EXCLUSIVE VIDEO: Maswali Diamond Platnumz hataki kuulizwa kwenye vyombo vya habari mwaka 2016

D 1

Mwimbaji Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive OnAiRwithMillardAyo na kuelezea ishu mbalimbali ikiwemo kuvisema vitu ambavyo hataki kuulizwa kwenye Interview yoyote ya MEDIA mwaka 2016, unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu […]

The post EXCLUSIVE VIDEO: Maswali Diamond Platnumz hataki kuulizwa kwenye vyombo vya habari mwaka 2016 appeared...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Diamond Platnumz avitaka vyombo vya habari kuacha kukuza mgogoro ambao haupo kati yake na Ali Kiba

Mwanamuziki Diamond Platnumz ametangaza rasmi leo kuwa hana mgogoro wowote na Alikiba huku akivitaka vyombo vya habari kuacha kuzusha habari za kuwa wao wawili hawaelewani.

Hitmaker huyo wa Marry You amesema hayo Jumanne hii wakati alipokuwa akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV.

Mimi nimefahamiana na Ali tangu hata sijatoka, ule wimbo wake wa matonge (Usiniseme) mimi ndio nilimpa wale ‘dancers’ nikamwambia watafanya kiti kizuri. Wakati mimi ndio naanza muziki nilikuwa...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Diamond Platnumz alivyotumbuiza kwenye MTV MAMA 2016

20161022_225110

Mwimbaji Diamond Platnumz kutoka Tanzania alikuwa kwenye list ya waliotumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016 zilizotolewa katika ukumbi wa Ticket Pro Dome, Johannesburg Afrika Kusini. Itazame hii video hapa ujionee staa huyo alivyotumbuiza kwenye MTV MAMA 2016. ULIIKOSA HII YA WIZKID ALIVYOPOKEA TUZO YA BEST MALE ILIYOKUWA IKIWANIWA NA DIAMOND PLATNUMZ BASI […]

The post VIDEO: Diamond Platnumz alivyotumbuiza kwenye MTV MAMA 2016 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Swali ambalo Nuh Mziwanda hataki kuulizwa tena na mwandishi yoyote wa habari

Nuh

Kwa mnaofatilia habari za mastaa wa bongo ninayo hii ya Nuh Mziwanda kwenye post, tazama hii video hapa chini kupata yote aliyoyasema. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia […]

The post Swali ambalo Nuh Mziwanda hataki kuulizwa tena na mwandishi yoyote wa habari appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Ippmedia

Serikali imetangaza rasmi kutumika kwa sheria ya huduma ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 na kanuni

Serikali imetangaza rasmi kuwa sheria ya huduma ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2017 imeanza rasmi kutumika kuanzia desemba jana baada ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuisaini na kutangazwa katika gazeti la serikali.

Day n Time: jumapili saa 2:00 usikuStation: ITV

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAARIFA YA HALI YA VYOMBO VYA HABARI NCHINI TANZANIA KWA MWAKA 2016

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe, leo amezindua "taarifa ya hali ya vyombo vya Habari nchini Tanzania kwa mwaka 2016" kwenye maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Kitaifa Jijini Mwanza.  Akizungumza mapema kabla ya uzinduzi huo, Dkt.Mwakyembe, ameahidi kutetea na kulinda uhuru wa waandishi wa habari hususani wanaoandika habari za uchunguzi huku akiwahimiza waandishi wa habari kujikita kwenye habari za uchunguzi badala ya habari za...

 

3 years ago

Bongo Movies

Exclusive Video: Harmonize Ft Diamond Platnumz: Bado

diamond3412

Video mpya ya msanii Harmonize kutoka Wasafi Classic amemshirikisha Boss wake Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Bado”  Video imefanyika nchini Afrika Kusini.

 

3 years ago

MillardAyo

Tekno kahojiwa kwenye Radio… hataki tena kuulizwa kuhusu Mrembo Mtanzania Gigy money.

Tekno 3

Kwa wale wanaofatilia stori za burudani Tanzania hasa ujio wa mwimbaji wa Nigeria Tekno kwenye show ya Dar es salaam walipata kilicho-trend kuhusu mwimbaji huyo staa wa hit single ya ‘wash‘ kuripotiwa kulala na Mrembo wa kitanzania aitwae Gigy Money. Baada ya hizo taarifa kusambaa, Tekno alipost na kuandikiwa caption ya picha yake kwenye Instagram kwa […]

The post Tekno kahojiwa kwenye Radio… hataki tena kuulizwa kuhusu Mrembo Mtanzania Gigy money. appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Sheria ya vyombo vya habari kupingwa kwenye mahakama ya Afrika Mashariki

mahakama33

Leo January 11 2017 Baraza la Habari Tanzania ‘MCT’, kituo cha sheria na haki za binadamu ‘LHRC’ na mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania ‘THRDC’ wamefungua kesi ya kuipinga sheria ya huduma ya vyombo vya habari namba 12 ya mwaka 2016, katika mahakama ya Afrika Mashariki ‘EACJ’. Washirika hao wanataka baadhi ya vifungu […]

The post VIDEO: Sheria ya vyombo vya habari kupingwa kwenye mahakama ya Afrika Mashariki appeared first on...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani