FATILIA HAPA MTANANGE WA YANGA NA TP MAZEMBE MOJA KWA MOJA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

FATILIA HAPA MOJA KWA MOJA ZIARA YA RAIS DKT. MAGUFULI MKOANI PWANI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Kibaha Maili moja katika viwanja vya Bondeni Mkoani Pwani jana, wakati akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu Mkoani humo. leo Rais Magufuli anaendelea na ziara yake mkoani humo ambapo atazindua viwanda vitatu pamoja na mradi wa maji wa Ruvu na baadae kuongea na wananchi.
UNAWEZA KUONA KUPITIA HAPA

 

2 years ago

Michuzi

FATILIA HAPA MOJA KWA MOJA, RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA KUCHUNGUZA MADINI

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA KUCHUNGUZA MADINI.
BOFYA HAPA KUFATILIA LIVE

 

2 years ago

Michuzi

FATILIA HAPA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KUTOKA IKULU KATIKA HAFLA YA KUAPISHWA VIONGOZI MBALIMBALI WALIOTEULIWA NA RAIS MAGUFULI HIVI KARIBUNI

Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
BOFYA HAPA KUFATILIA HAFLA YA KUAPISHWA VIONGOZI MBALIMBALI WALIOTEULIWA NA RAIS MAGUFULI HIVI KARIBUNI

 

2 years ago

Zanzibar 24

Fuatilia hapa matokeo ya moja kwa moja ya uchaguzi wa Rais Kenya

Kura zinaendelea kuhesabiwa na matokeo kutangazwa baada ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Kenya jana Jumanne August 08.

Katika matokeo ambayo yametangazwa rasmi mpaka saa mbili na nusu asubuhi hii, Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee alikuwa akiongoza akiwa na kura 7,407,589 (54.64%) akifuatwa na Raila Odinga wa muungano wa upinzani National Super Alliance (Nasa) aliyekuwa na kura 6,034,295(44.51%) Matokeo hayo ni ya vituo 36,388 kati ya 40,883.

Bonyeza hapa kuangalia matokeo mapya zaidi...

 

2 years ago

Michuzi

JE WAJUA KWAMBA HAPA TANZANIA HAKUNA MTU ANAYEMILIKI ARDHI MOJA KWA MOJA?.


Na  Bashir  Yakub .

Ni  kweli ardhi  umenunua  kwa  hela  yako, ni kweli kiwanja  umetafuta  mwenyewe, ni kweli wewe  ni  Mtanzania  wala sio  mgeni,  lakini  pia  ni  kweli  ukubali  kuwa  ardhi  hiyo  unaimiliki  katika  kipindi  maalum  na  sio  moja  kwa  moja/milele.

 Hapo  ulipo  unapoita  nyumbani  kwako  unapamiliki  kwa  muda  maalum na  sio  moja  kwa  moja  kama  unavyodhani. Tanzania  hakuna  anayemiliki  ardhi  moja  kwa  moja  bali  wote  tunamiliki  kwa  muda  maalum.

Hati  ya ...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani