FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP NI TIMU ZA KENYA,YANGA YAONDOLEWA NUSU FAINALI

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

MABINGWA Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom (VPL) Yanga leo wameaga amashindano ya SportPesa Super Cup kwa mikwaju ya penati 4-2 katika mchezo wa hatua ya nusu fainali yanayoendelea kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Uhuru ulianza majira ya saa 8 kamili kwa kuzikutanisha timu ya Yanga dhidi ya AFC Leopard ya nchini Kenya.Mpaka dakika 90 za mpira zinamalizika timu hizo zilitoshana nguvu kwa kutoka suluhu na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

YANGA YATINGA NUSU FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP KWA KUITOA TUSKER YA KENYA KWA PENATI

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga imekuwa timu ya kwanza toka Tanzania kutinga nusu fainali ya Sports Pesa Super Cup kwa mikwaju ya penati. Katika mchezo wa kwanza Singida United ilicheza dhidi ya AFC Leorpads ya Kenya na vijana hao wa Hans Van Der Pluijm walitolewa  kwa  penalti 5-4 Yanga imeing’oa Tusker ya Kenya kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya dakika 90 kukamilika kwa sare ya bila bao.  Kipa wa Yanga, Deo Munishi maarufu kama Dida alichangia kung’olewa kwa Tusker...

 

1 year ago

Michuzi

KUMBILAMOTO AGAWA JEZI KWA TIMU NNE ZILIZOINGIA NUSU FAINALI YA VINGUNGUTI SUPER CUP

  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Freemason Fc ya Vingunguti, Sudi Rashid  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Guantanamo Fc ya Vingunguti ,Abdul Mgohela  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Msako FC ya Kigogo Kani Masumbola  wakati wa hafla ya kukabidhi jezi kwa timu nne zilizo ingia nusu fainali ya Vingunguti Super Cup ...

 

2 years ago

BBCSwahili

Timu ya Gor Mahia yatinga nusu fainali SportPesa

Gor Mahia imekuwa timu ya pili ya Kenya kutinga nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Dullah Makabila kwenye fainali ya SportPesa Super Cup June 11 2017

Muimbaji wa muziki wa Kisingeli Dullah Makabila alikuwa ni miongoni mwa wasanii waliyotoa burudani katika mchezo wa fainali ya SportPesa Super Cup 2017 katika uwanja wa Uhuru Dar es salaam, Dullah alitoa burudani katika fainali hiyo ambayo Gor Mahia waliibuka mabingwa wa SportPesa Super Cup kwa kuifunga AFC Leopards kwa magoli 3-0. VIDEO: Gor Mahia […]

The post VIDEO: Dullah Makabila kwenye fainali ya SportPesa Super Cup June 11 2017 appeared first on millardayo.com.

 

11 months ago

BBCSwahili

Singida United wajiunga na Simba nufu fainali kombe la SportPesa Super Cup

Klabu ya Singida United ya Tanzania Bara imeishinda AFC Leopards ya Kenya kwa mabao 4-2 ya penalti na kufuzu kwa nusu-fainali ya mashindano ya kandanda ya SportPesa Super Cup.

 

3 years ago

MillardAyo

Yanga yaondolewa na URA ya Uganda nusu fainali, Alikiba jukwaani akishuhudia (+Pichaz)

Saa chache baada ya mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016 kumalizika, kwa klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani kuibuka na ushindi wa goli 1-0 na kuweka rekodi ya kuingia fainali yake ya tano ya michuano hiyo. Usiku wa January 10 klabu ya Dar Es Salaam Young African nayo ilishuka […]

The post Yanga yaondolewa na URA ya Uganda nusu fainali, Alikiba jukwaani akishuhudia (+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Yanga imewatoa Mabingwa wa Kenya SportPesa Super Cup

June 5 2017 Mabingwa Ligi Kuu soka Tanzania bara Dar es Salaam Young Africans walicheza dhidi ya Mabingwa wa Ligi Kuu Kenya Tusker FC katika mchezo wa SportPesa Super Cup, Yanga wamefanikiwa kuitoa Tusker FC katika michuano hiyo. Yanga wamefanikiwa kuifunga Tusker FC kwa  mikwaju ya penati 4-2, hivyo ushindi huo umeipeleka Yanga katika hatua […]

The post VIDEO: Yanga imewatoa Mabingwa wa Kenya SportPesa Super Cup appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Michuzi

AFC LEOPARDS USO KWA USO NA GOR MAHIA KWENYE MECHI YA FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP- USHEMEJI POPOTE

Na Zainab Nyamka-Globu ya Jamii.
Washindi wa nusu fainali za SportPesa Super Cup zilizofanyika Juni 08, 2017 Jijini Dar es Salaam, wanatarajiwa kukutana uso kwa uso kwenye mechi ya fainali ya kuwania kombe la michuano ya SportPesa Super Cup siku ya Jumapili ya tarehe 11, Juni 2017 itakayochezwa kwenye dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.

Katika mechi za nusu fainali, AFC Leopards walipambana na mabingwa wa Ligi kuu Tanzania bara, Klabu ya Yanga na kuwang’oa kwa mikwaju ya penati 4-2 ...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Simba SC, Yanga watua Kenya kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup 2018

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/18, Simba SC Jana Mei 31 2018 wametua nchini Kenya wakifuatiwa na Kikosi cha klabu ya  Yanga walioondoka nchini majira ya saa 10:45 jioni kwaajili ya kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup 2018 huko nchini Kenya.

Kikosi cha Yanga ambacho baadhi ya nyota wake hawajaonekana uwanjani hapo akiwemo Ibrahim Ajib kimeondoka kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri zaidi ingawaje kocha wa klabu hiyo, Zahera Mwinyi amedai kuwa michuano hiyo ni kama maandalizi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani