Formula 1: Morocco Grand Prix talks as owners look for Africa race

Formula 1 is in talks to hold a race in Morocco, according to commercial boss Sean Bratches.

BBC

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Hamilton mshindi wa Russia Grand Prix.

Dereva wa mashindano ya mbio za magari langa langa Lewis Hamilton ameshinda huko Urusi katika Russia Grand Prix.

 

5 years ago

TheCitizen

Rosberg wins Austrian Grand Prix

Championship leader Nico Rosberg won the Austrian Grand Prix here yesterday, putting Mercedes back on top in a nail-biting finale with teammate Lewis Hamilton.

 

3 years ago

Mtanzania

Hamilton ashinda British Grand Prix

Lewis Hamilton

London, England

BINGWA wa mbio za magari kutoka nchini England, Lewis Hamilton, ameshinda ubingwa wa michuano ya British Grand Prix baada ya kumshinda mpinzani wake, Nico Rosberg, huku wote wakitumia gari aina ya Mercedes.

Huu ni ushindi wa tatu mfululizo kwa Hamilton katika mashindano ya nyumbani nchini England. Katika ushindi huo, Hamilton alitumia saa 1: 34 na sekunde 55, wakati mpinzani wake Rosberg akitumia saa 1:35 na sekunde 12.

Hata hivyo, Hamilton amedai kwamba hakuwa na uhakika wa...

 

3 years ago

Bongo5

Hamilton ashinda Mexican Grand Prix

Dereva Muingereza Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda Mexican Grand Prix, huku dereva mwenzake wa Mercedes Mjerumani Nico Rosberg akimaliza wa pili na namba 3 akikamata Sebastian Vettel wa Ferrari.

39e3bba400000578-3887814-image-a-30_1477863197388

39e3c03d00000578-3887814-image-a-27_1477863171350

Rosberg bado yupo kileleni akimpita Hamilton kwa pointi 19 huku zikiwa zimebaki mbio 2 tu.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

4 years ago

Bongo5

Hamilton ashinda mbio za ‘Russian Grand Prix’

Dereva wa Mercedes, Lewis Hamilton ameibuka mshindi wa mbio za Russian Grand Prix. Huo ni unakuwa ushindi wa tatu wa dunia. Hamilton alikuwa katika nafasi ya pili kuelekea dakika za mwisho mwisho za mashindano hayo kabla ya dereva mwenza wa Mercedes Nico Rosberg kukabiliwa na matatizo ya injini. Mjerumani Nico Rosberg alilazimika kuyaaga mashindano aliposhindwa […]

 

4 years ago

BBCSwahili

Voliboli:Kenya yashinda dhahabu Grand Prix

Timu ya Kenya ya voliboli ya wanawake ndio mabingwa wa mwaka huu wa mashindano ya Grand Prix.

 

3 years ago

Bongo5

Hamilton ashinda US Grand Prix mara ya 3 mfululizo

Mwingereza Lewis Hamilton amefanikiwa kushinda US Grand Prix huku dereva mwenzake wa Mercedes Nico Rosberg akishika namba 2 na Daniel Ricciardo wa Red Bull akishika namba 3.

39a5ba7100000578-3864982-image-a-45_1477257028723

Bingwa huyo mtetezi Sasa ameshinda Grand Prix 50 tangu aanze kushiriki katika michuano ya Formular 1 na hii ni mara ya 3 mfululizo anashinda mbio hizi za Marekani.

39a5b67200000578-3864982-image-a-51_1477257062095

Ushindi huu unamfanya Hamilton kuwa nyuma ya Rosberg kwa pointi 26 katika msimamo wa madereva huku zikiwa zimebaki mbio 3 msimu kumalizika.

Jiunge na...

 

3 years ago

Bongo5

Lewis Hamilton ashinda Brazil Grand Prix

Dereva Muingereza Lewis Hamilton kwa mara ya kwanza amefanikiwa kushinda mbioza za Formula 1, Brazil Grand Prix, huku Nico Rosberg akimaliza wa pili na Max Verstappen wa Red Bull akishika namba 3.

article-3932196-3a5928a600000578-72_636x382

3a58306800000578-3932196-lewis_hamilton_claimed_victory_in_a_rain_hit_brazilian_grand_pri-m-73_1479065539170

Nico Rosberg yupo ameendea kuwa kileleni na sasa amempita Lewi pointi 12.

Sasa vita ya ubingwa inahamia katika mbio za mwisho zitakazofanyika Abu Dhabi Novemba 27

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

2 years ago

BBCSwahili

Lewis Hamilton ashinda Belgian Grand Prix.

Dereva wa timu ya Mercedes Mwingereza, Lewis Hamilton, ameibuka mshindi katika mbio za Belgian Grand Prix.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani