Fifa yaanika adhabu zinazoikabili Yanga

Suala la Yanga kuchelewesha usajili wa ndani hadi baada ya Agosti 6 limechukua sura mpya baada ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kubainisha adhabu tatu tofauti zinazoikabili klabu hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

FIFA yaanika siri za Jerome Valcke

Waendesha mashitaka wa Uswisi wamethibitisha kwamba shirikisho la soka duniani,FIFA ,limekubali kuweka wazi akaunti ya barua pepe mali ya Jerome Valcke.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Yanga yaanika nyota Kagame

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, jana alitangaza kikosi kitakachokwenda mjini Kigali, Rwanda kucheza michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi Agosti 8. Akizungumza jijini Dar...

 

10 months ago

Mwananchi

Fifa yaifutia adhabu Sudan

Shirikisho la Soka Duniani (Fifa), limeifutia adhabu Sudan kutokana na kufungiwa kushiriki masuala ya michezo.

 

2 years ago

Bongo5

FIFA ya wapunguzia adhabu Blatter, Platini

2D2D7D2200000578-3263820-Blatter_and_UEFA_president_Michel_Platini_left_are_both_facing_s-a-198_1444251713596

Shirikisho la kimataifa la Soka (FIFA) imetoa uamuzi wa Rais anayemaliza muda wake Joseph Blatter na Rais wa UEFA Michel Platini wamepunguziwa adhabu kutoka miaka 8 hadi 6,Uamuzi huu umetangazwa Jumatano hii na Shirikisho la kimataifa la Soka (FIFA), baada ya wawili hao kukata rufaa.

2D2D7D2200000578-3263820-Blatter_and_UEFA_president_Michel_Platini_left_are_both_facing_s-a-198_1444251713596

Wakati wagombea hao wawili kwenye nafasi ya urais wa FIFA, wakiwa na matumaini kwamba wataibuka washindi.

Kamati hiyo imebaini kwamba wawili hawa wamekutwa na hatia ya kukiuka Ibara nne za maadili ya sheria na...

 

2 years ago

Michuzi

FIFA YAKATAA RUFAA YA BLATTER,PLATINI; YAWAPUNGUZIA ADHABU

Na Bakari Issa Madjeshi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limekataa rufaa ya  Rais wa Shirikisho hilo ambaye anatoka madarakani, Sepp Blatter na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Ulaya (UEFA) aliyesimamishwa kazi, Michael Platini.Kamati ya Rufaa ya FIFA imekataa rufaa ya Marais hao lakini imewapunguzia adhabu ya kujihusisha na masuala ya soka kutoka miaka nane hadi miaka sita.
Wote walipatikana na hatia ya matumizi mabaya ya fedha kiasi cha Paundi Milioni 1.3 sawa na Dola...

 

2 years ago

MillardAyo

Hii ndio adhabu ya FIFA kwa Sepp Blatter na Michel Platini baada ya uchunguzi kufanyika …

Baada ya uchnguzi wa kina kufanyika na wachunguzi wa shirikisho la soka ulimwenduni FIFA wameamua kutoa adhabu ya kuwafungia miaka nane kutojihusisha na masuala ya soka aliyekuwa Rais wa soka ulimwenguni FIFA Sepp Blatter na Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya Michel Platini. Blatter na Platini wamekumbana na adhabu hiyo baada ya kukutwa na […]

The post Hii ndio adhabu ya FIFA kwa Sepp Blatter na Michel Platini baada ya uchunguzi kufanyika … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Habarileo

Yanga yatafakari adhabu Caf

KLABU ya Yanga imesema kuwa inatafakari adhabu ya dola 5,000 (sawa na sh milioni 10) waliyopigwa na Shirikisho la Soka la Afrika (Caf) baada ya wachezaji wake kuchelewesha muda.

 

4 years ago

Mtanzania

Cecafa yachemka kuipa adhabu Yanga

Katibu wa CECAFA, Nicholas Musonye

Katibu wa CECAFA, Nicholas Musonye

Na Zaituni Kibwana, Kigali

BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limeshindwa kuipa adhabu timu ya Yanga, kwa kosa la kugoma kuwasilisha timu kwenye michuano ya Kombe la Kagame.

Awali baraza hilo chini ya Katibu wake, Nicholas Musonye, lilitangaza kuipa adhabu timu hiyo kwa kitendo chake cha kupeleka timu B katika michuano hiyo.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa, Mwenyekiti wa CECAFA, Leodegar Tenga, alisema hakuna...

 

2 years ago

Bongo5

Jerry Muro aikubali adhabu ya TFF, atoa ujumbe huu kwa mashabiki wa Yanga

Aliyekuwa afisa habari wa klabu ya Yanga Bw. Jerry Muro ameamua kukubali hukumu iliyoolewa dhidi yake na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inayomtaka kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa mwaka mmoja.
Jerry Muro

Kupitia instagram, Muro ameandika:

Kila nikifikiria figisu za soka la Bongo aisee nachoka kabisa, let me walk away for a while though I will be missing my fans and my people wa kimataifa but I must walk away for a while.

Kamati ya nidhamu ya TFF ilimtia hatiani Jerry Muro kwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani