FC BARCELONA YATWAA TAJI

Klabu ya FC Barcelona ya Hispania usiku wa April 21 2018 ilicheza mchezo wa fainali ya Kombe la Mfalme maarufu kama Copa del Rey dhidi ya Sevilla katika uwanja wa Wanda Metropolitano wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 68000.
FC Barcelona wakicheza mchezo wao wa fainali ya Copa del Rey kwa mara ya nne mfululizo wamefanikiwa kutwaa taji hilo kwa kupata ushindi wa magoli 5-0, magoli ya FC Barcelona yakifungwa na Luis Suarez dakika ya 14 na 40, Lionel Messi dakika ya 31, Andre Iniesta dakika ya 52...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Juventus yatwaa taji la Serie A

Klabu ya Juventus imetwaa Ubingwa wa Serie A huko Italy kwa mara ya 5 mfululizo.

 

3 years ago

BBCSwahili

Tigers yatwaa taji Namibia.

Klabu kongwe ya Namibia Tigers, imemaliza ukame wa miaka 31 baada ya kutwaa ubingwa wa msimu wa 2015/2016 wa ligi kuu nchini humo.

 

3 years ago

Bongo5

Juventus yatwaa taji la Serie A kwa mara ya 5 mfululizo

Klabu ya Juventus imeshinda Ubingwa wa Serie A huko Italy kwa mara ya 5 mfululizo.

Ushindi huo umekuja baada ya Timu ya Pili kwenye Ligi Napoli kufungwa 1-0 na AS Roma huko Stadio Olimpico Jijini Rome.

Juve-bingwa-1

Juve waliifunga Fiorentina Bao 2-1 na kuhitaji Pointi 1 tu ili kujihakikishia Ubingwa lakini kipigo cha cha Napoli kimehakikisha hawawezi tena kuikamata Juve huku Mechi zikibaki 3.

Juve-bingwa

Juve sasa wana Pointi 85 wakifuatiwa na Napoli wenye Pointi 73 na AS Roma wana Pointi 71.

Kwa kutwaa Ubingwa...

 

3 years ago

BBCSwahili

Barcelona yatwaa kombe la Mfalme

Klabu ya soka ya Barcelona imetwaa kombe la Mfalme Hispania, maarufu kama Copa del Rey katika Fainali ya 114.

 

1 year ago

Michuzi

Tanzania yatwaa taji la Cana kanda ya tatu kwa mara ya pili mfululizo

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akimkabidhi kombe nahodha wa Tanzania, Sonia Tumiotto pamoja a Natalie Sanford mara baada ya kutwaa ubingwa wa Cana Kanda ya Tatu.
Tanzania imefanikiwa kutetea ubingwa wa Cana Kanda ya Tatu Afrika baada ya kuibuka katika nafasi ya kwanza katika upande wa wanawake na wanaume. Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa juzi, timu ya Tanzania ilipata jumla ya pointi 1,394 na kufanikiwa kuzishinda timu maarufu na kali katika mchezo...

 

3 years ago

Dewji Blog

Barcelona yatwaa Kombe la FIFA Klabu Bingwa Dunia

Football Soccer - River Plate v FC Barcelona - FIFA Club World Cup Final - International Stadium Yokohama, Yokohama - 20/12/15 FC Barcelona celebrate winning the FIFA Club World Cup Final with the trophy Reuters / Thomas Peter Livepic

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Barcelona ya Hispania imetwaa Ubingwa wa FIFA Klabu Bingwa wa Dunia baada ya kuifunga klabu ya River Plate ya Argentina kwa goli 3 kwa bila katika mchezo wa fainali ya mashindano hayo yaliyofanyika nchini Japan.

Katika mchezo huo wa fainali nyota ya Barcelona ilianza kung`aa katika dakika ya 36 baada ya mshambuliaji wake Lionel Messi kuifungia timu hiyo goli la kwanza kwa kuunganisha mpira uliotoka kwa mchezaji mwenzake Neymar na baadae Luiz Suarez...

 

2 years ago

Mwananchi

Enrique aaga Barcelona kwa taji la Copa del Rey

Hispania. Kocha wa Barcelona, Luis Enrique amehitimisha kibarua chake kwenye klabu hiyo baada ya kutwaa taji la Copa del Rey jana Jumamosi.

 

4 years ago

Vijimambo

AEESHA KAMARA ANYAKUA TAJI LA MISS TANZANIA USA AVIKWA TAJI NJE YA UKUMBI BAADA YA MAJAJI KUTENGUA MATOKEO

Jaji Michael Lewis McBride akimvisha taji Aeesha Kamara mara tu baada ya majaji kutengua matokea ya aliyekua mshindi wa dakika 45 kwa madai kwamba aliyevikwa taji haukua chaguo lao. Picha zote na Vijimambo Blog/Kwanza ProductionMiss Africa USA 2014-2015 akimvisha umalikia wa Miss Tanzania USA Aeesha KamaraAeesha Kamara akipata picha ya kumbukumbu na Miss Africa USA 2014-1915Aeesha KamaraKwa mapicha kibao ya jinsi mashindano hayo yalivyokua Bofya soma zaidi
Aeesha Kamara na Aziza Gama katika...

 

3 years ago

MillardAyo

Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016

Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016. Sababu za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa sio kwa sababu kaifunga Man City. Hizi ndio sababu tano za Arsenal kupewa nafasi […]

The post Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016 appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani