FULL TIME: KAGERA SUGAR 2 vs 1 RUVU SHOOTING, TEMI FELIX, MANGOMA NA MBARAKA WAIPANDISHA KAGERA NAFASI YA TATU!

Mbaraka Yusuf alikunjuka zikiwa zimebaki dakika chache mpira kumalizika na kumchambua beki wa Ruvu Shooting na kuziona nyavu za Ruvu Rooting ambapo mpaka wakati huo Kipa hakuwepo langoni mwake. Ushindi huo wa Kagera Sugar umewapandisha juu nafasi ya tatu wakiwa na pointi 24. Ligi hii ya Vodacom sasa inaenda mapumziko ya msimu wa kwanza wa 2016/2017. Kipindi cha pili Temu Felix aliisawazishia bao Kagera Sugar na Kisha baadae Seleman Mangoma akapachika bao la pili na kufanya Kagera Sugar...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

FULL TIME VPL: KAGERA SUGAR 2 v 3 AZAM FC, NAHODHA JOHN BOCCO AIPAUSHINDI AZAM FC NA KUPANDA JUU NAFASI YA NNE!

Wachezaji wa Azam Fc wakimpongeza Nahodha wao John Bocco dakika ya 86 baada ya kuwapachikia bao la ushindi katika mchezo wao wa Ligi Kuu Vodacom VPL leo kwenye Uwanja wa Kaitaba uliopo Bukoba Mjini. Bao hilo limeiwezesha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam kuibuka na pointi  tatu muhimu  baada ya kuinyuka Kagera Sugar mabao 3-2 katika mchezo ulifanyika leo Mkoani Kagera.Kikosi cha Azam Fc kilichoanza dhidi ya Kagera Sugar leo kwenye Uwanja wa Kaitaba
Timu zilivyokuwa zinaingia...

 

2 years ago

Michuzi

VPL: KAGERA SUGAR 1 vs 1 RUVU SHOOTING, VENANCE LUDOVIC AOKOA JAHAZI KAITABA LEO.

Na Faustine Ruta, Bukoba.

Timu ya soka ya Kagera sugar imelazimisha sare ya kufungana bao 1 kwa 1 na timu ya soka ya Ruvu shooting katika mzunguko wa Ligi kuu Vodacom Tanzania bara ikiwa ni mzunguko wa kwanza tangu ligi imeanza mwezi uliopita mchezo ambao umepigwa katika uwanja wa nyumbani wa Kaitaba Bukoba Mjini.

Ligi kuu Vodacom Tanzania bara timu ya kagera sugar kwa mara ya kwanza katika mzunguko huo ulioanza August 26 kagera sugar ilifungwa na Mbao Fc ya Jijini Mwanza bao 1...

 

3 years ago

MillardAyo

Uliikosa mechi ya Yanga Vs Kagera Sugar April 3 2016? magoli ninayo hapa, Full Time 3-1

3 (1)

April 3 2016 Yanga walikuwa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kucheza dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/2016, katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]

The post Uliikosa mechi ya Yanga Vs Kagera Sugar April 3 2016? magoli ninayo hapa, Full Time 3-1 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Mwananchi

Mshambuliaji mpya wa Azam, Mbaraka agoma kuzungumzia mkataba wa Kagera Sugar

Mshambuliaji mpya wa Azam, Mbaraka Yusuph amesema hawezi kuzungumzia taarifa zinazoenea kuwa bado ana mkataba mpya na Kagera Sugar.

 

3 years ago

MillardAyo

Magoli ya Simba VS Ruvu Shooting Ligi Kuu Full Time (ALL GOALS 2-1)

Screen Shot 2016-09-07 at 10.11.27 AM

Ligi Kuu soka Tanzania Bara leo September 7 2016 imeendelea kama kawaida kwenye vinjwa mbalimbali ambapo Club ya Simba iliwaalika Ruvu Shooting katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam ambapo mechi ilimalizika kwa Simba kuibuka na Ushindi wa Magoli 2-1, Ruvu Shooting ndio ilikua ya kwanza kupata goli katika dakika ya 8 ya mchezo kupitia kwa Abrahaman Musa, wakati […]

The post Magoli ya Simba VS Ruvu Shooting Ligi Kuu Full Time (ALL GOALS 2-1) appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la Simba vs Ruvu Shooting Dec 29 2016, Full Time 1-0

img-20161229-wa0036

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea leo kwa michezo miwili kuchezwa Simbawalicheza dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli ambalo lilifungwa na Mohamed Ibrahim wakati wa dakika za nyongeza kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza. ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

The post VIDEO: Goli la Simba vs Ruvu Shooting Dec 29 2016, Full Time 1-0 appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

KAGERA SUGAR V/S JKT RUVU WATOSHANA NGUVU KAITABA KWA SARE YA 0-0

Kikosi cha Timu ya JKT Ruvu kilichoanza kupambana na Timu ya Kagera Sugar.Kikosi cha Timu ya Kagera Sugar kilichoanza dhidi ya Timu ya JKT Ruvu leo kwenye Uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba na kutoshana nguvu kwa kutoka sare ya 0-0.Mchezaji wa JKT Ruvu Hassan Dilunga akiwa chini ya ulinzi wa Wachezaji wa Kagera Sugar.Rashid Mandawa mchezaji wa zamani wa Kagera Sugar akijiandaa kuingia wakati wa kipindi cha pili cha mchezo huo kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu...

 

2 years ago

Malunde

KAGERA SUGAR, JKT RUVU WATOSHANA NGUVU KAITABA KWA SARE YA 0- 0

Na Faustine Ruta, BukobaLigi Kuu Vodacom imeendelea tena Jumamosi na katika Uwanja wa Kaitaba tukishuhudia Timu ya Kagera Sugar ikitoka sare tasa ya 0-0 dhidi ya Timu ya JKT Ruvu inayoshikilia nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa Ligi kuu Vodacom msimu huu. 
Kikosi cha Timu ya JKT Ruvu kinachonolewa na Kocha wa zamani wa Simba, Kagera Sugar, Ashanti United na sasa JKT Ruvu King Kibadeni' kilionekana kukosa mbinu kuifunga Timu ya Kagera Sugar kipindi cha pili baada ya kuonekana kuwa na nguvu kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani