Eti hii ndio itakuwa mechi yake ya kwanza Pep Guardiola atakapojiunga na Man City

Guardiola

Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya FC Bayern Munich akimalizia mkataba wake, kabla ya kujiunga na Man City mwishoni mwa msimu Pepe Guardiola, tayari mechi yake ya kwanza akijiunga na Man City kuna tetesi kuwa imejulikana. Pepe Guardiola anatajwa kuwa na tetesi mechi yake ya […]

The post Eti hii ndio itakuwa mechi yake ya kwanza Pep Guardiola atakapojiunga na Man City appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Meneja wa Man City asema mpangilio wa mechi umekuwa balaa England

Meneja wa viranja wa Ligi ya Premia Manchester City Pep Guardiola amesema mpangilio wa mechi nyingi msimu wa sikukuu umekuwa "janga" kwa wachezaji.

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Kwa nini Lionel Messi ndio changamoto inayomkumba Pep Guardiola na Man City

Where the quadruple will be won and lost by Manchester City boss Pep Guardiola, according to BBC football pundit Alan Shearer.

 

3 years ago

Bongo5

Pep Guardiola: Ander Herrera wa Man United ndio huenda akawa mchezaji wake wa kwanza kumsajili.

maxresdefault2

Kocha Pep Guardiola baada ya uongozi wa Man City kuthibitisha kuwa kocha wao mpya kuanzia msimu ujao, tayari amesha waambia Man City kuwa kuna wachezaji ambao anawataka akiwamo John Stones kutoka Everton mmoja wao ni kutoka kwa majirani zao Man United, Herrera.

Pep-Guardiola11

Inaripotiwa kuwa Guardiola atakapotua Man City mwishoni mwa msimu mchezaji Ander Herrera wa Man United ndio huenda akawa mchezaji wake wa kwanza kumsajili.

maxresdefault2

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

3 years ago

MillardAyo

Staa wa kwanza kusajiliwa na Pep Guardiola Man City ametangazwa leo June 2 2016

Screen-Shot-2016-05-19-at-16.00.43

Klabu ya Manchester City ya Uingereza leo June 2 2016 imetangaza kukamilisha usajili wa kwanza wa kiungo wa kimataifa wa Ujerumani aliyekuwa anaichezea klabu ya Borrusia Dortmund Ilkay Gundogan. Man City wametangaza kumsajili Ilkay Gundogan kwa mkataba wa miaka minne lakini ada ya usajili ya nyota huyo inakadiliwa kufikia pound milioni 21 ambazo ni zaidi ya […]

The post Staa wa kwanza kusajiliwa na Pep Guardiola Man City ametangazwa leo June 2 2016 appeared first on MillardAyo.Com.

 

5 months ago

BBCSwahili

Pep Guardiola: Liverpool huenda ndio bora zaidi duniani kwa sasa, asema mkufunzi wa Man City

Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anaamini kwamba Liverpool huenda ''ndio timu bora zaidi duniani kwa sasa''

 

3 years ago

Zanzibar 24

Guardiola afurahia ushindi wa kwanza katika mechi saba zilizopita: Ubaoun Man City 4- 0 est brom

Sergio Aguero pichani chini akionyesha manjonjo ya  kushangilia bao lake 149 kwenye mashindano yote Manchester City jioni ya leo katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji West Bromwich Albion Uwanja wa The Hawthorns kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England.  Aguero alifunga mawili na mawili mengine yakifungwa na Ilkay Gundogan

26

The post Guardiola afurahia ushindi wa kwanza katika mechi saba zilizopita: Ubaoun Man City 4- 0 est brom appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

MillardAyo

CONFIRMED: Pep Guardiola kathibitishwa kujiunga na Man City

Dejecha

Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pep Guardiola ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya FC Bayern Munich ya Ujerumani, February 1 ameingia kwenye headlines baada ya muda mrefu kuthibitisha kuwa ataondoka FC Bayern Munich lakini hakuwa ameweka wazi klabu gani atanenda kujiunga nayo. February 1 ikiwa zimesalia saa kadhaa kabla ya […]

The post CONFIRMED: Pep Guardiola kathibitishwa kujiunga na Man City appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

BBC

Man City: Pep Guardiola v Yaya Toure's agent - Who said what?

Watch the war of words between Manchester City boss Pep Guardiola and Yaya Toure's agent Dimitri Seluk.

 

3 years ago

MillardAyo

DONE DEAL: Pep Guardiola kasajili staa mpya Man City

Leroy-Sane

Bado headlines za usajili barani Ulaya zinazidi kuchukua nafasi kila kukicha, leo August 2 2016 klabu ya Man City ya England imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji ambaye pia ana uwezo wa kucheza nafasi ya winga Leroy Sane kutoka Schalke 04. Man City wanaofundishwa na kocha wao Pep Gurdiola wamethibitisha kumsajili Leroy Sane kutoka Schalke 04 […]

The post DONE DEAL: Pep Guardiola kasajili staa mpya Man City appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani