Fatuma Makongoro (Bi Mwenda), Msanii aliyetukuka kwenye sanaa ya uigizaji Tanzania

Bi Mwenda ni mzaliwa wa Mara Wilaya ya Bunda kijiji cha Ikwizu Nyamuswa, ni mtoto wa Mtemi Makongoro, ambaye alikuwa rafiki na ndugu wa yamini na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Anasema katika maisha yake wakati yupo darasa la tano mpaka anamaliza alikuwa akiishi Ikulu jijini Dar es Salaam, na alihamishiwa Shule ya Msingi Kinondoni iliyo karibu na Mahakama ya Kinondoni. Wakati huo wenzake walikuwa wakisoma Shule ya Mwenge na kupelekwa na gari.

Bi Mwenda, anasema alijiingiza kwenye michezo...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Uzee kumwachisha Bi Mwenda uigizaji

bimwendaStori: Imelda Mtema

MUIGIZAJI mkongwe kwenye Tasnia ya Filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ amefunguka kuwa anaona uzee umeshamfikia hivyo muda si mrefu ataamua kupumzika kuigiza ili afanye kitu kingine kulingana na umri wake.

Akizungumza na gazeti hili, Bi Mwenda alisema amecheza filamu muda mrefu takriban miaka ishirini hivyo anaona wazi atashindwa kukimbizana kwenye kambi kwenda huku na huko kutokana na umri wake hivyo anajipanga kuangalia afanye nini.

“Kweli kabisa nikijiangalia...

 

4 years ago

Bongo Movies

Nora: Bongo Movies Wameshaharibu Sanaa ya Uigizaji Tanzania

MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ amedai kuwa ‘Bongo Movies’ wameharibu sanaa ya  uigizaji hapa Tanzania. Nora amefunguka hayo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa lokesheni wakishuti movie.

"Naipenda kazi yangu na ninaiheshim sanaaaaa hii ndo sanaa ilionikuza mpaka leo na bado nakua nayo Mungu afungue heri zake lol tunajua kukomaaa ila nais Mungu ndo ameandika.

Nitatumia kipaji changu akili yangu kuwatumikia...

 

4 years ago

GPL

MASHIRIKISHO YA SANAA TANZANIA YAUNGA MKONO SIKU YA MSANII

Katibu wa Shirikisho la Sanaa na Maonyesho Tanzania, Godfrey Ndimbo akizungumza na wanahabari hawapo pichani. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Sanaa na Maonyesho Tanzania, Denis Mango, Katibu Godfrey Ndimbo, Peter Mwendapole na Mkurugenzi, Godfrey Katula wakiwa meza kuu.…

 

5 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

5 years ago

Tanzania Daima

NICE MOHAMED MTUNISI: Msanii aliyekacha kurusha ndege kwa kunogewa uigizaji

TASNIA ya filamu ni miongoni mwa sekta ambazo zimefanikiwa kutoa ajira nyingi kwa vijana wa Kitanzania katika miaka ya hivi karibuni, hali inayosaidia kupunguza tabia za vijana kukaa vijiweni. Hata...

 

5 years ago

Mwananchi

Nguvu ya sanaa inazidi msanii

Kama kuna eneo linaloweza kufukisha ujumbe kwa urahisi kwenye jamii, basi ni sanaa. Kwani kwa kupitia viunga vyake ujumbe hupenya kwa haraka zaidi kufika kule ulikokusudiwa.

 

3 years ago

Global Publishers

Joanitha, Gigy kuchuana kwenye uigizaji

 

 

Joanitacut561.jpg

Fatuma Makame ‘Joanitha

 

Na Hamida Hassan

Staa wa Filamu Bongo, Fatuma Makame ‘Joanitha’ na Video Queen Gift Stanford  ‘Gigy Money’ wanatarajia kuchuana kwenye filamu watakayocheza pamoja hivi karibuni baada ya Gigy kuchukuliwa na Kampuni ya Hamadombe kwa majaribio.

Akizungumza na Ijumaa, Joanitha ambaye ni bosi wa kampuni hiyo alisema wamebaini Gigy anao uwezo mzuri wa kuigiza lakini hajapewa nafasi hivyo wameona wakati anaendelea na U-Video Queen wake pia acheze filamu.GIGY (2)

Gift...

 

3 years ago

Global Publishers

Thea amkataa Jokate kwenye uigizaji

IMG-20151118-WA0010-721x1024Jokate Mwegelo.

Na hamida hassan
Msanii wa filamu wa ‘long time’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ ameibuka na kusema kuwa yeye kama dairekta hamkubali Jokate Mwegelo kwenye suala zima la uigizaji wa filamu kwani anaamini kuwa bado ni cha mtoto.
Akipiga stori na Ijumaa kuhusiana na baadhi ya mamisi waliojiingiza kwenye uigizaji, Thea alisema wapo wengi ambao wamevamia fani huku akimtaja Jokate kama mmoja wao.

IMG_0651Msanii wa filamu wa ‘long time’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’.

“Unajua zamani...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani