Elizabeth Warren atangaza azma ya urais Marekani 2020

Warren alisema "hata kama tuna tofauti zetu, wengi wetu tunataka kitu hicho hicho. Kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuwahudumia watu tunaowapenda. Hicho ndicho ninachopigania na ndio maana leo ninazindua kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuwania urais”.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

LOWASSA ATANGAZA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2020

Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema licha ya changamoto nyingi anazopata akiwa ndani ya upinzani, atagombea tena urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 na anaamini atashinda.
Lowassa aliyejitokeza kugombea urais kupitia CCM mwaka 2015 na jina lake kukatwa kisha kuhamia Chadema alikogombea nafasi hiyo akiwakilisha vyama vilivyoungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kushindwa na Rais John Magufuli, bado anatajwa kuwa mgombea mwenye...

 

3 years ago

Bongo5

​50 Cent amhimiza Kanye West agombee Urais wa Marekani 2020

Alipotangaza mwaka jana kuwa mwaka 2020 atagombea urais wa Marekani, watu wengi waliamini kuwa Kanye West alikuwa akiota ndoto za mchana. 

Hata hivyo wapo watu ambao wanaamini kuwa Yeezy pamoja na kutokaukiwa vituko, anafaa kuchukua fomu kuwania nafasi hiyo kubwa duniani. Mmoja wa watu hao ni 50 Cent, hasimu wake wa zamani.

“Nadhani Kanye anatakiwa kugombea,” 50 alisema kwenye podcast ya Drink Champs.
“Sijali kama atapoteza. Nataka tu agombee, watu hawawaamini wanasiasa hivyo watamuangalia...

 

4 years ago

Bongo5

Rihanna amuunga mkono Kanye West aliyetangaza kuwania urais wa Marekani 2020

Kanye West alitangaza uamuzi mkubwa kwenye VMAs weekend iliyopita – kuwania urais wa Marekani 2020. Haijalishi kama ataendelea na uamuzi huo, lakini tayari rapper huyo ameshapata support kutoka kwa mastaa wengine akiwemo Rihanna. Kwenye interview na ET, muimbaji huyo wa “Bitch Better Have My Money”alimuunga mkono Yeezy. “I mean people are voting for [Donald] Trump,” […]

 

4 years ago

Bongo5

Kanye West azungumzia mipango yake ya kugombea urais wa Marekani mwaka 2020

Kama ulikuwa na mashaka juu ya kauli aliyoitoa Kanye West ya kuwa atagombea urais wa Marekani mwaka 2020, rapper huyo amesisitiza kuwa yupo serious na alichokisema. Mwezi uliopita kwenye tuzo za 2015 MTV VMAs, Kanye alitangaza kuwa atagombea Uras wa Marekani ifikapo mwaka 2020, na sasa amethibitisha kuwa alimaanisha kile alichokisema pamoja na kuelezea mipango […]

 

4 years ago

Vijimambo

Hillary Clinton atangaza kugombea urais Marekani

Hillary Rodham Clinton akihutubia mkutano New York City March 10, 2015.
Hillary Clinton, mke wa rais wa zamani Bill Clinton, ametangaza kuwaanagombania urais wa Marekani mwaka 2016.

Kulingana na John Podesta, mshauri mwandamizi wa Bi Clinton waziri wa mambo ya nje katika awamu ya kwanza ya Rais Barack Obama, alitangaza nia yake kwa kutuma email Jumapili kwa wafadhili na watu waliomuunga mkono katika kampeni yake ya kwanza ya urais mwaka 2008.

Baadaye Clinton alitangaza rasmi ugombea wake katika...

 

3 years ago

Bongo5

Obama atangaza kumuunga mkono Clinton katika kuwania urais Marekani

Rais wa Marekani Barack Obama ametangaza kumuunga mkono Hillary Clinton kuwa mgombea urais wa chama cha Democratic katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu nchini Marekani.
160128021700_obama_clinton_624x351_getty_nocredit

Amechukua hatua hiyo muda mfupi baada ya kukutana na seneta wa Vermont Bernie Sanders ambaye amekuwa akikabiliana na Bi Clinton katika kinyang’anyiro cha kumchagua mgombea wa chama hicho.

Akizungumza kwenye video ambayo imepakiwa kwenye Twitter na Bi Clinton, Bw Obama amesema mgombea huyo ndiye aliyewahi...

 

1 year ago

Channelten

Azma ya jimbo la Catalonia kujitenga, Waziri Mkuu wa Uhispania atangaza kuchukua hatua madhubuti zaidi

2017-10-10t172423z_1209820647_rc1ed7a4c2e0_rtrmadp_3_spain-politics-catalonia_0

Waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy ametangaza hatua anazokusudia kuzichukua ili kulisambaratisha vuguvugu la wanadai kujitenga kwa jimbo tajiri la Catalonia.

Bwana Rajoy ametoa wito kwa bunge la Uhispania kutumia ibara ya katiba ya Uhispania ambayo haijawahi kutumiwa inayoiruhusu serikali kuu kuingilia kwa muda usimamizi wa jimbo ikiwa viongozi wa jimbo hilo wamekikuka sheria.

Uhamasishaji wa mamlaka hiyo ya kikatiba inayotolewa na ibara ya 155 ya katiba ya Uhispania ndiyo hatua thabiti...

 

5 years ago

Michuzi

2 years ago

VOASwahili

Rais Trump ameelezea azma yake kwa sera za wahamiaji Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump aliweka wazi Jumapili kwamba ili kufikia makubaliano na  wa-Democrat kuruhusu wale wahamiaji wanaofahamika kama Dreamers kuendelea kukaa nchini Marekani atashinikiza kurekebisha mfumo kamili wa kibali cha ukaazi maarufu kama Green Card  akitaka kuajiri maafisa wa uhamiaji zaidi ya 10,000  na kujenga ukuta kwenye mpaka wa kusini. Mwezi uliopita Rais Donald Trump alitangaza mipango ya kumaliza program ya Deferred Action for Childhood Arrivals-DACA sera ya enzi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani