ELIMU BORA KUIWEZESHA TANZANIA KUPIGA HATUA YA UCHUMI WA VIWANDA

Benny Mwaipaja, WFM, Kondoa
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amesema kuwa uwekezaji katika elimu bora kwa vijana wa kike na wa kiume kutaiwezesha Tanzania kufikia uchumi wa kati wa viwanda hata kabla ya mwaka 2025.
Dokta Kijaji ameyasema hayo wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, wakati wa uzinduzi wa kambi inayowahusisha wanafunzi 260 wa kidato cha pili na cha nne kutoka shule 23 za Sekondari wilayani humo wanaopatiwa mafunzo ya kina ili kujiandaa na mitihani yao.
Kambi hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Channelten

Kufanikisha azma ya Tanzania ya viwanda, Makamu wa Rais asisitiza kuiwezesha sekta ya kilimo

150712

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema ili kufanikisha azma ya Tanzania ya viwanda ni lazima sekta ya kilimo iwezeshwe kwani asilimia 75 ya watanzania wanategemea kilimo.

Makamu wa rais ametoa kauli hiyo jijini dar es salaam wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya umoja wa mataifa ambapo amesema sekta ya viwanda ina umuhimu mkubwa katika kukuza uchumi wa taifa akitolea mfano kuwa mwaka 2016 imechangia asilimia 7 ya pato la taifa ikilinganishwa na asilimia 6.5 mwaka 2015.

Akizungumzia kauli...

 

1 year ago

Michuzi

PROF KABUDI ATAJA HATUA INAZOCHUKUA SERIKALI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesisitiza  Serikali ya Awamu ya Tano inaendelea na hatua  za kuhakikisha kunakuwepo mazingira wezeshaji yatayofanikisha ujenzi wa viwanda nchini. 
Prof.Kabudi amesema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akifungua warsha ya utafiti iliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti ya REPOA ambapo mada kuu ilikuwa kujadili kuelekea jamii inayoendeleza viwanda 2025 : kwanini ushindani ni muhimu.
Pia kwenye warsha hiyo...

 

2 years ago

Channelten

Ujenzi wa Uchumi wa Viwanda na Mazingira Bora

makamu

Serikali imekiri kuwepo kwa changamoto ya upungufu mkubwa wa maeneo ya kufanyia biashara kwa wafanyabishara na wajasiriamali wadogo, wa kati na wale wakubwa na kuahidi kutatua changamoto hiyo kutokana na kutambua umuhimu wa wafanyabiashara hao hasa katika mchakato wa kuelekea kuijenga Tanzania ya Uchumi wa Viwanda.
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan amefahamisha hayo wakati akifungua mkutano na uzinduzi wa mpango wa kuweka maeneo tengefu kwa ajili ya...

 

3 years ago

Michuzi

UCHUMI WA VIWANDA WAHITAJI ELIMU YA UFUNDI IMARA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia, Dk Leonard Akwilapo (kulia) akimkabidhi  nakala za jarida la   utekelzaji wa shughuli za baraza la wafanyakazi Kaimu Katibu  Mtendaji wa  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) , Dk Adolf Rutayuga  kwenye hafla ya  uzinduzi wa baraza hilo la kwanza la  wafanyakazi  wa NACTE jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya NACTE, Mhandisi, Stephen Mlote. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya...

 

2 years ago

Mtanzania

TANZANIA KUTUMIA VIWANDA KILIMO KUFIKIA UCHUMI VIWANDA

Katibu Mtendaji wa Ansaf, Audax Rukonge

Katibu Mtendaji wa Ansaf, Audax Rukonge

Na Joseph Lino,

TANZANIA inapanga kuwa nchi yenye uchumi wa viwanda ifikapo 2025, juhudi za serikali kwa sasa ni  kuhamasisha uanzishaji wa viwanda kuanzia vidogo hadi vikubwa.

Ili kufanikisha mchakato huu, kunahitajika mipango mahususi ya kujenga viwanda vidogo, hasa sekta ya kilimo, ambako malighafi hutokea kwa wingi na rahisi.

Sekta ya kilimo inahitaji maboresho na kuongeza nguvu kwa sababu watu  na wananchi wengi wameajiriwa huko.

Jukwaa Huru la...

 

1 year ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA ELIMU YA JUU NA UCHUMI WA VIWANDA SIMIYU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Elimu ya Juu na Uchumi wa Viwanda lililoandaliwa na Chuo Kikuu Huria Tanzania kwa kushirikiana na Viongozi wa Mkoa wa Simiyu lililofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Alliance, Bariadi mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais). Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanakiteta jambo na Mkuu wa mkoa wa Simiyu,  Mhe. Anthony...

 

2 years ago

Channelten

Serikali yakiri haitafikia malengo ya Nchi ya Viwanda kama Elimu bora haitazingatiwa

Screen Shot 2017-04-18 at 3.58.52 PM

Serikali wilayani Babati mkoani Manyara imehimiza ushirikiano kati yake na wadau wa elimu ili kuiwezesha kufikia malengo yake ya uchumi wa kati kupitia viwanda.

Aidha imesema wadau hao wa elimu wanatarajiwa kuhakikisha elimu bora kwa vijana inatolewa ili kupata wahitimu katika nyanja mbalimbali huku wakizingatia kuwepo kwa ushindani wa soko.

Hiyo ni kauli ya serikali kupitia mkuu wa wilaya ya babati Raymond Mushi wakati anazungumza na wadau wa elimu wilayani hapa ikiwemo shirika la haki...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yapiga hatua maendeleo ya uchumi

OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema Tanzania imepiga hatua katika maendeleo ya uchumi kwa nchi za Afrika Mashariki kutokana na  kupungua kwa mfumuko wa bei, hali inayoleta unafuu wa maisha...

 

2 years ago

Raia Mwema

Mfumo wa China ni sahihi kama Tanzania inataka kupiga hatua ya maendeleo

KWA muda mrefu, kumekuwa na malumbano baina ya makundi mbalimbali ndani ya nchi yakijiuliza je, Tanzania inafuata mfumo gani katika kufikia maendeleo tunayoyataka?

Swali la kujiuliza hapa ni je, Tanzania inafuata taratibu na kanuni za Ujamaa na Kujitegemea kama Katiba ya Jamuhuri ya Muungano ya mwaka 1977 ilivyoainisha kama mfumo wake rasmi wa maendeleo?

Kwa mtizamo wangu mimi hapana, ila tumesombwa na mafuriko ya mfumo wa ubepari unaotawala dunia ya sasa. Ukitazama kwa ukaribu...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani