Fellaini kukosa mechi na Liverpool kutokana na jeraha

Fellaini 29, aliondoka uwanjani baada ya dakika 29 wakati wa mechi ya kufuzu kwa kombe la dunia dhidi ya Bosnia-Herzegovina siku ya Jumamosi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

Liverpool waliishinda Borussia Dortmund kabla ya mechi kutokana na rekodi hii

as

Siku moja baada ya michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuchezwa na kushuhudia vilabu kadhaa vikiaga mashindano hayo, usiku wa April 14 ilikuwa ni zamu ya kushuhudia robo fainali ya michuano ya UEFA Europa league. Miongoni mwa michezo iliyokuwa inatazamwa usiku wa April 14 ni mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Borrusia Dortmund […]

The post Liverpool waliishinda Borussia Dortmund kabla ya mechi kutokana na rekodi hii appeared first on TZA_MillardAyo.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Zanzibar ipo hatarini kukosa asali kutokana na nyuki kukimbia kwa kukosa makazi

Wakulima na Wafugaji wa nyuki  katika mkoa wa kusini unguja wamesema  Zanzibar ipo hatarini kupoteza  rasilimali nyuki kutokana na uharibifu mkubwa  wa ukataji  misitu unaofanywa na baadhi ya wananchi.

Akizungumza mara baada ya zacca kufanya ziara katika kuwakagua wafugaji wa nyuki  huko Kitogani Mwenyekiti wa Jumuiya ya ufugaji wa nyuki Zaba  Salum Rashid Juma amesema nyuki wamekuwa na faida kubwa katika uzalishaji wa asali lakini  uwepo wa athari za mabadiliko ya tabianchi  kumesababisha...

 

3 years ago

Bongo5

Rosicky kukaa nnje ya uwanja kwa miezi mitatu kutokana na jeraha

140224142216_tomas_rosicky_512x288_allsport_nocredit

Kiungo wa kati wa kilabu ya Arsenal Tomas Rosicky atakuwa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi mitatu kutokana na jeraha.

140224142216_tomas_rosicky_512x288_allsport_nocredit

Mchezaji huyo mwenye umri wa 35 ambaye kandarasi yake inakamilika katika msimu wa joto,alipata jeraha jingine la paja wakati wa mechi dhidi ya Burnley siku ya jumamosi baada ya kipindi cha miezi saba akiuguza jereha.

Mchezaji huyo wa taifa la Czech alijiunga na Arsenal mnamo mwezi Mei mwaka 2006.

Alipoulizwa iwapo Rosicky ameichezea Arsenal mechi yake ya mwisho,Wenger...

 

1 year ago

BBCSwahili

Paul Pogba: Nyota wa Man United kukaa nje wiki sita kutokana na jeraha

Paul Pogba huenda akakaa nje ya uwanja kwa kati ya mwezi mmoja na wiki sita baada yake kuumia misuli ya paja wakati wa mechi ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Basel Jumanne.

 

3 years ago

Bongo5

Klopp: Mechi ya Liverpool na United ni mechi mama

Jurgen-Klopp-1

Baada ya mechi za klabu bingwa Ulaya, leo na kesho ni zamu ya usiku wa UEFA europa league maarufu kama UEFA ndogo.

Jurgen-Klopp-1

Kwenye mashindano hayo vita kubwa usiku wa leo itakuwa kati Liverpool dhidi ya Manchester United, japo zinaonekana kusuasua kwenye ligi ya Uingereza lakini hawa ni wapinazani wakubwa sana.

Kuelekea mechi hiyo kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema Liverpool na United ni mechi mama.

Klopp alisema, “Siamini kwenye maadui wa mpira, naamini kwenye ujamaa wa kweli. Kiukweli sina...

 

2 years ago

Channelten

Shule yafungwa kutokana na kukosa vyoo

Screen Shot 2016-04-10 at 3.41.49 PM

Shule ya msingi Matufa iliyopo wilayani babati mkoa wa Manyara imefungwa kwa muda usiojulikana kutokana na kukosa vyoo baada ya kubomoka kutokana na mvua ambazo zimepelekea uharibifu katika sehemu mbalimbali mkoani humo.

Kufungwa kwa muda usiojulikana kwa shule hii ya msingi matufa imefuatia agizo la serikali wilayani hapa,huku mwenyekiti wa kijiji hiki cha matufa akiiomba ofisi ya mkuu wa wilaya pamoja ofisi ya mkurugenzi kutoa ushirikiano wa karibu kwa wananchi wa kijiji hiki katika...

 

2 years ago

Michuzi

SERIKALI INAPOTEZA SH.BILIONI 18 KUTOKANA NA KUKOSA RADA.

SERIKALI inapoteza shilingi bilioni 18 kutokana na kukosa rada za kuongezea ndege na kufanya nchi ya Kenya ipate mapato hayo kwa kuwa rada.
Hayo ameyasema leo Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani wakati wa Mkutano wa kwanza wa Wamiliki wa Ndege wa Afrika Mashariki na Afrika (IATA), amesema kuwa kutokana na Serikali kukosa mapato wameagiza rada mbili ambazo zitagharimu dola za Kimarekani Milioni 24.
Ngonyani amesema kuwa rada hizo mbili zitafungwa nusu ya...

 

4 years ago

Bongo5

Neymar kukosa kombe la dunia kutokana na kuvunjika mfupa

Nyota wa timu ya soka ya Brazil Neymar hatoshiriki tena katika michuano ya kombe la dunia baada ya mfupa wake unaoshikana na uti wa mgongo ilivunjika katika mechi ya ushindi wa mabao mawili dhidi ya Colombia. Neymar akitokewa nje ya uwanja baada kuumia Neymar aligongwa upande wake wa nyuma dakika tano tu kabla ya mchuano […]

 

2 years ago

Michuzi

WATOTO 2.7 WAMEDUMAA KUTOKANA KUKOSA LISHE BORA –PANITA.

Mkurugenzi wa Jukwaa la Lishe Tanzania (Panita), Tumaini Mikindo akizungumza na viongozi wa dini jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Lishe nchini. Mchungaji wa makanisa ya Kipentekoste, Sixtus Mallya akichangia mada hasa kwenye imani za dini kukataza baadhi ya vyakula na kusema kuwa vyakula hivyo vimekatazwa na Biblia amesema kuwa lishe ni kitu cha mhimu kwa ukuaji wa mwili. Baadhi ya Vyakula Lishe ambavyo vinatakiwa kwa kila mlo ambavyo vinatakiwa kila mtu anapokula.
Na Chalila...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani