Felix Tshisekedi achaguliwa na upinzani kugombea urais DRC

Chama kikuu cha upinzani kimemchagua leo (Jumamosi) mwanae muasisi wa chama hicho Felix Tshisekedi kama mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu ujao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

BBCSwahili

Mwana wa Tshisekedi kuongoza upinzani DRC

Muungano mkuu wa upinzani nchini Jamhuri ya Demokasia ya Congo umemteua mwana wa kiume aliyekuwa kiongozi wake Etienne Tshisekedi ili kumrithi.

 

2 years ago

VOASwahili

Mtoto wa Tshisekedi ateuliwa kuongoza upinzani DRC

Felix Tshisekedi ameteuliwa kuwa kiongozi wa muungano mkuu wa upinzani nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani DRC Etienne Tshisekedi afariki dunia

Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Etienne Tshisekedi, amefariki dunia mjini Brussels nchini Ubelgiji akiwa na umri wa miaka 84.

 

2 years ago

Bongo5

Kiongozi wa upinzani DRC Etienne Tshisekedi afariki dunia akiwa na miaka 84

Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Etienne Tshisekedi, amefariki dunia mjini Brussels nchini Ubelgiji akiwa na umri wa miaka 84.

Tshisekedi alikwenda mjini Brussels mwishoni mwa mwezi jana kwa ajili ya matibabu.

Bwana Tshisekedi alikuwa mmoja wa wanasiasa wakongwe waliokuwa mstari wa mbele kupigania demokrasia ya nchi yake.

Alisimama kidete katika utawala wa aliyekuwa kiongozi wa nchi hiyo Rais Mobutu Sese Seko, ambae utawala wake ulidumu kwa miongo kadhaa kabla ya...

 

2 years ago

BBC

Felix Tshisekedi: Congo opposition leader's son takes over

The son of DR Congo's late opposition leader Etienne Tshisekedi is chosen to succeed his father.

 

2 years ago

Channelten

Kiongozi mkuu wa upinzani wa Kenya apitishwa kugombea urais

11

Tume ya uchaguzi ya Kenya imempitisha mgombea wa muungano wa wapinzani wa Kenya NASA Bw Raila Odinga kuwa mgombea urais kwenye uchaguzi utakaofanyika Agosti 8.

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Kenya Bw Wafula Chebukati amesema baada ya kupokea nyaraka za wagombea hao, ameridhika kuwa Bw Raila Odinga na mgombea mwenzake Bw Kalonzo Musyoka wamefikia vigezo vilivyowekwa na tume kugombea nafasi hizo.

Jana mamia ya waungaji mkono wa NASA walijipanga kwenye mitaa ya mji wa Nairobi kuwapongeza...

 

4 years ago

GPL

Vijana wapiganie sasa haki ya kugombea urais, Vijana wasisubiri wazee wawaruhusu kugombea urais

Patrice Lumumba. Julius Nyerere. Na Walusanga Ndaki
IJUMAA moja ya alasiri na kiangazi jijini Dar es Salaam, mwandishi wa makala hii ambaye sasa ana umri wa miaka 60 alikuwa akifanya mzaha wa kupiga danadana mpira wa miguu nje ya ofisi yao kabla ya kwenda kwenye mechi ya soka kati ya timu ya ofisi yake na taasisi moja ya habari. Mwandishi huyo alifanya hivyo kwa umahiri mkubwa kwa kama dakika tano mbele ya wafanyakazi wenzake...

 

2 years ago

Habarileo

Msiba wa Tshisekedi waibua mvutano DRC

MIPANGO ya kurudisha mwili wa kiongozi wa upinzani wa muda mrefu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Etienne Tshisekedi kutoka Brussels, Ubelgiji hadi mjini Kinshasa kwa mazishi, imesababisha serikali na chama chake kutofautiana.

 

2 years ago

Mwananchi

Mwili wa Tshisekedi washindwa kurejeshwa DRC

Chama kikuu cha upinzani cha UDPS katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kimeahirisha mpango wa kuurejesha nyumbani mwili wa aliyekuwa kinara wa chama hicho, Etienne Tshisekedi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani