FC Barcelona yatua Afrika ya Kusini kucheza na Mamelodi Sundowns FC kusherehekea miaka 100 ya kuzaliwa mandela

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Mamelodi Sundowns FC ya Afrika Kusini kutua mwisho wa mwezi, kucheza na simba na Yanga Dar es salaam

 Mabingwa wa soka barani Afrika Mamelodi Sundowns FC ya Afrika Kusini wanatarajiwa kuwasili nchini mwisho wa mwezi huu kwa mwaliko wa klabu ya African Lyon. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa  African Lyon, Rahim Kangezi, Mamelodi wanatarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam Januari 30, 2017 na kucheza michezo miwili ya kirafiki na Simba SC na Yanga.

 “Mamelodi wanakuja Tanzania kuiunga mkono Tanzania katika kampeni yake ya “LINDA TEMBO WETU” ambayo ni mahususi kupiga vita ujangili na biashara haramu...

 

3 years ago

Bongo5

Zamalek na Mamelodi Sundowns kucheza fainali ya ligi ya mabingwa Afrika mwaka 2016

Timu ya Zamalek itakutana na Mamelodi Sundowns katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2016 licha ya kuchapwa mabaoi 5-2 na Wydad Casablanca mjini Rabat, Moroccoo.

a-espncdn

Wababe hao wa Misri wanaingia fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-5, baada ya awali kushinda 4-0 katika mchezo wa kwanza nyumbani.

Mchezo mwingine ulikuwa, Mamelodi Sundowns ilishinda 2-0 dhidi ya Zesco United Uwanja wa Lucas Moripe mjini Johannesburg, Afrika Kusini na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya...

 

2 years ago

BBCSwahili

Mamelodi Sundowns Sundowns mabingwa wa Afrika 2016

Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imeshinda Kombe la Klabu Bingwa Afrika kwa mara ya kwanza baada ya kuwalaza Zamalek wa Misri kwa jumla ya mabao 3-1 kwenye fainali.

 

11 months ago

BBC

Barcelona overcome Mamelodi Sundowns

Luis Suarez is among the goalscorers as Barcelona beat South African champions Mamelodi Sundowns 3-1 to win the Mandela Centenary Cup.

 

1 year ago

BBCSwahili

ANC chaadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa kwa Nelson Mandela

Cyril Ramaphosa anatarajiwa kutoa hotuba huko Cape Town, ambako marehemu Mandela alitoa hotuba yake ya kwanza alipoachilia huru kutoka gerezani

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mamelodi Sundowns mabingwa wa Afrika 2016

Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imeshinda Kombe la Klabu Bingwa Afrika kwa mara ya kwanza baada ya kuwalaza Zamalek wa Misri kwa jumla ya mabao 3-1 kwenye fainali.

Kwenye mechi ya marudiano ya fainali mjini Alexandria, Zamalek walipata ushindi wa 1-0 Jumapili lakini haukutosha kwani walikuwa wamelazwa 3-0 na Sundowns mechi ya kwanza mjini Atteridgeville Jumamosi wiki iliyopita.

Hii ni mara ya kwanza kwa klabu hiyo ya Afrika Kusini kushinda kombe hilo.

Mara yao ya mwisho kufika...

 

2 years ago

Bongo5

Mamelodi Sundowns washinda taji la klabu bingwa Afrika 2016

Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka South Afrika, imefanikiwa kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika 2016 licha ya kufungwa kwa bao 1-0 na wenyeji Zamalek Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria, Misri.

ALEXANDRIA, EGYPT - OCTOBER 23: Keagan Dolly of Mamelodi Sundowns celebrate with teammate during the CAF Champions League 2nd Leg final match between Zamalek and Mamelodi Sundowns at Borg El Arab Stadium on October 23, 2016 in Alexandria, Egypt. (Photo by Gallo Images)

sundowns

Mamelodi wanavikwa Medali za Dhahabu za ubingwa wa Afrika kwa ushindi wa jumla wa 3-1 baada ya awali kushinda 3-0 nyumbani, Afrika Kusini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...

 

2 years ago

MillardAyo

Mabingwa wa Afrika Mamelodi Sundowns wamelazimishwa sare tasa na Azam FC

Baada ya Simba na Yanga kukataa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mabingwa Afrika Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kwa kigezo cha kutotaka kucheza mechi ya kirafiki kati kati ya msimu, Azam FC wao walikubali na kuingia uwanjani February 1 2017 kucheza dhidi ya Mamelodi. Azam FC ambao ni Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2017, […]

The post Mabingwa wa Afrika Mamelodi Sundowns wamelazimishwa sare tasa na Azam FC appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Zanzibar 24

Mamelodi Sundowns yaiadhibu Zamalek fainali ya kwanza mabingwa Afrika: Ubaoni 3-0

MAMELODI Sundown imeweka mkono mmoja kwenye Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Zamalek ya Misri jioni ya leo katika fainali ya kwanza ya michuano hiyo Uwanja wa Lucas Moripe mjini Johannesburg, Afrika Kusini.

Magoli ya Sundowns yalifungwa na  mshambuliaji Mliberia Anthony Laffor dakika ya 31 akimalizia pasi ya kiungo Hlompho Alpheus Kekana, beki Tebogo Langerman dakika ya 40 akimalizia pasi ya mshambuliaji Mzimbabwe Khama Billiat na Islam Gamal...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani