FULL HD: Magoli ya mechi ya FA ya Yanga vs Azam FC May 25 2016, Full Time 3-1

2X6A9536

May 25 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, vilabu vya Yanga na Azam FC vilikutana kucheza mechi ya fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC), katika mchezo huo Azam FC ilifungwa magoli 3-1, magoli ya Yanga yakifungwa na Amissi Tambwe dakika ya 9 na 47 huku Deus Kaseke akipachika goli la mwisho, […]

The post FULL HD: Magoli ya mechi ya FA ya Yanga vs Azam FC May 25 2016, Full Time 3-1 appeared first on MillardAyo.Com.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli na penati za mechi ya Yanga vs Azam FC August 17, Full Time 2(1-4)2

IMG_0335

August 17 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam ulichezwa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Mabingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2015/2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans na mshindi wa pili wa Ligi Kuu Azam FC hiyo ikiwa ishara ya kukaribia kuanza kwa msimu mpya wa Ligi, mchezo ulimalizika kwa Azam […]

The post VIDEO: Magoli na penati za mechi ya Yanga vs Azam FC August 17, Full Time 2(1-4)2 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

Kama uliikosa mechi ya Azam FC Vs Yanga Full Time 2-2, nimeyanasa magoli hapa

we

Azam FC na Yanga March 5 2016 zilicheza mchezo wao wa mzunguuko wa pili wa Ligi Kuu na kutoka sare ya goli 2-2. Huu ni mchezo wa 16 kwa Yanga na Azam FC kukutana, timu hizo zimefungana mara tano kila mmoja na mara sita kutoka sare. Yanga na Azam FC hazijawahi kutoka sare ya kutofungana. […]

The post Kama uliikosa mechi ya Azam FC Vs Yanga Full Time 2-2, nimeyanasa magoli hapa appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Mbeya City vs Yanga May 10 2016, Full Time 0-2

130711153926-football-goalnet-story-top

Jumanne ya May 10 2016 klabu ya Mbeya City ilikuwa mwenyeji wa Mabingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania bara klabu ya Dar es Salaam Young Africans katika uwanja wa Sokoine Mbeya, mchezo huo ulimalizika kwa Yanga ambao ndio Mabingwa wa Ligi Kuu kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Vincent Bossou dakika ya […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Mbeya City vs Yanga May 10 2016, Full Time 0-2 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs TP Mazembe June 28 2016, Full Time 0-1

qtre

June 28 2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilicheza mchezo wake wa pili wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, katika mchezo huo Yanga ilifungwa goli 1-0, goli amble lilifungwa na Merveille Bope dakika ya 74. GOAL AND HIGHLIGHTS: MO BEJAIA […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs TP Mazembe June 28 2016, Full Time 0-1 appeared first on MillardAyo.Com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Medeama SC July 16 2016, Full Time 1-1

IMG_0034

July 16 2016 Yanga  ilicheza mchezo wake wa tatu wa Kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya Medeama SC ya Ghana, katika mchezo huo Yanga walilazimishwa sare ya goli 1-1, goli la Yanga lilifungwa na Donald Ngoma dakika ya 2 na kwa upande wa Medeama goli lao lilifungwa na Benard Danso dakika […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Medeama SC July 16 2016, Full Time 1-1 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Majimaji FC Septemba 10 2016, Full Time 3-0

img_0122

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea kwa upande wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu klabu ya Dar es Salaam Young Africans walicheza dhidi ya Majimaji FC katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli ambayo yalifungwa na Deus Kaseke dakika ya 35 na Amissi Tambwe dakika ya 75 […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Majimaji FC Septemba 10 2016, Full Time 3-0 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Mwadui FC Septemba 17 2016, Full Time 2-0

screen-shot-2016-09-17-at-8-25-03-am

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo September 17  ambapo Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Dar es Salaam Youg Africans walisafiri wakitokea Dar es Salaam kwenda Shinyanga kuwafuata Mwadui FC kwao mechi ambayo imemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa goli 2-0. Yanga walianza kupata goli la 1 katika dakika ya 5 ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji wa Hamis Tambwe ambapo goli hilo lilidumu mpaka kipindi cha pili […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Mwadui FC...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

img_0160

October 1 2016 uwanja wa Taifa Dar es Salaam mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba ndio ulichezwa na kumaliza tambo za mashabiki wa pande zote mbili, mchezo huo ulichezwa na kumalizika kwa sare ya goli 1-1, goli la Yanga likifungwa na Amissi Tambwe dakika ya 26 na goli la Simba […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1 appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs African Lyon August 28 2016, Full Time 3-0

IMG_0071

Ligi Kuu soka Tanzania bara leo August 28 2016 imeendelea kama kawaida kwa bingwa mtetezi wa michuano hiyo klabu ya Dar es Salaam Young Africans kucheza mchezo wake wa ufunguzi dhidi ya African Lyon, magoli ya Yanga yalifungwa na Deus Kaseke dakika ya 19 na Simon Msuva dakika ya 60 kipindi cha pili na Juma Mahadhi aliyefunga […]

The post VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs African Lyon August 28 2016, Full Time 3-0 appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani