Ebola: Uganda yaendelea na zoezi la upimaji wa Afya kwenye mpake wake na DRC

Serikali ya Uganda, imeendelea kuimarisha upimaji wa afya katika mpaka wake na DRC, kwa hofu ya kusambaa kwa maambukizi ya ugonjwa hatari wa Ebola.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Channelten

Zoezi la Upimaji Afya kwa wakazi wa Dsm wengi waliopima afya zao wamebainika kuwa na magonjwa haya

makonda-kupima10-768x512

Wakati zoezi la Upimaji Afya kwa wakazi wa jiji la Dsm lililoandaliwa na mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda linakamilika leo wakazi wengi waliopima afya zao wamebainika kuwa na magonjwa ya shinikizo la damu,Matatizo ya moyo ,tezi dume kwa wanaume huku wanawake wakikabiliwa na matatizo ya saratani ya shingo ya kizazi.

Mganga mkuu wa mkoa wa Dsm Grace Maghembe akizungumza katika eneo hilo la Mnazi mmoja ambako zoezi hilo lilifanyika amesema hizo zilikuwa takwimu za awali kabla ya majumuisho...

 

2 years ago

Michuzi

ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DAR LAFIKIA TAMATI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Paul Makonda jana amefunga rasmi zoezi la Siku tano la Upimaji wa Afya Bure kwa Wananchi wa Dar es salaam, ambapo amewasihi Wananchi kujiwekea utaratibu wa kupima Afya zao mara kwa mara.

Hadi kufikia majira ya Mchana zaidi ya Wananchi 11,000 walikuwa tayari wamepimwa afya zao,Makonda amesema lengo ni kuhakikisha Wananchi wote zaidi ya 20,000 waliohudhuria wanapimwa na watakaobainika kuwa na matatizo ya kiafya Wanapatiwa Matibabu.

Makonda amewashukuru ...

 

4 years ago

Michuzi

NSSF YAENDESHA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA WAKAZI WA MANISPAA YA MOSHIShirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF) limeendelea na zoezi la upimaji afya kwa wananchi, Zoezi hili lililoanzia mkoani Tanga limeendelea kwenye manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro.
Zoezi lililofanyika kwa siku tatu mfululizo limekuwa la mafanikio kwa kuweza kuwafikia watu zaidi ya 900 .
Huduma zilizo kuwa zikitolewa kwenye zoezi ni pamoja na:
• Upimaji wa Shinikizo la damu
• Upimaji wa sukari kwenye damu- Kisukari
• Upimaji wa hali ya lishe (Uwiano wa Urefu kwa uzito)
• Ushauri wa kitaalam...

 

5 years ago

Michuzi

NSSF YAHITIMISHA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE KANDA YA ZIWA

Dokta Ali Mtulia, Meneja wa Mafao ya Matibabu NSSF akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu Fabian Massawe, watatu toka kushoto, Huku Mganga mkuu wa mkoa wa Kagera Dr.Ruta Thomas(wa kwanza kushoto), Mkurugenzi wa wilaya ya Bukoba, Bw.Adoh Mapunda(wa pili Kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha Msalaba Mwekundu Kagera , Bw.Leonard F Kachebonah0 (wan ne toka kushoto) wakisikiliza kwa Makini. Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Masawe (katika),...

 

3 years ago

Michuzi

NHIF KIGOMA WAENDESHA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA WANANCHI BURE.

Baadhi ya wakazi wa Kigoma wakijiandikisha tayari kwa upimaji afya zao bure katika viwanja vya mwanga center.Mkazi wa Kigoma mjini akipimwa shinikizo la damu(BP) katika viwanja vya mwanga center zoezi linaloendeshwa bure na mfuko wa bima ya afya(NHIF).Mkazi wa kigoma akichukuliwa vipimo kwaajili ya kupima ugonjwa kisukariMeneja wa mfuko wa bima ya afya Mkoa wa Kigoma Elias Odhiambo akiongea na waandishi juu zoezi hilo la upimaji wa wananchi afya zao bure.
Na Editha Karlo,wa blog ya jamii...

 

2 years ago

Michuzi

CHINA KUONGEZA NGUVU ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE DSM

Balozi wa Jamhuri ya watu wa China anaemaliza Muda wake nchini amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda katika Viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo zoezi la upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa Dar es Salaam limeingia siku ya Nne.
Mhe Balozi wa China akiwa ameambatana na Maofisa wa Ubalozi huo hapa nchini Ameshangazwa na UBUNIFU wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda wa kuwasaidia wananchi wengi wa Mkoa kwa WAKATI MMOJA hususani ni wenye vipato vya Chini ambao idadi...

 

2 years ago

Channelten

Kufanikisha Zoezi la Upimaji Afya, Taasisi mbalimbali zapewa vyeti

MAKONDA

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Paul Makonda ametoa Vyeti Maalum vya ShukranI kwa madaktari ,Taasisi za afya na vyombo vya habari ikiwemo Afrika Media Group kwa kufanikisha zoezi la siku tano la Upimaji afya ambapo zaidi ya wananchi elfu 14 na mia 600 walijitokeza.

Akizungumza baada ya kukabidhi vyeti hivyo Makonda amesema taasisi,Madaktari na vyombo vya habari vimefanya kazi kubwa katika kufanikisha zoezi hilo ambalo pia liliwavutia wananchi kutoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kupata vipimo vya afya...

 

5 years ago

Michuzi

NSSF YAENDELEA NA KAMBI ZA UPIMAJI AFYA KANDA YA ZIWA

Na Mwandishi Wetu
Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), linaendesha  kambi za upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa kanda ya ziwa kwa kipindi cha mwezi mmoja.Lengo la kambi hizi ni kuweza kutoa elimu na  kuwahamasisha wanachama wa NSSF na wananchi kwa ujumla waweze kujenga  tabia ya kupima afya zao mara kwa mara na kujiwekea mfumo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa sugu yasiyoambukiza.Zoezi ambalo lilianzia mkoa wa Mara na kupata mwitiko mkubwa wa wakazi wa Mara kwa kupima...

 

4 years ago

Michuzi

NSSF YAENDESHA ZOEZI LA UPIMAJI AFYA BURE KWA WAKAZI WA TANGA

Meneja wa Mafao ya Matibabu( SHIB) Dk. Ali Mtulia akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali juu ya lengo la kambi ya upimaji Afya kwa wakazi wa Tanga ambayo inaendelea Mkoani Tanga kwenye Viwanja vya Tangamano.Dk. Ali Mtulia (wa tatu kushoto ) na Dk. Limu (kushoto) wakipima uzito na Urefu wa Mkazi wa Tanga ili kuweza kujua na kumshauri juu ya uwiano wa Urefu na Uzito wake.Daktari bingwa wa Siku nyingi Dk. Ali Mzige akimshauri mkazi wa Tanga juu ya afya yake na lishe bora.

BOFYA...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani