Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Mjini Dodoma Leo Jumatatu Juni 19. 2017

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Global Publishers

Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Aprili 13, 2017

The post Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Aprili 13, 2017 appeared first on Global Publishers.

 

3 years ago

Michuzi

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO JUNI 3, 2016

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kushoto), Mhe. Margaret Sitta Mbunge wa Urambo (katikati) na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura wakielekea ndani ya Ukumbi wa Bunge, Dodoma leo.Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe akichangia jambo wakati wa kikao cha 35 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo.Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na...

 

3 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali kutoka Bungeni leo Juni 17 Mjini Dodoma

Matukio ya picha mbalimbali kutoka Bungeni Mjini Dodoma wakati wa kikao cha asubuhi cha Bunge hilo leo  Juni 17.2016 mjini Dodoma.

1.Mbunge wa Nchemba (CCM), Mhe. Juma Nkamia akifurahia jambo na Mbunge wa Kaliua (CUF), Mhe. Magnalena Sakaya wakati wakiingia katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma  kuanza kipindi cha asubuhi cha Bunge hilo.

2.Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba akibadilishana mawazo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju ndani ya ukumbi wa Bunge...

 

2 years ago

Malunde

Picha : YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA LEO JUMATATU MAY 15,2017


Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakari jambo wakati akiongoza kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017.Naibu Waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha Ishirini na tano cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 15, 2017Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter Muhongo akizungumza jambo na Mbunge wa Nkasi Mhe.Ally Kessy...

 

5 years ago

GPL

YANAYOJIRI LEO BUNGENI DODOMA

April 15, 2014, Muungano bado kasheshe
Kikao cha Bunge maalum la katiba kinaendelea leo hii, kinachojadiliwa hasa ni sura ya kwanza na sita ya Rasimu ya Katiba. Kama ilivyo kawaida, wajumbe wanaendelea kulumbana, Chama Cha Mapinduzi wakikazania Muundo wa serikali mbili na wale wa upinzani wakitetea serikali tatu, kama ilivyowasilishwa na Tume Maalum ya kukusanya maoni iliyoongozwa na Jaji Joseph Warioba. Wajumbe wa Bunge hilo...

 

2 years ago

Global Publishers

Fuatilia LIVE Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni (Aprili 6, 2017)

The post Fuatilia LIVE Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni (Aprili 6, 2017) appeared first on Global Publishers.

 

2 years ago

Michuzi

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 39, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 01, 2017.

  Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akijibu miongozo mbalimbali ya wabunge mara baada ya kumaliza kipindi cha Maswali ya Kawaida katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 01, 2017. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa papo mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 39 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 1, 2017. Waziri wa Afya ,Maendeleo ya...

 

2 years ago

Michuzi

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 42, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 06, 2017.

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 06, 2017.Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 42 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 6, 2017.Waziri wa Nchi Ofisi Ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama  akitolea ufafanuzi hoja...

 

1 year ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 8, 2017

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akisoma dua ya kuiombea nchi na Bunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu akiwasilisha Taarifa ya Mwaka ya Chuo kikuu cha Dodoma kwa mwaka 2015/2016 kwa niaba ya Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani