FEMA TV SHOW ‘NGUVU YA BINTI’ YATARAJIWA KUANZA RASMI

Mtangazaji wa kipindi cha Fema Tv Show,Rebecca Gyumi akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya uzinduzi rasmi wa kipindi hicho cha Fema Tv Show,itakayo anza rasmi Julai 13 hadi Septemba mwaka huu,huku mmoja wa watangazaji wa kipindi hicho,Ummy Omary akisikiliza kwa umakini. Baadhi ya Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa umakini juu ya uzinduzi wa onyesho hilo la Fema Tv.
Na Bakari  Issa, Globu ya jamii.FEMINA Hip kwa kushirikiana na asasi zingine za kiraia inatarajia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

FEMINA HIP NA NGUVU YA BINTI

Ni muda wetu sasa! Ndio ni muda wetu. Karibu katika Jukwaa la Nguvu ya Binti  2017, litakalounganisha mabinti, vijana na jamii kwenye mijadala inayomtazama Mtoto wa kike na changamoto zake za kila siku.Enhe! Mwambie rafiki  aje tujifunze, ushauri na tuulize maswali katika mada zinazobeba Ajenda mpya ya Nguvu Ya BINTI 2017Kila jumatano ya pili na ya mwisho wa mwezi katika kurasa za Femina Hip : Facebook,Instagram na Twitter @feminahip#SautiYaNguvuYaBinti

 

2 years ago

Michuzi

FEMINA HIP YAJA NAKAMPENI MPYA YA NGUVU YA BINTI

Na  Ashraf Said, Globu ya jamii.

Tasisi ya Femina Hip imeanzisha kampeni yake mpya inayokwenda kwa jina la Nguvu ya Binti ili kumsaidia msichana anapokuwa katika siku zake .
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo, Lydia Charles amesema kuwa Femina Hip imezindua kampeni ya Nguvu ya Binti ambayo itawakilishwa na wasichana wenye historia,Tabia, na uzoefu tofauti .


“ timu mpya ya nguvu ya binti itakuwa na sauti ya wasichana wote nchini Tanzania , wakichimbua , Kujadili...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ligi Kuu ya Vodacom kuanza rasmi leo, Simba SC kuanza na Ndanda Dar

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17 inatarajiwa kuanza rasmi leo Jumamosi Agosti 20, 2016 kwa michezo mitano huku Bingwa Mtetezi wa Kombe hilo 2015/16, Young Africans ya Dar es Salaam ikisubiri hadi Agosti 31, 2016 kuanza kutetea taji lake.

Young Africans inatarajiwa kusafiri kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kucheza na TP Mazembe kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kufanyika Agosti 23, mwaka huu.

Michezo itakayoanza leo ni pamoja na Simba SC...

 

3 years ago

Michuzi

WAKUU WA WILAYA WA MKOA WA ARUSHA WAAPISHWA RASMI LEO TAYARI KWA KUANZA KAZI RASMI

 Mkuu mpya wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo akiongea na wadau mbalimbali waliouthuria katika sherehe za kuapishwa kwa wakuu wa wilaya wapya wa wilaya tano zilizopo mkoa ndani ya mkoa wa Arusha ,ambapo mkuu huyu wa wilaya aliwataka wadau mbalimbali pamoja na wananchi kumpa ushirikiano katika kufanya kazi ,huku akisisitiza kuwa swala ya siasa pamoja na mambo ya kisiasa yameisha sasa hivi ni muda wa kufanya kazi tu(Habari picha na Woinde Shizza, Arusha ) Wakuu wa wilaya za mkoa wa Arusha...

 

3 years ago

Bongo5

Picha: Wizkid, Diamond, Christian Bella na Fid Q waangusha show ya nguvu

WizkidMuimbaji mahiri kutoka nchini Nigeria, Wizkid akisindikizwa na wasanii wakubwa wa Tanzania, Diamond, Christian Bella pamoja na Fid Q jana katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam walizikonga nyoyo za mashabiki wa muziki. Wizkid akiwa karibu na mashabiki wake Wasanii hao waliopanda kwenye jukwaa hilo katika mida mida tofauti, kila mmoja alitaka kuonyesha […]

 

4 years ago

Vijimambo

Baada ya Kupiga Show ya Nguvu Nigeria, Diamond Afunguka na Kusema Haamini Macho yake

STAA Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond’, amefunguka kwamba haamini kama kweli amepata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za utoaji tuzo za wanamichezo bora zilizoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambazo zimefanyika huko jijini, Lagos, Nigeria.Akizungumza na Showbiz, Diamond alisema amefurahi kupata nafasi ya pekee ambayo mara nyingi hutolewa kwa wasanii wakubwa Marekani na kuamini kwamba muziki wa Tanzania unathaminika kila kona.
“Nimefurahi maana hii inaonyesha jinsi gani...

 

4 years ago

Vijimambo

FM ACADEMIA WADONDOSHA SHOW YA NGUVU JIJINI MBEYA CHINI YA UDHAMINI YA KINYWAJI CHA K-VANT GIN

Wanamuziki wa Bendi ya Fm Academia 'Wazee wa Ngwasuma' wakitoa burudani kwa mashabiki wao siku ya uzinduzi wa Hotel ya Mfikemo Sae jijini Mbeya mwishoni mwa wiki.Picha Elvis Kimambo Jamiimojablog Mashabiki na wadau wa Fm Academia wakiserebuka katika onyesho hilo. Mkurugenzi wa Hotel ya Mfikemo Ndugu Lwitiko Mwandembele (katikati) Jofrey Ananiah kulia na wengine wakifurahia jambo siku ya uzinduzi wa hotel hiyo ambapo kuliambatana na onyesho la Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' Meneja...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani