali ya haki za binadamu katika mataifa ya Ukanda wa Afrika Mashariki imeimarika  katika miaka ya hivi karibuni kinyume na mambo yalivyokuwa  miaka iliyopita, lakini wadau mbalimbali wanastahili kuongeza juhudi za kuimarisha suala hilo.  

 

4 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA PILI YA PROGRAM YA HAKI ZA BINADAMU UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI YAFANYIKA DAR

 Rais wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya pili ya Program ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki yaliyofanyika katika Chuo cha Bagamoyo (UB) jijini Dar es Salaam.Rais wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga (kulia) akimkabidhi cheti muhitimu wa kozi ya haki za binadamu Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati katika  Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Comfort Maembe, kozi hiyo iliandaliwa na Chuo Kikuu cha Bagamoyo kwa kushirikiana na Akiba...

 

4 years ago

BBCSwahili

Haki za Binadamu Afrika, kusikilizwa?

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu itajadili suala la nchi za Afrika kuikubali mahakama hiyo ifanye kazi zake ipasavyo.

 

5 years ago

Habarileo

Wataka Katiba iwe na haki za watetezi wa haki za binadamu

MTANDAO wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), wamewaomba Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuingiza katika rasimu ya Katiba mpya suala la ulinzi na haki za watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo waandishi wa habari.

 

4 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za binadamu, UNESCO wataka jamii kutambua haki za watu wenye Albinism nchini

XXKamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Dkt. Kevin Lothal Mandopi  akielezea namna ya tume hiyo ilivyo mstari wa mbele kuelimisha Umma dhidi ya vitendo na ukatili kwa watu wenye Ualbinism nchini kwa wadau na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam mapema leo Juni 13.2015.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Tume ya Haki za binadamu na Utawala bora  nchini,  leo Juni 13,2015, imeungana na watanzania wote kuadhimisha siku ya Kimataifa ya uelimishaji umma kuhusu Ualbino...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani