ECOBANK TANZANIA KUFADHILI WANAFUNZI SHULE ZA SERIKALI

Ecobank nchini Tanzania kuanzia mwaka huu inaanzisha mpango wa kutoa zawadi ya ufadhili kwa wasichana wanaofanya vyema katika masomo yao kwenye shule za serikali. Aidha pamoja na ufadhili huo ili kuwaweka katika hali ya kuwa na uzoefu na kazi zao wanazosomea, watakuwa wanahakikisha wakati wa likizo wanawafanyia mpango wa kujishughulisha na kazi hizo ili kuwa na uzoefu.
Hayo yamesema na Mkurugenzi Mkuu benki hiyo nchini Mwanahiba Mzee wakati wa hafla ya mchapalo iliyofanyika hoteli ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

ECO Bank Tanzania kufadhili wanafunzi shule za serikali

Benki ya Eco nchini Tanzania kuanzia mwaka huu inaanzisha mpango wa kutoa zawadi ya ufadhili kwa wasichana wanaofanya vyema katika masomo yao kwenye shule za serikali.Aidha pamoja na ufadhili huo ili kuwaweka katika hali ya kuwa na uzoefu na kazi zao wanazosomea, watakuwa wanahakikisha wakati wa likizo wanawafanyia mpango wa kujishughulisha na kazi hizo ili kuwa na uzoefu.Hayo yamesema na Mkurugenzi Mkuu benki hiyo nchini Mwanahiba Mzee wakati wa hafla ya mchapalo iliyofanyika hoteli...

 

3 years ago

Ippmedia

Serikali yabaini uwepo wa wanafunzi hewa 52783 kwa shule za msingi,12415 kwa shule za sekondari

Serikali imebaini uwepo wanafunzi hewa 52,783 kwa shule za msingi na 12,415 kwa sekondari ambao wangeliingizia taifa hasara ya zaidi ya shilingi milioni 931 ambazo zingepelekwa mashuleni kwa ajili ya ruzuku kwa mwaka wa fedha 2016/17 huku ikitamka kuwachukulia hatua kali kwa watumishi watakaobainika kufanya njama za mchezo huo mchafu unaoliingizia taifa hasara.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

3 years ago

Mwananchi

Mo Foundation kufadhili wanafunzi UDSM

Taasisi ya MO Dewji Foundation jijini Dar es Salaam inatarajia kuanza kuwasomesha wanafunzi waliofaulu vizuri kwenye mitihani yao ya kidato cha sita lakini wakakosa pesa za kuendelea na elimu ya juu.

 

5 years ago

Uhuru Newspaper

China kufadhili wanafunzi elimu ya ufundi

NA NTAMBI BUNYAZU
Mjumbe wa Baraza la Ushauri wa Kisiasa la China, Dk. Annie Wu, amesema atatoa ufadhili wa nafasi za masomo kwa wanafunzi wa Kitanzania kwenda kusoma elimu ya ufundi nchini humo.
Alisema lengo la kufanya hivyo ni kukuza na kudumisha uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na China.
Dk. Wu amekuja nchini kwa mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete, ambapo amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome.
Katika mazungumzo hayo alimwambia...

 

3 years ago

Habarileo

China kufadhili uchapishaji vitabu shule za Dar

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China kupitia Jimbo la Jiangsu imetoa fursa ya kufadhili uchapishaji wa vitabu milioni 1.4 vya masomo ya Sanaa na Biashara kwa ajili ya Shule za Sekondari za Mkoa wa Dar es Salaam.

 

2 years ago

Malunde

SERIKALI KUWARUDISHA SHULE WANAFUNZI WALIOPATA MIMBA

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Serikali imejipanga kutengeneza mwongozo wa kuwarudisha shuleni wanafunzi waliopata mimba wakiwa masomoni ili kuhakikisha wanapata elimu hadi kufikia ngazi za juu.

Hayo yamesemwa jana Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi Masuala Mtambuka kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Venance Manori alipokuwa akifungua warsha ya kuwawezesha Maafisa Waandamizi wa Serikali kutoka nchi sita za Afrika katika kutengeneza mipango inayozingatia jinsia katika...

 

4 years ago

StarTV

Serikali yalipa deni, wanafunzi warejea shule Kagera.

Na Mariam Emily,

Bukoba.

 

Serikali imelipa shilingi milioni mia moja sitini na tisa kati ya deni la zaidi ya shilingi milioni mia tisa wanazodai wazabuni wanaosambaza vyakula katika shule za sekondari za Serikali mkoani Kagera.

 

Hatua hiyo imerejesha wazabuni hao na kuanza tena kutoa huduma ya chakula mashuleni.

 

Kutokana na hatua hiyo wanafunzi katika shule mbalimbali za sekondari mkoani Kagera wameanza kurejea mashuleni.

 

Mmoja wa wazabuni Carlos Wilson amesema wazabuni wameonyesha...

 

3 years ago

Global Publishers

Davido Ammwagia Sifa Baba’ke Kwa Kufadhili Wanafunzi

davido-2MWANAMUZIKI Davido wa Nigeria, amemmwagia sifa kedekede baba yake kwa kufadhili masomo ya chuo kikuu kwa wanafunzi wapatao 100 ambao walihitimu jana katika Chuo Kikuu cha Adeleke ambacho kiko chini ya umiliki wake.

Davido, ambaye mashabiki wake humwita Omo Baba Olowo, amefurahishwa sana na hatua hiyo ya baba yake ya kuongeza ustawi wa jamii nchini humo kwa kutoa elimu ya bure kwa watu wanaoitaka, jambo ambalo alisema iwapo lingeigwa na watu wengi Nigeria ingepiga hatua kubwa...

 

1 year ago

Michuzi

ECOBANK YABORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI SHULE YA MSINGI HANANASIFU JIJINI DAR

Shule ya Msingi Hananasifu, iliyopo katika manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeepukana na dhahama ya kuweza kupata magonjwa ya mlipuko kama vile Kipindupindu baada ya Ecobank kuboresha miuondombinu ya maji shuleni hapo.Kifuatia uwekwaji wa miundombinu hiyo bora pia, Ecobank imeweka tanki maalumu ili kurahisisha usambazaji pamoja na upatikanaji wa Huduma ya maji safi na salama  katika vyoo na maeneo mbali mbali shuleni hapo yenye uhitaji wa maji kwa wanafunzi na walimu.Aidha benki...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani