FREDRICK MWAKALEBELA ATAJA VIPAUMBELE VYAKE IWAPO ATAPEWA RIDHAA YA KUWA RAIS WA TFF

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mtanzania

Manji ataja vipaumbele vyake

Manji_fullNA HERIETH FAUSTINE, DAR ES SALAAM

MGOMBEA udiwani wa Kata ya Mbagala Kuu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Manji, amesema akishinda atahakikisha anaanza na elimu, afya, kuboresha huduma ya maji na kutoa ahadi kwa vijana.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi, wakati wa uzinduzi wa kampeni zake katika Viwanja vya Zakhem.

“Suala la elimu limekuwa tatizo katika kata hiyo, hivyo nitatoa shilingi milioni 200 kila mwaka kwa ajili ya kusaidia kujenga miundombinu ya elimu,” alisema...

 

1 year ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS TFF FREDRICK MWAKALEBELA AJA NA MAMBO KUMI YA KUINUA SOKA NCHINI


 Mgombea Urais katika Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Fredrick Mwakalebela akizungumza na waandihi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa akunadi sera zake.
Na Mwandishiwetu , Dar es Salaam
Mgombea Urais katika Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, Fredrick Mwakalebela ametaja mambo kumi atakayo fanya katika kuinua mpira hapa nchini kama atapata ridhaa ya kuwa Rais wa TFF.

Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati uzinduzi wa kampeni yake Mwakalebela amesema kuwa kwa kwanza...

 

3 years ago

Mwananchi

Mosha ataja vipaumbele vyake Moshi Mjini

Mgombea ubunge Jimbo la Moshi Mjini, Davis Mosha (CCM), ameahidi kujenga soko la kisasa la kimataifa katika eneo la King George Memorial lililopo soko la mitumba.

 

3 years ago

Dewji Blog

Mhandisi Mtigumwe ataja vipaumbele vyake Singida

Mkuu mpya wa mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe,leo amekabidhiwa rasmi ofisi na kutangaza vipaumbele vyake atakavyoanza navyo Jumatatu Machi, 21 mwaka huu.

Ametaja vipaumbele hivyo kuwa ni maendeleo ya wananchi katika sekta mbalimnbali ikiwemo ya elimu na afya pia ataelekeza nguvu zake kutambua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi na kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu kwa wakati.

Mhandisi Mtigumwe alisema hayo leo wakati akitambulishwa mbele ya kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa muda...

 

3 years ago

Dewji Blog

Waziri wa Habari, Mhe. Nape Nnauye aripoti ofisini, ataja vipaumbele vyake

NAPE AKIKARIBISHWA NA NAIBU WAZIRI -9778

Naibu waziri Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi. Anastazia James Wambura (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo katika ofisi za wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.

NAPE AKIKARIBISHWA NA LILI BELEKO 9798

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi Lilian Beleko (kulia) akimkaribisha kwa furaha Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye wizarani hapo leo hii jijini Dar es Salaam.

NAPE AKIONGEA NA WAANDISHI -9893

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa...

 

4 years ago

Vijimambo

JUMAA MHINA 'PIJEI' ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KAWE, ATAJA VIPAUMBELE VYAKE

Hapa ikionesha fomu baada ya kukabidhiwa. Kada wa CCM Jumaa Mhina 'Pijei' (katikati), akipokea fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam, kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe leo mchana. Anaye shuhudia kulia ni Kada wa chama hicho anayewania ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia CCM, Ramadhan Ndanga 'Potipoti'. Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe (kushoto), akimpa maelezo ya kufuata baada ya kukabidhiwa fomu hizo.
Waandishi wa habari...

 

4 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27, PAUL MAKONDA NA FREDRICK MWAKALEBELA NDANI

Mkuu mpya wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani. Mkuu mpya wa Wilaya ya Wanging’ombe, Fredrick Wilfred Mwakalebela. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI leo mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo… ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani