Elimu bure ya Nyerere vs elimu bure ya Magufuli

Nakubaliana na Rais John Magufuli kuwa Watanzania wanahitaji maarifa. Nakubaliana naye kuwa watoto wa maskini wanahitaji elimu, tena elimu yenye maarifa siyo kurundikana darasani tu pasipo maarifa wala kujifunza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Wizara ya elimu yatoa siku 7, ya Mkapa na Rais MAGUFULI, watakaokula fedha za elimu bure..#MAGAZETINI

MWANANCHI Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amelipa siku saba Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) kutoa maelezo kwa kubadili mfumo wa kupanga madaraja ya matokeo ya kidato cha nne na sita, kutoka jumla ya pointi kwenda wastani wa pointi (GPA). Aidha, waziri huyo aliyewahi kuwa katibu mtendaji wa Necta, kwa […]

The post Wizara ya elimu yatoa siku 7, ya Mkapa na Rais MAGUFULI, watakaokula fedha za elimu bure..#MAGAZETINI appeared first on...

 

3 years ago

MillardAyo

Mikopo elimu ya juu? Jipu jingine? Umeya Dar? ‘elimu bure’ ya Magufuli? >>Stori kubwa (+Audio)

Hii ni nukuu ya baadhi ya stori kubwa zilizogusa vichwa vya habari vya Magazeti ya Tanzania, unaweza kuzisoma zote pamoja na kusikiliza sauti ya uchambuzi wake kutoka redioni. Jeshi la Polisi limesema wapo wafanyakazi wa Benki wanashiriki kufanya uhalifu, limesema linawasiliana na uongozi wa benki kujiridhisha na ishu hiyo… Bodi ya mikopo HESLB yavunja rekodi […]

The post Mikopo elimu ya juu? Jipu jingine? Umeya Dar? ‘elimu bure’ ya Magufuli? >>Stori kubwa (+Audio) appeared first on...

 

3 years ago

BBCSwahili

Magufuli: Elimu ya bure itapatikana Tanzania

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amewahakikishia Watanzania kwamba elimu ya bure itapatikana kama alivyoahidi.

 

2 years ago

Michuzi

TAFITI YA HAKI ELIMU YABAINI ELIMU BURE IMEKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Rais John Pombe Magufuli alipongia madarakani alitangaza elimu bure kwa shule za msingi na sekondari.
Taasisi ya Haki Elimu ni moja ya taasisi ambayo imefanya utafiti katika swala la elimu na kuja na majibu ambayo yameonesha kuwepo kwa mafanikio makubwa katika swala la elimu bure.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mapema leo,Mkurugenzi Mtendaji wa Haki Elimu, John Kalage ametaja kuwa tafiti hiyo imebaini kuwa Sera ya elimu bila malipo...

 

4 years ago

Mwananchi

Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?

Kipindi cha kampeni za uchaguzi zinapokaribia, ni wakati muhimu sana kwa wananchi kuongeza umakini katika kusikiliza na kuamua ipi ni hoja au ahadi ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu.

 

3 years ago

BBCSwahili

Elimu ya bure siku 100 za Magufuli madarakani

Siku 100 za serikali ya awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Magufuli, Unayaona matumaini katika upatikanaji wa huduma za afya na mpango wa elimu bure?

 

1 year ago

Malunde

FEDHA ZA ELIMU BURE ZA MAGUFULI ZAANZA KUTAFUNWA


Fedha zilizotengwa na Rais John Magufuli kwa ajili ya kugharimia elimu bure nchini, zimeanza kutafunwa baada ya kubaini kuwapo kwa udanganyifu, unaofanywa na walimu wakuu wilayani Kalambo katika Mkoa wa Rukwa.
Taarifa zinaeleza kuwa baadhi ya walimu wakuu wilayani Kalambo, wanadaiwa kuzifanyia u.
badhirifu fedha hizo, kwa mbinu ya kufanya udanganyifu wakati wa ununuzi wa vitabu na karatasi kila mwezi zinapotolewa fedha hizo.
Kufuatia udanganyifu huo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya...

 

3 years ago

Mwananchi

Elimu bure itatufikisha kwenye elimu bora?

Wakati Serikali ikiwa imeanza kutekeleza sera ya elimu bure kwa shule za msingi na sekondari, kuna changamoto nyingi zinazoendelea kujitokea zikiashiria kuwapo kwa safari ndefu ya utekelezaji wake.

 

3 years ago

MillardAyo

Mabilioni ya elimu bure ya Rais Magufuli, Mwanza zimepokelewa hiziā€¦

Good news ni kwamba yale mabilioni ya elimu bure ya rais Magufuli tayari yameshawafikia watu wangu wa Mwanza….kazi inabaki kwako wewe mzazi kuhakikisha mwanao nae anayatumia kwa ufasaha ili ajikwamue baade, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ndio mwenye uthibitisho kamili; – Mkuu wa mkoa Mwanza Magesa Mulongo ‘Kwa upande wa sekondari kwa mkoa […]

The post Mabilioni ya elimu bure ya Rais Magufuli, Mwanza zimepokelewa hizi… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani