EPL 2018: Jinsi Liverpool ilivyopoteza ubingwa wa EPL

Liverpool wainyuka Wolves Anfield lakini Manchester City wameshinda taji la EPL alama 97.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Ferguson: Klopp ameiweka Liverpool kwenye ubingwa EPL

alex-fergusonMANCHESTER, ENGLAND

ALIYEKUWA kocha wa timu ya Manchester United, Alex Ferguson, amesema kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp, ameifanya timu hiyo kuwa wapinzani thabiti katika mbio za kuwania ubingwa Ligi Kuu England.

Kocha huyo alisema ameguswa sana na kazi anayofanya Klopp katika timu yake  na sasa amefungana pointi na Manchester City, baada ya kucheza michezo tisa ya ligi hiyo msimu huu.

Ferguson, anaamini timu tano za juu katika msimamo wa ligi hiyo zina nafasi ya kutwaa ubingwa, lakini...

 

5 months ago

BBCSwahili

Jedwali la Msimamo wa ligi ya EPL 2018/19: Manchester City, Man United, Liverpool, Chelsea, Arsenal

Msimamo wa Ligi Kuu ya England kufikia tarehe 31 Desemba, 2018.

 

2 years ago

BBCSwahili

Guardiola: Ubingwa EPL ni ndoto

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amesema kuwa timu yake kwa sasa inaweza kuondoka katika zile timu zinazowania ubingwa baada ya kupokea kichapo cha 4-0 kutoka kwa Everton.

 

2 years ago

Mwananchi

Mbio za ubingwa EPL moto

Manchester United imeongeza pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliopigwa jana Old Trafford.

 

2 years ago

Bongo5

Guardiola: Ubingwa wa EPL ni basi tena

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema kuwa timu yake kwa sasa inaweza kuondoka katika zile timu zinazowania ubingwa baada ya kupokea kipogo cha 4-0 kutoka kwa Everton.

Kwa sasa City wapo nyuma kwa alama 10 dhidi ya vinara Chelsea wenye alama 52.

Alipoulizwa kama alama 10 ni nyingi sana alijibu ndio sio rahisi kuzifikia.

Guardiola, ambaye ana miaka 45, amewaambia wachezaji wake kuungana wakati huu wa kipindi hiki kigumu na kutoangalia msimamo wa ligi mpaka mwisho wa msimu.

”Mwishoni...

 

4 years ago

BBCSwahili

Liverpool waichapa Bournemouth EPL

Liverpool imepata ushindi wa pili katika michuano ya ligi ya England dhidi ya timu ya Bournemouth

 

3 years ago

BBCSwahili

Arsenal kuchuana na Liverpool EPL

Mchezaji mpya aliyesajiliwa hivi karibuni Granit Xhaka na Rob Holding wanatarajiwa kuichezea Arsenal kwa mara ya kwanza dhidi ya Liverpool

 

2 years ago

BBCSwahili

Liverpool yaichapa Watford -EPL

Ligi kuu ya soka ya England Watford wakiwa ni wenyeji wa Liverpool katika mchezo pekee wa ligi hiyo Liverpool hapo jana walifanikiwa kuchomoza na ushindi wa bao 1-0

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani