FIFA yataka mchezo kati ya Afrika Kusini na Senegal urudiwe

Shirikisho la kandanda la Kimataifa FIFA, limeamuru mchezo kati ya Afrika Kusini na Senegal uliofanyika Novemba 12 urudiwe .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 months ago

BBCSwahili

Fifa yaamrisha mechi kati ya Afrika Kusini na Senegal kuchezwa tena

Mechi ya kufuzu kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na Fifa

 

7 months ago

BBCSwahili

Senegal yaongoza Afrika katika orodha mpya ya Fifa

Senegal imepanda hadi nafasi ya 23 kutoka 32 katika orodha ya shirikisho la soka duniani Fifa mwezi Novemba

 

2 years ago

BBCSwahili

Fifa: Argentina ndio bora duniani, Senegal yaongoza Afrika

Nafasi kumi bora Argentina, Brazil, Germany, Chile, Ubelgiji, Colombia, Ufaransa , Ureno, Uruguay, Hispania

 

3 years ago

BBCSwahili

Senegal yatoka sare na Afrika Kusini

Senegal iliwashangaza wengi ilipotoka nyuma na kuizuia Afrika Kusini katika mechi za mataifa ya Afrika

 

9 months ago

BBCSwahili

Afrika Kusini yakubali kurudia mechi na Senegal

Shirikisho la kandanda duniani FIFA lilitoa ilani kwamba mechi hiyo irudiwe baada ya mwamuzi wa mechi hiyo Joseph Lamptey kupigwa marufuku kwa kutoisimamia vyema mechi hiyo

 

2 years ago

BBCSwahili

Afrika kusini yataka ufafanuzi kutoka ICC kuhusu kesi ya Bashir

Waziri wa haki wa Afrika kusini, Michael Masutha, amesema serikali imeiandikia mahakama ya kimataifa ya uhalifu ya ICC wakitaka ufafanuzi zaidi

 

2 years ago

Michuzi

CAF YATANGAZA WAAMUZI WA MCHEZO WA SERENGETI BOYS NA AFRIKA KUSINI.

Kikosi cha Timu ya Serengeti Boys.
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), limemteua Noiret Jim Bacari wa Comoro kuwa mwamuzi wa kati katika mchezo wa marudiano utakaozikutanisha timu za taifa za vijana za Serengeti Boys ya Tanzania na Amajimbos ya Afrika Kusini, utakaofanyika Agosti 21, 2016 Kwenye Uwanja wa Chamazi ulioko Mbagala - nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya CAF iliyofika Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mapema wiki hii, waamuzi wasaidizi pia...

 

3 years ago

BBCSwahili

FIFA:Viongozi 2 Afrika Kusini mashakani

Kiongozi wa maandalizi ya kombe la dunia nchini Afrika Kusini mwaka 2010 ni miongoni mwa maafisa wawili wakuu waliotajwa katika malalamishi ya uhalifu yanayodai kufanyika kwa ufisadi katika kura ya FIFA ilioamua atakayeandaa dimba hilo.

 

2 years ago

BBCSwahili

FIFA yaadhibu wakuu wa soka Afrika Kusini

Shirikisho la soka duniani FIFA limewapiga marufuku maafisa 3 wa shirikisho la soka la Afrika Kusini kwa tuhuma za kupanga mechi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani