Duterte aondoa polisi kutoka vita dhidi ya madawa ya kulevya

Polisi wanasema kuwa wamewaua zaidi ya watu 3,850 katika oparesheni za kupambana na madawa ya kulevya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

2 years ago

Global Publishers

Mdajala Mkali: Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya

Mjadala huu utajadiliwa Live (Mubashara) kupitia YouTube Channel uipendayo ya Global TV Online

The post Mdajala Mkali: Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Global Publishers

Mjadala Mkali: Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya

Mjadala huu utajadiliwa Live (Mubashara) kupitia YouTube Channel uipendayo ya Global TV Online

Save

Save

The post Mjadala Mkali: Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Global Publishers

Makonda: Mafanikio Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya Yaonekana

Makonda (kushoto) na Kamanda Siro

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema kelele zinazoendelea dhidi yake ni dalili za mafanikio katika vita dhidi ya dawa za kulevya.

Makonda ameyasema hayo jana alipokuwa mgeni rasmi katika tamasha la Twendezetu Kigamboni lililofanyika Kigamboni jijini Dar es Salaam ambako alisisitiza kwamba mapambano dhidi ya dawa za kulevya ni vita vya ya kufa au kupona.

Waziri Mkuu Majaliwa wa kwanza (kushoto) Paul Makonda na kamanda Siro

“Mfahamu kuwa...

 

2 years ago

Global Publishers

RAY C Amuunga Mkono Makonda Vita Dhidi ya Madawa ya Kulevya

Rehema Chalamila “Ray C”

Ray C

MSANII wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila maarufu kama‘Ray C’ Kiuno Bila Mfupa, amejitokeza kumuunga mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kuweka video mtandaoni ikimuonesha mtu aliyepoteza maisha kwa madawa ya kulevya huku akiandika: “SAY NO TO DRUGS”

Aidha Ray C ambaye anatajwa kama nimhanga wa madawa hayo aliwahi kupewa huduma vituo mbalimbali vinavyotoa huduma kwa waathirika wa madawa ya kulevya ‘Sober House’ na baada ya muda anaonekana...

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Maandalizi ya mkutano wa RC Makonda wa vita dhidi ya Madawa ya kulevya

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda muda mfupi ujao hapa katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere atatangaza list mpya ya majina ya watu wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya Madawa ya kulevya.

Hii itakuwa list ya tatu ya mkuu huyo baada ya mbili kupita.

Katika list zilizopita vigogo mbalimbali walitajwa kama Yusuph Manji, Iddi Azzan, askofu Gwajina na wengine.

Pia mkutano wa leo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja viongozi wa usalama. Angalia picha.

Jiunge na...

 

2 years ago

Michuzi

WANAHABARI TUMUUNGE MKONO RAIS KATIKA VITA DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA.

Na Raymond Mushumbusi WHUSM.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amevishauri vyombo vya habari nchini kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli katika vita dhidi ya madawa ya kulevya nchini.
Ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani yaliofanyika katika Chuo Kikuu huria cha Tanzania na kusisitiza kuwa vyombo vya habari viwe sehemu ya kuwaunganisha watanzania katika mapambano dhidi ya madawa ya...

 

2 years ago

StarTV

Wilaya ya Temeke yafanya matembezi maalum kupinga vita dhidi ya madawa ya kulevya

Wilayani Temeke Jijini Dar Es Salaam imeanza kampeni ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya kwa kufanya matembezi na kuhamasisha usafi wa mazingira.

cocain

Matembezi hayo yaliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema pia yalikuwa na lengo la kupiga vita uhalifu unaoendelea Jijini Dar Es Salaam.

Baada ya matembezi hayo yaliyoanzia uwanja wa Taifa hadi Temeke Mwisho Jijini Dar Es Salaam,Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema anasema matumizi ya dawa za kulevya hayana budi kupigwa vita...

 

2 years ago

Global Publishers

Raza Amuunga Mkono Rais Magufuli Vita Dhidi ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya

Mohammed Raza

MWAKILISHI wa Jimbo la Uzini Zanzibar Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Mohammed Raza, leo amezunguamza na waandishi wa habari kuunga mkono vita dhiti ya madawa ya kulevya.

Mohammed Raza na wanahabari (kushoto).

Raza ambaye pia ni kada wa Chama cha mapinduzi leo jijini Dar es Salaam, amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano dhidi ya vita ya matumizi ya madawa ya kulevya na pia amemuunga mkono mh Rais John Pombe Magufuli kwa jitihada zake kuhakikisha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani