Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Kwanza

Picha na Makala na Josephat Lukaza- Dog Tips TanzaniaMbwa ni mnyama kama wanyama wengine na pindi unapofikiria kufuga mbwa basi kwanza Jiulize Maswali yafuatayo. Moja Upo tayari kumuhudumia mbwa wako kwenye Chakula, Maradhi, Matibabu, Mafunzo na Kutoa Muda wako wa angalau kuanzia nusu saa  mpaka masaa mawili kwaajili ya kukaa nae, kucheza nae na uangalizi? 
Kama jibu ni HAPANA basi fahamu kuwa hujafikia hatua ya kufuga Mbwa ni heri uache maana vinginevyo yatakuwa mateso kwako na kwa mbwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili

Picha/Makala na Josephat Lukaza.

Siku ya Leo tutaangalia Makundi mawili yaliyobaki katika makundi mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa, Siku zilizopita Katika makala ya Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Kwanza tuliweza kuangalia Makundi mawili ambayo ni Viral Infections pamoja na Bacterial Infections. 

Leo tutaangalia makundi mengine mawili ya mwisho ambapo tutapata nafasi ya kuangalia ni magonjwa gani yapo katika Makundi hayo mawili yaliyosalia.

Yes Let's Back to Class kama...

 

2 years ago

Bongo5

Fahamu jinsi dawa za kulevya zinavyoharibu sehemu mbalimbali za Ubongo

Watafiti wamefanya chunguzi mbalimbali kwa kutumia wanyama kama mfano wa kazi amilifu za ubongo wa binadamu ili kufafanua michakato ya kimsingi ya dawa za kulevya katika ubongo. Mada hii ya kushangaza inashirikisha maeneo kadhaa za ubongo na mabadiliko ya sinapsi au mageuko ya neva, ambayo hutokea katika maeneo hayo.

Athari kali

Matumizi sugu (au burudishi)ya dawa nyingi zenye kusisimua kisaikolojia husababisha utolewaji na athari za muda mrefu za dopamini na serotonini ndani ya mfumo mzima...

 

3 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: MAKOSA MBALIMBALI YANAYOTENDWA KILA SIKU NA ADHABU ZAKE (sehemu ya kwanza)

Na  Bashir  Yakub. 
KUTELEKEZA WATOTO/MTOTO. Ni  kosa la jinai. Ni kinyume  na kifungu  cha   166 cha Kanuni  za  adhabu.  Adhabu  yake  ni  kifungo  cha  miaka  miwili. Kosa  linamhusu  mzazi, mlezi, au  mwingine  yeyote aliye na jukumu  la  kuangalia  watoto/mtoto.
KUKATAA  KUMPA  CHAKULA   NA NGUO MTOTO. Ni  kosa la  jinai. Ni  kutokana na   kifungu  cha  167   cha  kanuni  za  adhabu. Adhabu  yake  ni  kifungo cha miaka  miwili.  
KUMNYIMA CHAKULA NA NGUO  MTUMISHI. Ni  kosa la jinai. Ni...

 

5 years ago

Habarileo

Makundi ya mbwa yatishia usalama Sumbawanga

WAKAZI wa Majengo katika Manispaa ya Sumbawanga, hususani watoto na akinamama wanahofia usalama wao kutokana na kuzagaa mitaani kwa mbwa walio katika makundi.

 

2 years ago

Habarileo

Makundi ya mbwa yaua mifugo, yazua hofu

MAKUNDI ya mbwa wanaokadiriwa kufikia 100 yamezua taharuki kubwa kwa wafugaji katika Wilaya ya Kalambo na Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ambao wanadaiwa wameshaua mbuzi 120, kondoo 12 na ndama sita katika kipindi cha miezi mitatu sasa.

 

5 years ago

GPL

MAKUNDI MATATU YA MAGONJWA YA NGONO-2

TUNAENDELEA kuwafafanulia kuhusu makundi matatu ya magonjwa yatokanayo na kujamiiana yaani ngono ambayo tulianza kuyachambua wiki iliyopita. Endelea. Wapo wanawake wanaopata magonjwa hayo kutokana na kubakwa au utumiaji wa madawa ya kulevya au pombe ambayo husababisha kukosa ufahamu na hivyo kufanya ngono zembe.
Kuwa  mwangalifu  wakati  wote  iIi  usiweze  kutumbukia kwenye tabia hizo. Ikibidi kujamiiana tumia kondomu....

 

5 years ago

GPL

MAKUNDI MATATU YA MAGONJWA YA NGONO

Magonjwa ya kuambukizana kupitia kufanya ngono yaani kwa  Kiingereza  yanaitwa  Sexually Transmitted Infections (STI) yamegawanyika katika makundi matatu. Maambukizo hutokea pale majimaji ya mwili kama vile mate, damu, manii, majimaji ya ukeni na kadhalika ya mtu ambaye tayari ameambukizwa, yatatangamana na ya mtu ambaye hajaambukizwa.
Kuna  aina nyingi ya magonjwa hayo ya STI  na yamegawanywa katika makundi makuu matatu...

 

10 months ago

BBCSwahili

Fahamu kwa nini mbwa huyu anatumia kiti cha kutembelea

Kutana na Nuru, mbwa anayetumia kiti cha kutembelea. Alipooza miguu baada ya kugongwa na gari na sasa ni miongoni ya wanyama waliookolewa kwenye kituo cha All Living Things.

 

3 years ago

Mwananchi

Fahamu sababu, tiba ya muwasho sehemu za siri

Kuwashwa sehemu za siri kunaweza kuwa dalili ya maradhi fulani bila kujali jinsi, muwasho unaweza kuwa umesababishwa na ugonjwa wa ngozi, zinaa au mzio.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani