Fatma Karume apata ridhaa ya Tundu Lissu

Uchaguzi wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) wa nafasi ya urais unatarajiwa kufanyika April 14, 2018, na wakili wa kujitegemea Fatma Karume amesema Jumamosi ana baraka zote za Rais wa chama hicho Tundu Lissu.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Fatma Karume kurithi nafasi ya Tundu Lissu

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amejitosa kumrithi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kugombea urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), utakaofanyika Aprili 14, mwaka huu. Lissu, ambaye aliteuliwa kugombea nafasi hiyo lakini ameshindwa kukidhi matakwa ya kamati kutokana na fomu ya uteuzi iliyowasilishwa kwa sekretarieti hiyo. Kwa mujibu wa sheria mpya, Lissu hataweza kugombea tena nafasi hiyo kwani kifungu cha nane cha sheria hiyo, kinamzuia mtu ambaye ni kiongozi wa...

 

1 year ago

Malunde

FATMA KARUME AJITOSA KUMRITHI TUNDU LISSU TLS

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amejitosa kumrithi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kugombea urais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), utakaofanyika Aprili 14, mwaka huu.


Lissu, ambaye aliteuliwa kugombea nafasi hiyo lakini ameshindwa kukidhi matakwa ya kamati kutokana na fomu ya uteuzi iliyowasilishwa kwa sekretarieti hiyo.

Kwa mujibu wa sheria mpya, Lissu hataweza kugombea tena nafasi hiyo kwani kifungu cha nane cha sheria hiyo, kinamzuia mtu ambaye ni kiongozi wa...

 

1 year ago

Malunde

FATMA KARUME NDIYO MRITHI WA TUNDU LISSU...ACHAGULIWA KUWA RAIS TLS

Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume amechaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Lawyers Society – TLS), akichukua mikoba ya aliyekuwa Rais wa Chama hicho, Tundu Lissu baada ya muda wake kumalizika.

Katika uchaguzi huo, Dkt. Rugemeleza Nshala amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa chama hicho.

Aidha, Ndugu Omar Shaaban amechaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar Lawyers Society.

Kwa mujibu wa katiba ya Chama hicho, Uongozi wa TLS hudumu kwa kipindi cha mwaka mmoja tu, na baada ya...

 

2 years ago

Malunde

WAKILI WA TUNDU LISSU,FATMA KARUME AMBURUZA KORTINI ASKARI POLISI KWA KOSA LA KUMWINGILIA MWILINI NA KUMBUGHUDHI, ADAI FIDIA YA BILIONI MOJA

Wakili wa Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Fatma Karume amefungua kesi ya madai Mahakama Kuu ya Tanzania dhdi ya Inspekta wa Polisi Eugene Mwampondela wa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es salaam.
Fatma amesema kuwa Inspekta Mwampondela alimshika mkono na kumvuta kwa nguvu hali iliyomsababishia maumivu makali, hivyo anadai alipwe kiasi cha shilingi bilioni moja kwa kosa la kumwingilia mwilini mwake na kumbughudhi kwa kumzuia kufanya kazi yake.
“Aliniambia kuwa...

 

2 years ago

VOASwahili

Wakili Fatma Karume asema, 'Lissu ni Mkatoliki si Mwislamu'

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), amefikishwa mahakamani Jumatatu kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi.

 

2 years ago

Mwananchi

Fatma Karume: Lissu kanyimwa dhamana kwa amri toka juu

Wakili wa Tundu Lissu, Fatma Karume amesema polisi walikataa kumpa dhamana mteja wake jana jioni mara baada ya kukamatwa akiwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere.

 

2 years ago

CHADEMA Blog

HATIMAYE TUNDU LISSU APATA DHAMANA

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kutoa lugha ya kichochezi Serikali imeleta hati ya kiapo ambayo inazuia Mh. Tundu Lissu asipewe dhamana.Kibatala ambaye ni Wakili wa mtuhumiwa amepinga kuwa hicho kiapo kilicholetwa hakina mantiki yoyote kisheria kwa sababu kimeletwa kwa kuvizivizia. Halafu kina makosa mengi, kinazungumzia kuhusu

 

2 years ago

Mwananchi

Tundu Lissu apata dhamana Mahakama ya Kisutu

Kasoro za kuandaa kiapo ni moja ya sababu zilizoifanya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kulitupa pingamizi la dhamana dhidi ya Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Tundu Lissu aibwaga serikali, apata dhamana

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema, hatimaye amepata dhamana baada ya ombi la mawakili wa serikali la kuomba mahakam imnyime dhamana kutupiliwa mbali, anaandika Hellen Sisya. Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Wilbard Mashauri amesema, baada ya kupitia hoja za serikali na majibu ya mawakili wa utetezi, haoni mantiki ya kuzuia dhamana kwa Lissu. ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani