EU: Dunia inakabiliwa na ukweli wa vita Syria

Na mkuu wa mashauri ya nchi za nje wa Umoja wa Ulaya,Federica Mogherini, amesema hatimaye ulimwengu unakabili sasa ukweli kuhusu Syria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Arsenal inakabiliwa na vita mbili, asema Wenger

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amekiri timu yake inakutana na mtihani wa kumaliza ndani ya timu nne za juu huku ikiwa bado na lengo la kuifukuza Chelsea kileleni.

 

2 years ago

Mtanzania

2017: DUNIA BADO INAKABILIWA NA MIGOGORO SUGU

kansela-angela-merkel-wa-ujerumaniZIMESHATIMIA siku nne tangu mwaka mpya uanze ingawa kwa muktadha wa kalenda inayotumika zaidi duniani, kama ambavyo hatusherehekei mwaka kwa pamoja kutokana na muda kutofautiana kutokana na eneo husika, lakini pia mustakabali wa dunia umegubikwa na migogoro endelevu iliyovuka mwaka.

Kwamba wanaoishi katika maeneo yenye migogoro mwaka mpya ni mabadiliko tu ya tarakimu, lakini hawana matumaini kimaisha kutokana na kumaliza mwaka kwenye mizozo na kuuanza mwingine katika hali hiyo.

Tukumbuke...

 

3 years ago

BBCSwahili

Trump: Trump: Clinton ataanzisha Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia Syria

Mgombea urais wa chama cha Democratic Donald Trump amesema mpango wa mpinzani wake Hillary Clinton kuhusu kutatua mzozo Syria utaanzisha "Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia".

 

3 years ago

Mwananchi

Vita vyaanza upya Syria

Mapigano mapya yamezuka huko Syria baada ya jeshi kutaka kurudisha eneo linalodhibitiwa na waasi huko Aleppo.

 

2 years ago

Raia Mwema

Mauaji ya balozi wa Urusi yaikumbusha dunia jinsi Vita ya Kwanza ya Dunia ilivyoanza

JUNI 28, 1914, kijana wa miaka 19, mzalendo wa Serbia aliyekuwa akiitwa Gavrilo Princip, alifyatua risasi katika gari ya wazi iliyokuwa ikizunguka katika mitaa ya Sarajevo na huku imembeba Franz Ferdinand, mrithi wa kiti cha ufalme katika milki ya Austria-Hungary.

Ndani ya muda wa mwezi mmoja, mauaji hayo yaliibua mlolongo wa matukio ambayo yalizusha Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, iliyowaacha makumi ya mamilioni ya watu wamekufa na mwishowe kuzusha Vita Kuu ya Pili ya Dunia na, kwa namna...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mamia wahamishwa maeneo ya Vita-Syria

Wafanyakazi wa huduma za misaada nchini Syria wamewahamisha raia wengi wao wakiwa watoto wanawake na wazee kutoka mji wa Homs

 

3 years ago

BBCSwahili

Syria: Urusi yapendekeza kusitisha vita

Azimio la Marekani na washirika wake kutaka mapigano yanayoendelea nchini Syria kusitishwa mara moja kabla mazungumzo ya upatanishi kufanyika yamegonga mwamba.

 

3 years ago

BBCSwahili

Syria: Mataifa yaafikiana vita visitishwe

Mataifa yenye ushawishi duniani yameafikiana kuhusu mkataba wa kusitisha mapigano nchini Syria ambao utaanza kutekelezwa katika kipindi cha wiki moja ijayo.

 

3 years ago

BBCSwahili

Marekani na Urusi kusimamisha vita Syria

Marekani na Urusi zimetangaza kusimamisha vita nchini Syria kuanzia usiku wa Ijumaa.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani