EXCLUSIVE: Mishahara ya kwanza ya mastaa wa soka Samatta, Msuva, Maguli, Himid Mao na Bossou

screenshot_20161214-021149

Leo naomba nikusogezee Exclusive TOP 5 ya mishara yao ya kwanza ya mastaa wa soka, katika TOP 5 hii yupo Mbwana Samatta anyechezea KRC Genk ya Ubelgiji, Elias Maguli anayeichezea Dhofar FC ya Oman, Simon Msuva anayeichezea Yanga, Himid Mao wa Azam FC na staa wa soka pekee wa Ligi Kuu Tanzania bara aliyewahi kucheza […]

The post EXCLUSIVE: Mishahara ya kwanza ya mastaa wa soka Samatta, Msuva, Maguli, Himid Mao na Bossou appeared first on millardayo.com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Mbwana Samatta kampokea Himid Mao Ubelgiji

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta usiku wa May 10 ametumia ukurasa wake wa instagram kupost picha ya pamoja na mtanzania mwenzake Himid Mao anayeicheza Azam FC wakiwa wote Ubelgiji Himid ambaye hivi karibuni alikuwa katika majaribio Denmark katika […]

The post Mbwana Samatta kampokea Himid Mao Ubelgiji appeared first on millardayo.com.

 

1 year ago

MillardAyo

PICHA 10: Mastaa wa soka Bongo Niyonzima, Kaseja, Okwi, Manula na Himid wakiwa na wake zao

Imekuwa ni kawaida kwa baadhi ya mastaa wa muziki kuonekana hadharani au katika mitandao ya kijamii wakiwa na wapenzi wao, inawezekana pia umewahi kuwasikia au kuwaona mastaa mbalimbali wa soka Tanzania lakini hujawahi kupata nafasi ya kuwaona wakiwa na wake zao. Leo February 17 2018 naomba nikusogezee upande wa pili wa maisha binafsi ya mastaa […]

 

5 years ago

Tanzania Daima

Siri ya mafanikio ya Himid Mao hadharani

KARIBU mpendwa msomaji wa gazeti pendwa la Tanzania Daima katika safu mpya ya ‘Jicho Letu Mitandaoni’ itakayokuwa ikikujia kila Jumatatu, ikibeba dhima ya kukupa wewe msomaji machache kati ya mengi...

 

2 years ago

Mwanaspoti

Twite kumbe kama Himid Mao

MNYARWANDA wa Yanga mwenye asili ya Congo, Mbuyu Twite mbali na kushikilia rekodi ya kufunga bao la mkono anaungana na mzawa, Himid Mao wa Azam FC na kuwa wachezaji waliocheza nafasi zaidi ya mbili uwanjani katika msimu huu wa Ligi Kuu Bara.

 

2 years ago

Dewji Blog

Listi ya mastaa 10 wa soka wanaoongoza kwa kulipwa mishahara mikubwa

Mchezo wa soka kwa sasa umekuwa kama biashara ambapo mastaa mbalimbali wa soka wamekuwa wakiingiza pesa nyingi kutokana na uwezo wao wa kisoka lakini pia kufanya biashara na makampuni mbalimbali sababu ya mwonekano wao wawapo ndani na nje ya uwanja na hivyo kufanya kazi kama mabalozi wa kampuni.

MO Blog imekuandalia listi ya wanasoka 10 wanaolipwa pesa nyingi katika klabu wanazochezea;

1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid) – Pauni 365,000 kwa wiki, Pauni Milioni 19 kwa mwaka.
1. Lionel Messi...

 

11 months ago

Michuzi

HIMID MAO MKAMI AAGA RASMI AZAM FC

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii
Aliyekuwa Nahodha wa Azam FC, Himid Mao Mkami ameiaga rasmi timu hiyo, baada yakupata nafasi kwenda kucheza Soka la kulipwa nchini Misri kwenye Klabu ya Petrojet inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo inayofundishwa na Aliyekuwa Kocha wa timu ya taifa ya Misri, Hassan Shehata.
Himid maarufu kwa jina la Ninja aliyekuwa na Azam FC tangu mwaka 2009, katika ukurasa wake wa Instagram ametumia nafasi hiyo kuaga Benchi la Ufundi, Makocha, Viongozi na Wafanyakazi wote wa...

 

3 years ago

Mwanaspoti

SHERIA 17 : Kadi za Blagnon, Himid Mao na umakini wa mwamuzi

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam na Simba uliochezwa juzi Jumamosi umedhihirisha ubora wa timu hizo na namna ambavyo timu hizo zina mashabiki wengi katika soka la Tanzania.

 

3 years ago

MillardAyo

AUDIO: Sababu za Himid Mao wa Azam FC kukamatwa na Polisi Dar es Salaam

Himid-Mao-nyoa2

Jioni ya August 5 2016 kiungo wa klabu ya Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Himid Mao, jina lake lilianza kuwa stori kubwa mitandaoni baada ya kuripotiwa kuwa amekamatwa na polisi kwa kutuhumiwa kumpiga askari wa usalama barabarani (trafiki), millardayo.com imempata kamanda wa polisi Ilala Salum Hamduni “Huyu mchezaji anashikiliwa kituo cha […]

The post AUDIO: Sababu za Himid Mao wa Azam FC kukamatwa na Polisi Dar es Salaam appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

AUDIO: Kauli ya Himid Mao ukimuuliza kuhusu habari za kukamatwa na Polisi

MAO5

Jioni ya August 5 2016 kiungo wa klabu ya Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Himid Mao, zilienea taarifa kuwa amekamatwa na jeshi la polisi na kuwekwa rumande kwa kosa la kutuhumiwa kumpiga askari wa usalama barabarani (trafiki) millardayo.com ilimtafuta Himid Mao “Mimi kwa sasa najiandaa kwenda kwenye mechi siwezi kuongelea […]

The post AUDIO: Kauli ya Himid Mao ukimuuliza kuhusu habari za kukamatwa na Polisi appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani