Fid Q Ajibu Hoja ya Mwakyembe

Msanii Fareed Kubanda ambaye wengi humuita ‘concious rapper’ kutoka bongo, amejibu kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe aliyosema wasanii wasiimbe siasa, na kusema kuwa siyo rahisi kwa wasanii kuacha kitu kitu hicho.

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Fid Q amesema Waziri hakuwa sahihi kusema hivyo, kwani siasa ipo kwenye maisha yetu ya kila siku, ambayo wasanii ndiyo kitu ambacho hutazama ili kuweza kufanya kazi zao.

“Nafikiri suala la Waziri...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Fid Q ajibu tetesi za kutaka kumuoa Salama Jabir

Kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita kulikuwapo na tetesi kuwa msanii wa Hip Hop, Fid Q yupo katika mahusiano ya kimapenzi na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir na wana mipango ya kufunga ndoa.

Fid Q na Salama

Fid Q na Salama Jabir wakiwa katika picha ya pamoja

Fid Q amejibu swali kama ni kweli aliwahi kutaka kumuoa Salama kwa miaka kadhaa iiiyopita wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha Ala za Roho kinachoruka kupitia Clouds Fm na kukanusha taarifa hizo kuwa siyo sahihi.

“Sio...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai ajibu hoja ya Mbowe

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akijibu hoja ya Mbowe alisema hakuna sekretarieti ya Bunge kwa ajili ya kuhudumia upinzani tu, bali inahudumia wabunge wote bila kubagua itikadi za vyama.

Kuhusu gari alisema lipo na dereva yupo isipokuwa Mbowe hataki kulitumia.

Mbowe alisema watumishi wa sekretarieti ambao husaidia kuandika hotuba huajiriwa na Bunge kwa mikataba ya miaka miwili baada ya kupendekezwa na kambi ya upinzani bungeni.

Alisema kanuni ya 11 ya kambi rasmi bungeni inazungumza uwepo...

 

12 months ago

Zanzibar 24

January Makamba ajibu hoja za wabunge kuhusu kero za muungano

Licha ya wabunge hasa wa upinzani kuchachamaa kuhusu kero za Muungano, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), January Makamba ametumia dakika 30 kujibu hoja hizo walizozieleza wakati wa mjadala wa bajeti ya ofisi hiyo kwa mwaka 2018/19.

Katika mjadala huo wabunge walihoji juu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano kutokuwa na dhamira ya kuisaidia Zanzibar kiuchumi, vikwazo vya kupeleka bidhaa kutoka upande mmoja kwenda mwingine, Zanzibar kutopata mikopo, utozwaji wa...

 

2 years ago

Malunde

MAKONDA AJIBU HOJA YA YEYE KUDAIWA KUHUSIKA PIA DAWA ZA KULEVYA


Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda ametupa jiwe gizani kwa kumjibu Wema Sepetu baada ya siku chache zilizopita kuenea kwa sauti yake mitandaoni akiwa mahabusu huku akimlalamikia mkuu huyo wa mkoa kushindwa kulitaja jina la Agness Masogange kwenye orodha ya kwanza ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya.


Akijibu swali kutoka kwa mwandishi wa habari Jumatano hii ofisini kwake wakati akitaja orodha ya pili ya watuhumiwa wa madawa hayo, Makonda amesema, “Ukitaja jina kwanza utakuwa unaingia...

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI MWAKYEMBE NA WAZIRI MWIJAGE WAKIJIBU HOJA ZA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI

 Waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari alipokuwa akitoa ufafanunuzi kuhusu hoja zilizoibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu mkataba kati ya kampuni ya ubia ya StarMedia na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), leo mjini Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Fillip Mpango (katikati) na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (kushoto) wakimsikiliza Mkurugenzi wa...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Kambaya: Waliotufukuza CUF kabla ya kujibu hoja hawana majibu sahihi ya hoja zetu

Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi CUF ambae pia ametajwa katika wanachama waliosimamishwa na CUF amenukuliwa akisema:

Nimekua napigiwa simu nyingi toka kwa Wanachama wenzangu na Waandishi wa habari kuhusu Taarifa zilizozagaa kwenye Mitandao. Majibu yangu ya awali Kuhusu Taarifa hizo ni

1 Moja Baraza Kuu lina Mamlaka ya kufanya hivyo kwa mujibu wa Katiba na kwa kufuata Katiba jinsi inavyoeleza kwenye hizo taratibu za kuchukua hatua za Kinidhamu.

2 Mimi na wenzangu tunaotajwa...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA MKE WAZIRI MWAKYEMBE, MAREHEMU LINAH MWAKYEMBE KYELA, JIJINI MBEYA.

 Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisaini kitabu cha Maombolezo wakati wa mazishi ya Mke wa Waziri Wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson Mwakyembe, Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini Mbeya.  Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsabai Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Dkt Harisson Mwakyembe wakati mazishi ya Mke wake, Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini Mbeya. Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Naibu Spika Dkt Tulia Ackson wakati...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lijadili nguvu ya hoja si hoja za nguvu

BUNGE la kujadili katiba mpya limepangwa kuanza rasmi Februari 18 mwaka huu, pale Makao Makuu ya Tanzania, mjini Dodoma. Mijadala itaendeshwa kwa siku 70. Ikibidi zitaongezwa tena siku nyingine 20...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani