Forbes Africa ‘Person of the Year 2016’ ni Thuli Madonsela

Mshindi wa Tunzo ya Forbes Africa Person of the Year iliyotangazwa jana huko nchini kenya ni Thuli Madonsela kutoka Afrika Kusini.

Modensela anatambulika zaidi katika kupambana na rushwa. Forbes waliandika jinsi gani mwanamama huyu alikuatana na vitisho vingi vya kuuwawa akiwa anaibua kashfa mbalimbali za rushwa.

thuli

Bi. Modensela amefanikiwa kutwaa tunzo hiyo mbele ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Mauritania Ameenah Gurib. Wengine waliokuwa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Thuli Madonsela wa Afrika Kusini ashinda tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’

Thuli Madonsela wa Afrika Kusini amefanikiwa kushinda tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’ kwa mwaka 2016.
0000214659

Modonsela alitangazwa kushinda tuzo hiyo Alhamisi hii mjini Nairobi huku akikumbukwa zaidi kwa msimamo wake mkali dhidi ya ufisadi alipokuwa anahudumu kama mlinzi wa maslahi ya umma Afrika Kusini.

Baada ya kushinda tuzo hiyo, Thuli kupitia mtandao wa Twitter ameandika, “Thanks @forbesafrica for an awesome evening and everything regarding #POY16.”

Wengine waliokuwa wanawania tuzo...

 

2 years ago

Dewji Blog

FORBES AFRICA PERSON OF THE YEAR 2016: Rais Magufuli aongoza kwa kura 84

Hadi muda wa saa tisa Alasiri ya leo Oktoba 26.2016 kwa masaa ya Afrika Mashariki, tayari Rais wa Tanzania, Mh. Dk. John Pombe Joseph Magufuli ameweza kufikisha jumla ya  asilimia ya kula 84 katika kuwania tuzo maalum ya Forbes.

Hata hivyo, kwa kura hizo ni hatua ya ushindi wa moja kwa moja kwani ameweza kuwaacha mbali washiriki wengine wanaowania tuzo hiyo ambayo imekuwa ikiwaniwa na watu mbalimbali katika Bara la Afrika hasa ambao wameweza kufanya mambo kwa jamii ikiwemo wafanyabishara...

 

2 years ago

Dewji Blog

Rais John Magufuli atajwa kuwania tuzo ya Forbes Africa Person Of The Year 2016

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameingia katika listi ya watu ambao wametajwa kunawania tuzo ya Person Of The Year 2016 ambayo hutolewa na Jarida la Forbes Africa.

Rais Magufuli ameingia katika kinyang’anyio hicho, akiwania tuzo hiyo pamoja na Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel le Roux, Thuli Madonsela, Ameenah Gurib na watu wa Rwanda.

Kama Rais Magufuli atafanikiwa kushinda tuzo hiyo, basi Tanzania itakuwa imepata tuzo hiyo kwa mara ya pili mfululizo kwani mwaka jana 2015,...

 

2 years ago

Raia Mwema

Ni zamu ya Lindiwe Sisulu au Thuli Madonsela

JUMA lililopita, Mwanagenzi aliangazia hatma ya Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma kufuatia hoja ya kutokuwa na imani naye iliyowasilishwa kwenye kikao cha Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama tawala ANC na Waziri wa Utalii Derek Hanekom. Licha ya kikao kurefushwa kwa siku tatu, mwisho wa siku JZ (Rais Zuma) akavuka kihunzi kingine kilicholenga kumng’oa madarakani.

Wakati kikao cha NEC kikimalizika Jumatano iliyopita, msaidizi mkuu wa Zuma ambaye ni Makamu wa Rais Cyril Ramaphosa, alikuwa...

 

3 years ago

Bongo5

Dewji ambwaga rais wa Nigeria na kushinda tuzo ya Forbes, ‘Person Of The Year 2015’

12246983_1045350848843660_8510001966156339010_n

Mwenyekiti Mtendaji wa METL, Mohammed Dewji amembwaga rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari na wengine watatu kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za ‘Forbes Africa’s Person Of The Year 2015’ zilizotolewa jana.

12246983_1045350848843660_8510001966156339010_n

“Congratulations to Tanzanian businessman and philanthropist extraordinaire, Muhammed Dewji on being named Forbes Africa’s Person Of The Year 2015. ‪#‎FAPOY2015‬,” wameandika Forbes

Akipokea tuzo hiyo Dewji alidai kuitoa kwa vijana wa Tanzania.

12311229_1063019103729540_1978545552083464653_n

Ushindi huo unakuja baada ya hivi karibuni...

 

2 years ago

Dewji Blog

JPM akosa tuzo ya Forbes Person of the Year 2016, yaenda kwa mwanasheria wa Afrika Kusini

Usiku wa Alhamisi ya Novemba, 17 kumefanyika halfa ya utoaji wa tuzo ya Forbes Person Of the Year kwa mwaka 2016 ambazo zilikuwa zikiwashirikisha watu watano kuta mataifa mbalimbali Afrika.

Mmoja wa washirki wa tuzo hizo alikuwa ni Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ambaye alikuwa akishindana na Michiel Le Roux – mwanzilishi wa benki ya Capitec ya Afrika Kusini, Thuli Madonsela – mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu wa Afrika Kusini, Rais wa Mauritian, Ameenah Gurib na watu wa...

 

2 years ago

Bongo5

Rais Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ingia hapa kumpigia kura

Rais Dkt John Pombe Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year.’

person

Anachuana na watu wengine wanne wakiwemo: Rais wa Mauritania, Ameenah Gulib, Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux na Thuli Madonsela wa Afrika Kusini pamoja na watu wa Rwanda.

Zimebaki siku 22 za kupiga kura. Unaweza kumpigia kura Rais Magufuli kwa kubonyeza hapa. Hadi sasa Rais Magufuli anaongoza kwa asilimia nyingi (73%).

Mwaka huu tuzo hizo zitatolewa jijini Nairobi, Kenya November...

 

2 years ago

BBCSwahili

Madonsela amshinda Magufuli tuzo ya Forbes

Aliyekuwa mlinzi wa maslahi ya umma nchini Afrika Kusini Thuli Madonsela ametawazwa kuwa mtu mashuhuri zaidi wa Forbes wa mwaka 2016.

 

2 years ago

BBC

South Africa's Jacob Zuma in court bid to block Madonsela's report

A South African court is hearing a bid by the president to block the release of a report by the former anti-corruption tsar.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani