Francois Hollande kuitisha baraza la Usalama

Rais wa Ufaransa Francois Hollande ameahidi kuitisha mkutano wa baraza lake la masuala ya usalama, Ijumaa asubuhi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

BBCSwahili

Francois Hollande azuru Afrika Magharibi

Rais wa Ufaransa Francois Hollande ameanza ziara ya siku tatu katika kanda ya Afrika Magharibi.

 

2 years ago

BBCSwahili

Haki za binaadamu ziheshimiwe, Francois Hollande

Raisi wa Ufaransa Francois Hollande,ameitembelea Misri na kusisitiza kuwa haki za binadamu zinapaswa kuheshimiwa.

 

2 years ago

Raia Mwema

Rais wa Ufaransa Francois Hollande kutogombea tena

Paris, Ufaransa

RAIS Francois Hollande ametangaza jana kwamba hatogombea kuongoza nchi yake kwa muhula wa pili.

Wapiga kura nchini Ufaransa watatoka kupiga kura mwezi Aprili na Mei mwaka 2017, lakini Hollande, ambaye anauungwaji mkono mdogo sana kwa sasa nchini kwake, anasema hatagombea.

“Nazungumza nanyi jioni hii kuwataarifu juu ya uamuzi ambao nimeufanya juu ya uchaguzi ujao wa rais,” alisema. “Nimeamua kutokuwa mgombea katika uchaguzi wa rais.”

Ni mara ya kwanza tokea mwaka...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande...

 

3 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015 kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.…

 

2 years ago

Mwananchi

Meya Dar aapishwa rasmi, kuitisha baraza

Meya Dar es Salaam, Isaya Mwita amesema kati ya Aprili 10 au 11 ataitisha kikao cha kwanza cha Baraza la Jiji, kwa ajili ya kumpata naibu meya.

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Mhe. Pereira Ame Silima (Mb.) (wa kwanza toka kushoto) akimweleza jambo Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Abigail Ambweni (wa tatu toka kushoto) wakati Baraza hili lilipotia saini makubaliano na kampuni hiyo kuendeleza ushirikiano katika kampeni za usalama barabarani ambazo Vodacom imekuwa ikidhamini tangu mwaka 2014. Akisikiliza pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo na Kamanda...

 

4 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA AMANI NA USALAMA WA BARAZA LA AMANI NA USALAMA LA UMOJA WA AFRIKA JIJNI NAIROBI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta jijini Nairobi leo kujiunga na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za umoja wa Afrika (AU) kwenye mkutano wa kuzungumzia masuala ya tioshio la ugaidi linalolikabili bara hilo na dunia kwa ujumla. Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakielekea kwenye ukumbi wa mikutano katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Jomo Kenzatta...

 

4 years ago

GPL

AIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU‏

Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam.  Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani