Fedha zakwamisha miradi Jiji la Arusha

HALMASHAURI ya Jiji la Arusha, inakabiliwa na changamoto kubwa ya ufinyu wa fedha za kukamilisha miradi mbalimbali ya barabara kwa wakati na hivyo kusababisha mtandao wa mawasiliano kuwa mgumu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMPA WIKI MBILI MKURUGENZI WA JIJI KUHAKIKISHA WALIMU WOTE WANAODAI SEREKALI WALIOPO NDANI YA JIJI LA ARUSHA WANALIPWA FEDHA ZAO


MKUU wa mkoa Arusha Mrisho Gambo amemuagiza mkurugenzi wa jiji la
Arusha, Athumani Kihamia kulipa madeni yote wanayodai walimu ya
milioni 154 ndani ya wiki mbili ambayo wamekuwa wakidai serikali
kuu kwa muda mrefu bila kulipwa na hivyo kusababisha walimu hao
kukata tamaa ya ufundishaji wanafunzi .

Gambo alitioa agizo hilo jana alipokuwa akizungumza na walimu wote wa
shule za msingi 48 zilizopo ndani ya Halmashauri ya jiji la Arusha ,waratibu elimu,wakaguzi elimu pamoja na maafisa...

 

3 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA ARUSHA AMPA WIKI MBILI MKURUGENZI WA JIJI KUHAKIKISHA WALIMU WOTE WANAODAI SERIKALI WALIOPO NDANI YA JIJI LA ARUSHA WANALIPWA FEDHA ZAO

Habari picha na Woinde Shizza,Arusha  MKUU wa mkoa Arusha Mhe Mrisho Gambo amemuagiza mkurugenzi wa jiji la Arusha Athumani Kihamia kulipa madeni yote wanayodai walimu ya milioni 154 ndani ya wiki mbili ambayo wamekuwa wakidai serikali kuu kwa muda mrefu bila kulipwa na hivyo kusababisha walimu hao kukata tamaa ya ufundishaji wanafunzi. Mhe. Gambo alitioa agizo hilo jana alipokuwa akizungumza na walimu wote wa shule za msingi 48 zilizopo ndani ya Halmashauri ya jiji la Arusha ,waratibu...

 

3 years ago

Mwananchi

Fedha zakwamisha mradi wa uwekezaji

Dar es Salaam. Mradi wa uwekezaji uliopo Bagamoyo mkoani Pwani umekwama.

 

4 years ago

GPL

MWANAHARAKATI AVAA GUNIA NA KUTINGA OFISI ZA JIJI KUMDAI MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA AMLIPE FEDHA ZAKE

Mwanaharakati John Masweta akiwa kwenye geti kuu la Makao Makuu ya Jiji la Mwanza.…

 

3 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA AMSIMAMISHA KAZI AFISA MAENDELEO YA JAMII WA JIJI KWA KUSHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE


Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Ndg. Athumani J. Kihamia amempuzisha kutekeleza majukumu yake Afisa Maendeleo ya Jamii wa Jiji Bi. Mwantumu Dosi kwa tuhuma za kushindwa kutekeleza majukumu yake hivyo kukiuka kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003.
Mkurugenzi Kihamia ametoa taarifa hiyo leo tarehe 27.08.2016 baada ya kukamilisha mbio za Mwenge wa Uhuru na kufanya tathmini ya miradi iliyopitiwa na Mwenge na kugundulika kwa dosari zilizojitokeza katika moja ya mradi ambao uko chini ya Idara...

 

3 years ago

Channelten

Uzinduzi wa Duka la Vodacom Arusha Meya wa Jiji ataka Arusha itumike kibiashara

Screen Shot 2016-02-22 at 4.08.41 PM

Makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano yamepewa changamoto ya kutumia fursa za ukuaji wa Jiji la Arusha katika kusambaza huduma zao na wakati huo huo kupanua fursa za ajira kwa watu wa kada mbalimbali hususani vijana wanaomaliza masomo katika ngazi mbalimbali.

Meya wa Jiji la Arusha Kalisiti Lazaro ametoa changamoto hiyo wakati wa uzinduzi rasmi wa duka jipya la kampuni ya mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom katika eneo la Florida katikakati ya Jiji hilo.

Meya Kalisiti amesema...

 

3 years ago

Michuzi

FEDHA ZA MIRADI YA MAJI ZITUMIKE KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI NA SI VINGINEVYO-INJ. LWENGE

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Inj. Gerson Lwenge amezionya Halmashauri za Wilaya za Njombe na Mbarali kuhakikisha fedha za miradi ya maji zinazotolewa na Serikali, zinasimamiwa vizuri na kutekeleza miradi ya maji na si vinginevyo.

Mhe. Lwenge alisema hayo mwishoni mwa juma katika ziara yake ya Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, alipotembelea Wilaya ya Njombe, mkoani Njombe na Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya katika ziara yake ya kukagua utekelezaji na maendeleo ya miradi ya maji na upatikanaji wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani