ECOBANK YABORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI SHULE YA MSINGI HANANASIFU JIJINI DAR

Shule ya Msingi Hananasifu, iliyopo katika manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeepukana na dhahama ya kuweza kupata magonjwa ya mlipuko kama vile Kipindupindu baada ya Ecobank kuboresha miuondombinu ya maji shuleni hapo.Kifuatia uwekwaji wa miundombinu hiyo bora pia, Ecobank imeweka tanki maalumu ili kurahisisha usambazaji pamoja na upatikanaji wa Huduma ya maji safi na salama  katika vyoo na maeneo mbali mbali shuleni hapo yenye uhitaji wa maji kwa wanafunzi na walimu.Aidha benki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

BINTI FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE,SHUELE YA MSINGI HANANASIFU JIJINI DAR


 Mkurugenzi wa taasisi ya Binti Foundation Johari Sadiq akizungumza mapema leo mbele ya Wanahabari (hawapo pichani),Katika hafla fupi ya utoaji wa msaada wa vifaa vya shule mbalimbali katika shule ya msingi ya Hananasisifu,jijini Dar,ikiwa ni sehemu yao ya kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike,ambapo Kitaifa inaadhimishwa mkoani Mara,Pichani kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo ya Hananasifu  Idda Uisso. Mkurugenzi wa taasisi ya Binti Foundation Johari Sadiq akimkabidhi Mwalimu Mkuu...

 

3 years ago

Michuzi

MCHEZAJI KANU WA NIGERIA AMBAYE NI BALOZI WA KAMPUNI YA STARTIMES ATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU WA SHULE YA MSINGI YA MAJI MATITU MBAGALA JIJINI DAR ES SALAAM


Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Maji Matitu Bw.  Abdul Mgomi akimkaribisha mchezaji huyo shuleni hapo. Kutoka kulia ni Mwalimu Shabani Msabaha wa shule hiyo, Mchezaji Kanu na Makamu Rais wa Kampuni ya StarTimes, Zuhura Hanif.
Mchezaji Kanu akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi msaada huo.Hapa Kanu akimkabidhi msaada wa sabuni ya unga Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Abdul Mgomi.Wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa shule hiyo wakiwa kwenye hafla hiyo.Kanu akitoa msaada wa magodoro.Kwa...

 

2 years ago

Michuzi

TAASISI YA BINTI FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA SHULE,SHULE YA MSINGI MWANANYAMALA KISIWANI,JIJINI DAR LEO
Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akimkabidhi vifaa vya shule Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Mwananyamala Kisiwani, Tuwaje Mohamed kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma shuleni hapo ambao wanatoka katika familia duni. Wa pili kulia ni Caroline Magoti.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akimkabidhi sare za shule, Esther Amon.

Wanafunzi wakiwa darasani.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Binti Foundation, Johari Sadiq, akiwakabidhi sare za shule baadhi ya...

 

3 years ago

Michuzi

MIUNDOMBINU YA KULETA MAJI JIJINI DAR ES SALAAM YAENDELEA KUJENGWA.

 Msimamizi wa ujenzi wa Mradi wa bomba jipya la maji kutoka Ruvu Juu Mlandizi hadi Dar es salaam lenye urefu wa km 40 ambalo liko katika hatua  za mwisho  za ujenzi kutoka DAWASA Mhandisi Christian Gava akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiufundi kuhusu mradi huo. Kushoto ni Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Jamii wa DAWASA Neli Msuya. Wataalam wa ujenzi kutoka DAWASA na kampuni ya Megha Engineering & International Ltd inayojenga bomba jipya la maji kutoka Ruvu Juu Mlandizi hadi Dar es salaam...

 

4 years ago

Michuzi

Airtel yakabithi kisima cha maji kwa shule ya msingi Kumbukumbu Dar

 Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa pili kulia mbele) na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Benedict Missani (wa tatu kushoto mbele), wakiwaongoza wafanyakazi wa Airtel Tanzania na wanafunzi kwenye matembezi ya hisani yenye lengo la kuchangisha pesa kiasi cha shilingi milioni 10, kwa ajili ya kuendelea kuboresha Shule ya Msingi Kumbukumbu , yaliyoanzia katika Makao Makuu ya Airtel , Barabara ya Ali Hassan Mwinyi...

 

4 years ago

Michuzi

SHULE YA MSINGI MBUYUNI JIJINI DAR ES SALAAM YAPIGWA JEKI

 Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty akitoa neno la shukrani baada ya kupokea msaada wa madawati na vifaa vya elimu kwa ajili ya shule ya msingi Mbuyuni kutoka kampuni ya Aggrey&Clifford kupitia taasisi ya Hassan Maajar Trust,wengine pichani wa kwanza kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Mbuyuni Dorothy Malecela,katikati ni Afisa Mtendaji wa Taasisi ya Hassan Maajar Trust Bi.Zena Tenga na kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Matangazo wa Aggrey&Clifford Bw.Oliver...

 

3 years ago

Michuzi

NMB YASAIDIA MADAWATI SHULE MBILI ZA MSINGI JIJINI DAR.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa (kulia) msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa juzi kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB pia ilikabidhi madawati 53 kwa Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Bi. Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi Ofisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Grace Mtesigwa (kulia) msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 yaliyotolewa juzi kwa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB pia ilikabidhi madawati 53 kwa Shule ya Msingi Kibwegere iliyopo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Shule ya Msingi Upendo wakifurahia mara baada ya shule yao kupokea msaada wa madawati 50 yenye thamani ya shilingi milioni 5 kutoka Benki ya NMB jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Shule ya Msingi Upendo...

 

3 years ago

Michuzi

Shule za msingi 50 jijini Dar zachuana shindano la kutamka herufi.

 Mwanafunzi wa shule ya msingi Genesis, Andrelia Muga (kushoto),akichuana na wanafunzi wenzake ili kumpata mshindi    katika shindanola kutamka herufi lililodhaminiwa na kampuni ya Saruji Tanga ambalozaidi ya shule 50 za jijini Dar es Salaam zilishiriki. Mwanafunzi wa shule ya msingi Genesis,Aggrey Marealle (kushoto),akichuana na wanafunzi wenzake ili kumpata mshindi    katika shindanola kutamka herufi lililodhaminiwa na kampuni ya Saruji Tanga ambalozaidi ya shule 50 za jijini Dar es Salaam...

 

4 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI GENIUS KING’S JIJINI DAR

Wahitimu wa darasa la saba Fredrick Robert (kulia) na Rania Hante kutoka shule ya Msingi Genius King’s iliyopo jijini Dar es salaam wakisoma risala yao kwa Mgeni Rasmi Mhandisi Michael Mrema aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo wakati wa mahafali ya nne ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika hivi karibuni shuleni hapo. Mgeni Rasmi Mhandisi Michael Mrema akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo wakati wa mahafali ya nne ya kuwaaga...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani