European Union awards Heifer Nederland and Heifer International Tanzania 1.6 Million euros to support farmersí adaptation to effects of Climate in Igunga

The Country Director of Heifer International Dr. Henry Njakoi shakes hand with EU Ambassador to Tanzania H.E Filiberto Sebregondi during the Eco Village grant award ceremony at University of Dar es salaam. Dr. Henry Njakoi ( Right) – Country Director of Heifer Tanzania signs the 1.6 million Euro grant from EU for the Igunga Eco Village project ; Looking on is the EDF Deputy national authorising officer from Ministry of Finance- Mr. Godlove stephen.
Dar es Salaam, Tanzania (June 17,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Heifer Hands Over 300 Cattle to Mbozi Coffee Farmers


Tanzania: Heifer Hands Over 300 Cattle to Mbozi Coffee Farmers
AllAfrica.com
Songwe — HEIFER Tanzania, a Non-Governmental Organisation, has handed over 296 cattle to support coffee farmers in ten villages in Songwe region's Mbozi District. The support through the Mbozi milk project aims at supplementing the citizens' income by ...

 

5 years ago

Michuzi

HEIFER INTERNATIONAL TANZANIA YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUENDELEZA SEKTA YA MAZIWA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Naibu waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambae pia alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Mh Kaika Telele akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya Maziwa Afrika Mashariki uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwl Nyerere Mwishoni mwa Wiki.  Mkurugenzi Mkuu wa Heifer International Tanzania, Dk Henry Njakoi akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya maziwa nchini na wa kimataifa waliofika katika uzinduzi wa Mradi wa Uendelezaji Sekta ya Maziwa Afrika...

 

2 years ago

Michuzi

NINAYO YASHIRIKIANA NA HEIFER INTERNATIONAL KUWANUFAISHA WAKULIMA

Kampuni ya Ninayo kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Heifer International Tanzania ambalo limejikita katika kuondoa umasikini na matatizo ya njaa leo wameshirikiana katika kuwasaidia wakulima wa Tanzania kupata taarifa zote zinazohusu mauzo au manunuzi ya mazao mbalimbali kupitia mtandao wa Ninayo.com.

Ninayo ni jukwaa la mtandao wa kibiashara unaowawezesha wakulima kuuza, kununua au kuangalia bei elekezi za mazao mbalimbali yatokanayo na kilimo pia kuwapa uwanja mpana...

 

2 years ago

Dewji Blog

NINAYO yashirikiana na Heifer International kuwanufaisha wakulima nchini

Kampuni ya Ninayo kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Heifer International Tanzania ambalo limejikita katika kuondoa umasikini na matatizo ya njaa, wameshirikiana katika kuwasaidia wakulima wa Tanzania kupata taarifa zote zinazohusu mauzo au manunuzi ya mazao mbalimbali kupitia mtandao wa Ninayo.com.

Ninayo ambayo ni jukwaa la mtandao wa kibiashara unaowawezesha wakulima kuuza, kununua au kuangalia bei elekezi za mazao mbalimbali yatokanayo na kilimo wamesema kuwa ushirikiano...

 

4 years ago

Michuzi

Wakulima wa Kahawa Mbozi kunufaika na bilioni 1.35 kutoka Heifer International

Na. Mwandishi Wetu
Shirika lisilo la Kiserekali la Heifer International limepokea ufadhili wa Shilingi bilioni 1.35 (USD 750,000) kutoka Starbucks Foundation ili kuwasaidia  wakulima wadogo wadogo wilayani Mbozi kupitia mradi wa Heifer unaojulikana kama “Mbozi Farmer Livelihood Improvement Project”. Fedha hizi zinatarajia kuziwezesha jumuiya za wakulima wadogo wadogo wa zao la kahawa wa nchi za Afrika Mashariki kuboresha na kuinua viwango vya maisha.
Fedha hizi ni sehemu ya mkakati wa...

 

5 years ago

Michuzi

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA HEIFER INTERNATIONAL STEVE DENNE NCHINI

DSCN1621Mfugaji wa Heifer International Tanzania Abel Mwakatumbula na mkewe wakiwa na Makamu wa Rais wa shirika hilo Bw. Steve Denne aliyetembelea Tanzania kwa mara kwanza wiki iliyopita kuona miradi inayoendeshwa na shirika hilo. Katika ziara hiyo, Steve Denne alitembelea ofisi za mkoa wa Mbeya akifuatana na Mkurugenzi wa Heifer International Tanzania Dk Henry Njakoi, Meneja Mradi wa EADD Tanzania Bwana Mark Tsoxo, ambapo walikutana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro. Katika Mazungumzo yake na...

 

5 years ago

GPL

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA HEIFER INTERNATIONAL STEVE DENNE NCHINI‏

Mfugaji wa Heifer International Tanzania Abel Mwakatumbula na mkewe wakiwa na Makamu wa Rais wa shirika hilo. Makamu wa Rais wa Heifer International Steve Denne, Mkurugenzi wa Heifer International Tanzania Dk. Henry Njakoi wakifurahia mafanikio ya miradi ya Heifer International.…

 

2 years ago

TheCitizen

Farmers look up to experts as effects of climate change bite

Farmers in the district have appealed to the government for more agricultural extension officers to help turn around the fortunes of an increasing number of locals turning into farming.

 

1 year ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Initiative to Support 3.5 Million Farmers Launched


Tanzania: Initiative to Support 3.5 Million Farmers Launched
AllAfrica.com
Dar es Salaam — Alliance for a Green Revolution in Africa (Agra) has started an initiative to support 3.5 million small scale farmers to sustainably transform their mode of farming to commercially viable and profitable. Agra head for Tanzania, Rwanda ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani