EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA

Na Anil Ricco, Globu ya Jamii
Timu ya Soka ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu Soka nchini Uingereza (EPL) inatarajiwa kuingia nchini Tanzania, July 12 kucheza Mchezo wake wa Kirafiki na Klabu ya Soka ya Gor Mahia ya nchini Kenya, July 13 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Everton inaingia nchini ikiwa na Gwiji wake wa Soka, Wayne Rooney aliyesajiliwa hivi karibuni.
Katika mchezo huo baina ya Everton na Gor Mahia, Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Michezo, Yusuph Omary Singo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Everton yawachizisha Gor Mahia

BEKI wa Gor Mahia, Harun Shakava, amesisitiza kwamba wanaisubiri kwa hamu fainali yao ya SportPesa Super Cup dhidi ya Everton kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

 

2 years ago

TheCitizen

Gor Mahia eye Everton scalp

Coach Zedekiah Otieno of Kenyan giants Gor Mahia applauded his team after a 3-0 win over their traditional foes AFC Leopards at the Uhuru Stadium yesterday.

 

2 years ago

Mwananchi

Gor Mahia: Waleteni hao Everton

Wakati kikosi cha Everton kimewasili leo kutoka nchini England kwa ajili ya mchezo na Gor Mahia ya Kenya, wapinzani wao wa Afrika Mashariki hawana hofu na wanasema shauku yao ni kuwala chenga nyingi wachezaji wa EPL. 

 

2 years ago

TheCitizen

Gor Mahia, Leopards eye Everton test

The curtain falls on the SportPesa Super Cup today when Kenyan arch-rivals Gor Mahia and AFC Leopards battle it out for the title and the jackpot that goes with it.

 

4 years ago

Vijimambo

AZAM KUCHEZA FAINALI YA KAGAME NA GOR MAHIA

 Beki wa Azam FC, Abbas  Mudathir Yahya akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa timu ya KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 1-0. (Picha na Francis Dande)Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akichuana na beki wa KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Beki wa Azam FC, Agrey Morris akichuana...

 

2 years ago

BBC

Rooney mania grips Tanzania as Everton play Gor Mahia

The England international will make his first appearance for Everton in a friendly in East Africa.

 

2 years ago

BBCSwahili

Wayne Rooney aiongoza Everton kuilaza Gor Mahia Tanzania

Wayne Rooney ameiongoza klabu yake mpya Everton kuishinda klabu ya Kenya ya Gor kwa kufunga bao zuri katika mechi ya kirafiki iliodhaminiwa na kampuni ya Sportpesa.

 

4 years ago

Michuzi

AZAM YAINGIA FAINALI YA KAGAME 2015, KUCHEZA NA GOR MAHIA

 Beki wa Azam FC, Abbas  Mudathir Yahya akimiliki mpira huku akizongwa na mchezaji wa timu ya KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akichuana na beki wa KCCA, Hassan Wasswa katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Kagame uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Beki wa Azam FC, Agrey Morris akichuana na beki wa KCCA,...

 

2 years ago

BBCSwahili

Wayne Rooney kucheza dakika 45 dhidi ya Gor Mahia Tanzania

Mkufunzi wa klabu ya Everton Ronald Koeman yuko tayari kuiongoza klabu yake nchini Tanzania wiki hii katika mechi ya maandalizi ya msimu ujao

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani