Fid Q ajibu tetesi za kutaka kumuoa Salama Jabir

Kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita kulikuwapo na tetesi kuwa msanii wa Hip Hop, Fid Q yupo katika mahusiano ya kimapenzi na mtangazaji wa kipindi cha Mkasi, Salama Jabir na wana mipango ya kufunga ndoa.

Fid Q na Salama

Fid Q na Salama Jabir wakiwa katika picha ya pamoja

Fid Q amejibu swali kama ni kweli aliwahi kutaka kumuoa Salama kwa miaka kadhaa iiiyopita wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha Ala za Roho kinachoruka kupitia Clouds Fm na kukanusha taarifa hizo kuwa siyo sahihi.

“Sio...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Vijimambo

MH.Mengi ajibu sababu za yeye kumuoa KYLINE


Dk. Reginald Mengi akiwa na Familia yakeDr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini umemuoa Jackline alijubu hivi: Nimemwoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao nimeshawahi kuwa nao. 1. Jackline ananipikia chakula kuanzia chai, lunch mpaka dinner.2. Jackline ananifulia nguo zangu kwa mikono yake sio mashine3.Jackline anajua nafasi ya mwanaume na nafasi ya mwanamke kwenye nyumba.4. Jackline ananipenda ndio mana ananifanyia vitu ambavyo wanaume wengi tunapenda kufanyiwa hasa...

 

5 years ago

GPL

SIJAWAHI KUTAKA KUMUOA LULU

Mwanamuziki wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Ramadhan Muhoza ‘Pentagon’. KAMA ilivyo ada mpenzi msomaji wa safu hii ya Kiti cha Moto, wiki iliyopita tulimleta kwenu mwanamuziki wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Ramadhan Muhoza ‘Pentagon’ ambaye mlimuuliza maswali na leo tumewaletea majibu aliyoyatoa. UNGANA NAYE... Msani wa fiamu Bongo,  Elizabeth Michael 'Lulu'… ...

 

3 years ago

BBCSwahili

Salama Jabir, binti asiyecheza na maswali

Salama Jabir ni binti mdogo mdogo kwa umbo ila mahojiano yake katika kipindi chake maarufu cha Mkasi huwa na maswali ya kiuchokozi sana.

 

2 years ago

Bongo5

Salama Jabir: Mkongwe kwenye TV asiyeishiwa ubunifu

Si utamaduni wetu kusifia watu wanaoendelea kuishi. Mara nyingi tunasubiri mpaka watoweke duniani ndo tuseme Yale mazuri waliyowahi kuyafanya. Bahati mbaya wanakuwa hawana uwezo wa kusikia. Nachukua fursa hii kuzimwaga sifa zangu kwa Bi Salama Zalhata Jabir.

Alizaliwa Oktaba 1, miaka kadhaa iliyopita. Ni mwanamke mrembo, mwenye rangi ya mtume, mikato fulani hivi ya kinyamwezi. Mfupi kwa umbo, lakini mwenye akili na ubunifu mithili ya Hasheem Thabeert. Ana sauti fulani hivi yenye...

 

3 years ago

Bongo5

Salama Jabir: Nitarudi kwenye redio, panapo majaaliwa

Licha ya kuwa mtangazaji bora wa TV wa kipindi cha Mkasi kilichoshinda tuzo mbili kwenye Tuzo za Watu, Salama Jabir aliwika mno kwenye redio.

7M3A9953

Alikuwa na kipindi maarufu, Planet Bongo kupitia East Africa Radio lakini aliamua kujikita zaidi kwenye TV. Akiwa na kipindi kipya kwa sasa, Ngaz Kwa Ngaz kinachoruka kila Alhamis, EATV, Salama amedai kuwa panapo majaaliwa siku za usoni anaweza kurejea tena redioni.

Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, Salama alisema amekuwa na...

 

3 years ago

Bongo5

Video: Tazama mahojiano live ya Tecno na Salama Jabir

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani