Ewura, mamlaka bora mashariki na kusini mwa bara la Afrika

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangazwa kuwa mamlaka bora ya udhibiti wa huduma za maji na usafi wa mazingira katika nchi za mashariki na kusini mwa Afrika kwa kuzingatia mipango ya utawala bora katika udhibiti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

CCM Blog

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM-BARA PHILIP MANGULA AKUTANA NA MKURUGENZI WA NDI KANDA YA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Phili Mangula akikmkaribisha Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani inayoshughulikia masuala ya Demokrasia Duniani (NDI), Kanda ya Mashariki na Kusini Mwa Afrika, Dk. Keith Jennings, kwa ajili ya mazungumzo, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga. na katikati na Maofisa Waandamizi wa Taasisi hiyo.
 Mkurugenzi wa Tasisi ya Kimarekani...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI DKT TIZEBA AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA UPATIKANAJI NA USAMBAZAJI WA MBOLEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO.

 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba akizungumza na Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini,mapema leo katika hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar,mara baada ya kufungua mkutano wa pili wa Upatikanaji na usambazaji wa mbolea kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika,leo katika hoteli ya Hyatt Regency,jijini Dar,Mkutano huo umehudhuriwa na washiriki zaidi ya 200 kotoka nchi mbalimbali Duniani,wakiwemo Wakuu wa Mashirika na Makampuni makubwa ...

 

3 years ago

Michuzi

Mkutano wa 17 wa Wakuu wa Majeshi ya Anga wa Mataifa ya Kusini mwa Bara la Afrika SADC wafunguliwa leo Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufunga Mkutano wa 17 wa siku mbili wa Wakuu wa Majeshi ya Anga wa Mataifa ya Kusini mwa Bara la Afrika SADC – SAC uliomalizika Zanzibar Beach Resort.Kamanda wa Majeshi ya Anga wa Jamuhuri ya Botswana Meja General Mashinyana akitoa shukrani kwa niaba ya wenzake waliotoka nje ya Tanzania kutokana na ukarimu walioupata Zanzibar wakati wa Mkutano wao wa Sadc – Sac.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 17 wa Wakuu wa Majeshi ya Anga wa...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MAHIGA AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA UN WOMEN KWA KANDA YA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake cha Umoja wa Mataifa (UN Women) kwa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bi. Izeduwa Derex-Briggs alipofika Wizarani tarehe 06 Aprili, 2017. Katika mazungumzo yao, Bi. Derex-Briggs alimweleza Mhe. Waziri maendeleo ya utendaji wa Kitengo hicho kwa Kanda na umuhimu wa uwepo wao hapa nchini. Pia alimtambulisha Bi. Hodan Addou, Afisa Msimamizi mpya wa...

 

3 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekitiwa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho akitoa wito kwa mashirika mbalimbali kujikita katika utoaji wa elimu kuhusu maambukizi ya virusi vya UKIMWI huku wakishirikiana na Viongozi wa ngazi ya juu wa dini.Baadhi ya Viongozi wa ngazi ya juu wa dini na wawakirishi wa dini kutoka nchi 17 za Mashariki na Kusini mwa Afrika wakiwa kwenye mkutano huo utakaodumu kwa takribani siku tatu.Picha ya Pamoja Kwa washiriki walio hudhuria mkutano huo.Na Mwandishi wetuViongozi...

 

3 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Wahasibu Wakuu nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika(ESSAG) uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre JNICC jijini Dar es Salaam leo. Walioketi meza kuu kutoka kulia ni Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya Fedha Servacius Likwelile, manaibu katibu wakuu hazina Dkt.Hamisi Mwinyimvua na Bi.Dorothy Mwanyika.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA MKURUGENZI WA IFAD WA KANDA YA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo-IFAD wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Bw. Sana Jatta alipofika Wizarani tarehe 28 Aprili, 2017. Pamoja na mambo mengine walizungumzia namna ya kuendeleza miradi ya kilimo na ufugaji hapa nchini kwa ajili ya kujihakikishia usalama wa chakula na lishe bora kwa maendeleo.  Sehemu ya ujumbe kutoka Ofisi za IFAD hapa nchini...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Tanzania yakutana na Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika kujadili udhibiti wa utakasishaji fedha haramu

Baraza la Mawaziri kutoka Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika la Udhibiti Utakasishaji Fedha Haramu (The East and Southern Africa Anti Money Laundering Group-ESAAMLG), linatarajia kukutana Tanzania tarehe 08 Septemba 2017 mjini Zanzibar.

Taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano serikalini, Wizara ya Fedha na Mipango, imesema mkutano huo umepangwa kufanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini nje kidogo ya manispaa ya Zanzibar.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mkutano...

 

3 years ago

Vijimambo

Rais Jakaya Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Wahasibu Wakuu nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika(ESSAG) uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre JNICC jijini Dar es Salaam siku ya Jumatatu March 9, 2015, Walioketi meza kuu kutoka kulia ni Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya Fedha Servacius Likwelile, manaibu katibu wakuu hazina Dkt.Hamisi Mwinyimvua na Bi.Dorothy Mwanyika.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani